Au huenda Mungu nae wa mchongo wazee!!!!

Mbona nyani wa sasa, hawabadiliki na kuwa binadamu?

Mbona masokwe wa sasa hawana huo mchakato wa mabadiliko?

Au hao nyani wa zamani ndio walikuwa na mchakato wa mabadiliko?

Hiyo genetic drift ilitokea kipindi gani kuleta utofauti wa binadamu?
Genetic drift ni mabadiliko ya mda mrefu genetic(allele) ndani ya idadi ya watu baada ya muda. Inatokea kwa sababu ya matokeo ya random change sio katika selection za asili, na inaweza kusababisha upotezaji wa allele zingine na urekebishaji wa zingine. Utaratibu huu unaweza kuathiri kwa kiasi kikubwa tofauti za kimaumbile za idadi ya watu na mwelekeo wa mageuzi, hasa katika makundi flani. Genetic drift ni kama vile mchakato wa bahati nasibu usije kushangaa umepata mjukuu mwarabu 🤣
 
Mimi sina imani ya aina yeyote ile.

Mimi siamini kwenye kuamini.

Sihitaji kuamini.

Nahitaji kujua.kwa uhakika, ushahidi na uthibitisho.

Imekuwa proved aje?

Sayansi imeprove vipi kwamba evolution of man?

Hizo evidences ni zipi?

Mimi sipingani na sayansi.

Mimi nataka uthibitisho kwamba tulitoka kwa hao Australopithecus.

Kama kweli binadamu tuli evolve kutoka kuwa masokwe hadi binadamu kamili, Mbona masokwe hawabadiliki siku hizi na kuwa binadamu?
Ahahaaah!!!
Mkongwe, unaandika vitu vikubwa sana, lakini inanishangaza sana kuona unaniuliza maswali mepesi kama haya unayoniuliza.

Okay!!!
Evidences zinazothibitisha theory of evolution of man:
  • Fossil Record:
    Fossil discoveries provide a timeline of how species have changed over time, including evidence of human ancestors and their transition from earlier primates.

  • Genetics:
    DNA analysis reveals striking similarities between different species, including humans and other primates, indicating a shared ancestry.

  • Comparative Anatomy and Development:
    Similarities in the anatomy and developmental stages of different organisms point to common ancestry and evolutionary relationships.

Kwanini masokwe hawabadiliki?
👇🏽👇🏽👇🏽
Evolution is an ongoing process:
While we can see evidence of past evolution, evolution is not a one-time event but a continuing process that shapes life on Earth.

Mkongwe, hii ni sayansi, sio porojo tu!

Not a belief system:
Evolution is a scientific theory, not a matter of faith or belief. It is supported by evidence and subject to scientific testing and scrutiny.

What is Darwin's Theory of Evolution?

https://www.discoverwildlife.com/animal-facts/evolution-explained

Isn't human evolution just a theory? How can we know for sure that it happened?
 
Genetic drift ni mabadiliko ya mda mrefu genetic(allele) ndani ya idadi ya watu baada ya muda. Inatokea kwa sababu ya matokeo ya random change sio katika selection za asili, na inaweza kusababisha upotezaji wa allele zingine na urekebishaji wa zingine. Utaratibu huu unaweza kuathiri kwa kiasi kikubwa tofauti za kimaumbile za idadi ya watu na mwelekeo wa mageuzi, hasa katika makundi flani. Genetic drift ni kama vile mchakato wa bahati nasibu usije kushangaa umepata mjukuu mwarabu 🤣
Sasa je ni kipindi au wakati gani katika historia ya dunia kulitokea hiyo genetic drift iliyopelekea utofauti wa watu duniani?

Genetic drift ipi iliyotokea ikapelekea uwepo wa waarabu, waafrika, wazungu, wafilipino, wakorea, wajapani, wachina, wahindi weusi, wahindi weupe?
 
Ahahaaah!!!
Mkongwe, unaandika vitu vikubwa sana, lakini inanishangaza sana kuona unaniuliza maswali mepesi kama haya unayoniuliza.

Okay!!!
Evidences zinazothibitisha theory of evolution of man:
  • Fossil Record:
    Fossil discoveries provide a timeline of how species have changed over time, including evidence of human ancestors and their transition from earlier primates.

  • Genetics:
    DNA analysis reveals striking similarities between different species, including humans and other primates, indicating a shared ancestry.

  • Comparative Anatomy and Development:
    Similarities in the anatomy and developmental stages of different organisms point to common ancestry and evolutionary relationships.
Kwanini masokwe hawabadiliki?
👇🏽👇🏽👇🏽
Evolution is an ongoing process:
While we can see evidence of past evolution, evolution is not a one-time event but a continuing process that shapes life on Earth.

Mkongwe, hii ni sayansi, sio porojo tu!

Not a belief system:
Evolution is a scientific theory, not a matter of faith or belief. It is supported by evidence and subject to scientific testing and scrutiny.

What is Darwin's Theory of Evolution?

https://www.discoverwildlife.com/animal-facts/evolution-explained

Isn't human evolution just a theory? How can we know for sure that it happened?
Similarities kuwa sawa kati ya binadamu na earlier primates bado hakuleti uthibitisho wenye uhakika kwamba binadamu alitokana na hao primates.

Kusema kwamba binadamu alitokana na earlier primates sikweli.

Kwa sababu hatuoni tena binadamu akiendelea na evolution abadilike kutoka binadamu kwenda kwenye hatua nyingine ya kimaumbile.

Pia hatuoni tena masokwe yakibadilika kuwa binadamu kama kweli evolution ilitokea na inaendelea.

Darwin alihakikisha vipi kwamba kweli binadamu ali evolve kutoka kwa earlier primates?

Au ali introduce tu theory bila proofs za uhakika na zisizo jitosheleza?
 
Sasa je ni kipindi au wakati gani katika historia ya dunia kulitokea hiyo genetic drift iliyopelekea utofauti wa watu duniani?

Genetic drift ipi iliyotokea ikapelekea uwepo wa waarabu, waafrika, wazungu, wafilipino, wakorea, wajapani, wachina, wahindi weusi, wahindi weupe?
Wanadamu wote wanatoka kwa Adamu na Hawa, utofauti tunaouona katika mataifa na makabila unaelezewa na kutofautiana kwa maumbile ni kutokana na genetic variation and migration patterns. Over time, populations have migrated and become isolated hivyo kusababisha michanganyiko ya kipekee ya sifa za kurithi na kubadilika kwa mazingira tofauti, na kusababisha mataifa na makabila mbalimbali tunayotambua leo.

Genetic variation is raw material for evolution, inayo unganisha tofauti zote za mfatano wa DNA ndani ya numbers za watu. Genetic drift kwa upande mwingine, ni utaratibu wa mageuzi ambapo matukio ya bahati nasibu hubadilisha marudio ya gene variants (alleles) katika idadi ya watu, ambayo inaweza kusababisha upotezaji au
urekebishaji wa alleles fulani.

Genetic drift alone does not determine whether someone looks like an Arab, African, or European. Genetic drift ni mchakato wa bahati nasibu ambao unaweza kusababisha mabadiliko katika mzunguko wa genes ndani ya idadi za watu kwa muda.
 
Hivi, mpaka lile taifa la mchoongo(linalojiita teule)

Mungu wao hakujua wateule wake wanaenda kukosa makazi! Na wengine kupukutika(japo kwa akili za wenzetu tunajua Makombola ya Iran yanashusha tu mijengo hayaui!!!

Mbali na hilo, akaamua wateule wake wawe wanakimbilia mashimoni kama panya! Daadeki. Matango bado tutalishwa tuuuu
Mungu unamchonga mwenyewe kwenye akili yako.
 
Wanadamu wote wanatoka kwa Adamu na Hawa, utofauti tunaouona katika mataifa na makabila unaelezewa na kutofautiana kwa maumbile ni kutokana na genetic variation and migration patterns.
Unachanganya habari za "Adamu na Hawa" ambazo ni imani za kidini za kusadikika na Genetics ambayo ni sayansi yenye facts.

Sayansi na imani haviwezi kukaa pamoja.

Huwezi kuchanganya habari za "Adamu & Hawa" na Genetics.

Unafanya Logical fallacy ya non-sequitur.

Una unganisha vitu viwili tofauti visivyo na uhusiano wowote ule kuunda hitimisho potofu.

Kwanza hakuna uthibitisho wenye uhakika kwamba Adamu alikuwepo. Sanasana ni stori za kwenye Biblia tu ndizo zinamwelezea Adamu.

Kwa hiyo habari za Adamu bado hazijitoshelezi na hazina uthibitisho wenye uhakika

Kwa hiyo huwezi kusema kwamba wanadamu wote tumetoka kwa Adamu bila kuwa na uhakika na uthibitisho wa uwepo wa huyo Adamu mwenyewe.
Over time, populations have migrated and become isolated hivyo kusababisha michanganyiko ya kipekee ya sifa za kurithi na kubadilika kwa mazingira tofauti, na kusababisha mataifa na makabila mbalimbali tunayotambua leo.

Genetic variation is raw material for evolution, inayo unganisha tofauti zote za mfatano wa DNA ndani ya numbers za watu. Genetic drift kwa upande mwingine, ni utaratibu wa mageuzi ambapo matukio ya bahati nasibu hubadilisha marudio ya gene variants (alleles) katika idadi ya watu, ambayo inaweza kusababisha upotezaji au
urekebishaji wa alleles fulani.

Genetic drift alone does not determine whether someone looks like an Arab, African, or European. Genetic drift ni mchakato wa bahati nasibu ambao unaweza kusababisha mabadiliko katika mzunguko wa genes ndani ya idadi za watu kwa muda.
Kwenye Genetics variation sawa.

Lakini habari za Adamu hazina ukweli wala uthibitisho wowote ule.

Sanasana ni hadithi za kwenye hekaya za Biblia tu.

Ukisema kwamba wanadamu wote tumetoka kwa Adamu kwa vile ndivyo Biblia yako ilivyokwambia, Hata mwislamu atakwambia wanadamu wote tumetoka kwa Allah kwa vile ndivyo Quran yake inavyomwambia.

Sasa hapo hakuna ukweli wenye uhakika zaidi ni imani za vitabuni tu, Zisizo na uthibitisho wowote ule.
 
Similarities kuwa sawa kati ya binadamu na earlier primates bado hakuleti uthibitisho wenye uhakika kwamba binadamu alitokana na hao primates.

Kusema kwamba binadamu alitokana na earlier primates sikweli.

Kwa sababu hatuoni tena binadamu akiendelea na evolution abadilike kutoka binadamu kwenda kwenye hatua nyingine ya kimaumbile.

Pia hatuoni tena masokwe yakibadilika kuwa binadamu kama kweli evolution ilitokea na inaendelea.

Darwin alihakikisha vipi kwamba kweli binadamu ali evolve kutoka kwa earlier primates?

Au ali introduce tu theory bila proofs za uhakika na zisizo jitosheleza?
Huu sasa utakuwa ni utoto!
Kwaheri mkongwe!!!

Nimekupa ubingwa, endelea kuchuana na wanaotakiwa kuthibitisha Mungu yupo, mimi nimekupa ushindi.

Byeeeee!!!
 
Wewe unataka theory ikubaliwe tu kwa vile Darwin alisema.

Tukihoji maswali kwa nini hatuoni hiyo evolution process ikiendelea? Hakuna majibu.

Sasa tutahakikisha vipi Darwin alikuwa sahihi kwa asilimia mia?
 
Mungu unamchonga mwenyewe kwenye akili yako.
Hahahahahaha umeguswa eh! Amini unavyoamini, pumbaa kama ulivyopumbazwa, endelea na ujinga wako kama ulivyo hivyo hivyo.

Alokushurutisha kutoamini unavyoamini ni nani? Na kwa nini wengine waamini unavyoamini wewe? Ukiona mada ipo nje ya uwezo wako, soma, pita.
 
Similarities kuwa sawa kati ya binadamu na earlier primates bado hakuleti uthibitisho wenye uhakika kwamba binadamu alitokana na hao primates.

Kusema kwamba binadamu alitokana na earlier primates sikweli.

Kwa sababu hatuoni tena binadamu akiendelea na evolution abadilike kutoka binadamu kwenda kwenye hatua nyingine ya kimaumbile.

Pia hatuoni tena masokwe yakibadilika kuwa binadamu kama kweli evolution ilitokea na inaendelea.

Darwin alihakikisha vipi kwamba kweli binadamu ali evolve kutoka kwa earlier primates?

Au ali introduce tu theory bila proofs za uhakika na zisizo jitosheleza?

Kwa sababu hatuoni tena binadamu akiendelea na evolution abadilike kutoka binadamu kwenda kwenye hatua nyingine ya kimaumbile:

Mkuu, nomba nikuulize swali. Kwa umri ulio nao, ulitegemea uone nini? Kama leo tunadanganyana kwamba tupo mwaka 2025. Wengine watakwambia ni baada Yesu kuzaliwa. Ina maana kabla yake, kuna vitu vingine viliendelea. Kwa miaka isiyojulikana. Wanakuja wanasayansi, wanadai dunia ina miaka zaidi ya milioni na milioni.

Maswali yangu ni haya:

1. Ulitegemea hizo evulution uzione saa ngapi, kama ni kweli hayo yalitokea miaka hiyo zaidi ya milioni? Kama ilikuwa ikitokea baada ya miaka milioni, si wazi walioshuhudia hawapo miaka na miaka! Na watakaoshuhudia tena, ni miaka na miaka! Leo wewe haumo.

2. Wawe wanasayansi, wanaoitwa wapagani. Wawe wachungaji na wasomi wa hicho kitabu chenu, wanaoitwa wachungaji. Kila kukicha wanapishana kauli. kama kweli Mungu ni mmoja, ina maana haya madhehebu ya kila kukicha tusingeyyaona. Watu wangekuwa wanaabudu huyo Mungu ambaye angeitwa Mungu. lakini, leo kuna Adonai, Kesho El-shadai, Keshokutwa wa Zumalidi, siku nyingine fulani, duniani ukizunguuka utakuta ana majina zaidi ya milioni. Huyo huyo mmoja.

Wewe huoni huu ni utapeli wa hali ya juu?

Hakika we ni shahidi. Kama mtu mmoja anamwambia mwenzake kwamba lete pesa yote uliyo nayo mpe sadaka Mungu huyo, utafanikiwa zaidi, kweli mjinga anatoa, anarudi kwake na kulala njaa, badala ya kufanya kazi,ili apate, anashinda anazulula eti anaomba Mungu amuongezee hela. Yule aliemdanganya kakusanya za wengi na kufanya mambo yake. Huoni Mungu ni kauli ya matapeli wenye akili zao?

Je, mpaka hapa, leo hii Afrika hii inayolalamika ukoloni, si hizo hizo njama zilizotumika? Utakuta kanisa lina heka na heka za ardhi, walizonyang'anywa raia kwa kitu kidogo, kwa sababu wanyang'anyi hawa walijua miaka hata 500 mbele tutahitaji maendeleo furani! Uzuri wenzetu, waongo hawa wa kupindukia, wao hawafanyi vitu kwa faida yao. Hapana. Tofauti na sisi tunaotaka kujineemesha na familia zetu, wao utakuta anaandalia mazingira mazuri kizazi cha miaka 300 na kuendelea huko mbele. Ndo maana leo wanakula matunda ya ujanja wa watangulizi wao, sisi tunasaga meno kwa ujinga wa watangulizi wetu.
 
Wewe unataka theory ikubaliwe tu kwa vile Darwin alisema.

Tukihoji maswali kwa nini hatuoni hiyo evolution process ikiendelea? Hakuna majibu.

Sasa tutahakikisha vipi Darwin alikuwa sahihi kwa asilimia mia?
Maswali yote uliyouliza umejibiwa, sema haupo tayari kukubaliana na majibu uliyopewa, ama haujasoma vyema majibu uliyopewa.
Tuachane na the theory of evolution of man, maana ipo wazi kuwa haupo tayari kukubaliana nayo, labda mpaka aje Kiranga akubaliane nayo na wewe utakubaliana nayo.

Vipi kuhusu the big bang theory, unakubaliana nayo?
 
Hii evolution pengine iwe bado inaendelea. Kama wanaoitwa wanasayansi wanajua dunia ipo kwa mamilioni ya miaka, hiyo evilution inawezekana kila baada ya miaka milioni hata 10. Nani ataiona? Ila kikubwa tuuu, wote hawa wanaoongelea huyu Mungu, ni gundi furani waliyopakwa sehemu furani kichwani mwao, na kuisugua na kuiondoa ishashindikana. Ukimuuliza unajuaje Mungu yupo, kwa umri wako, maelezo hakupi. Sasa basi, alizaliwa akakuwa, akakuta watu wana imani hiyo, na yeye akaona tu aamini hivyo hivyo blindly. Na cha ajabu, akataka hata jamii inayomzunguuka au watoto atakaowazaa, waamini hivyo hivyo blindly.
 
Kwa sababu hatuoni tena binadamu akiendelea na evolution abadilike kutoka binadamu kwenda kwenye hatua nyingine ya kimaumbile:

Mkuu, nomba nikuulize swali. Kwa umri ulio nao, ulitegemea uone nini? Kama leo tunadanganyana kwamba tupo mwaka 2025. Wengine watakwambia ni baada Yesu kuzaliwa. Ina maana kabla yake, kuna vitu vingine viliendelea. Kwa miaka isiyojulikana. Wanakuja wanasayansi, wanadai dunia ina miaka zaidi ya milioni na milioni.

Maswali yangu ni haya:

1. Ulitegemea hizo evulution uzione saa ngapi, kama ni kweli hayo yalitokea miaka hiyo zaidi ya milioni? Kama ilikuwa ikitokea baada ya miaka milioni, si wazi walioshuhudia hawapo miaka na miaka! Na watakaoshuhudia tena, ni miaka na miaka! Leo wewe haumo.

2. Wawe wanasayansi, wanaoitwa wapagani. Wawe wachungaji na wasomi wa hicho kitabu chenu, wanaoitwa wachungaji. Kila kukicha wanapishana kauli. kama kweli Mungu ni mmoja, ina maana haya madhehebu ya kila kukicha tusingeyyaona. Watu wangekuwa wanaabudu huyo Mungu ambaye angeitwa Mungu. lakini, leo kuna Adonai, Kesho El-shadai, Keshokutwa wa Zumalidi, siku nyingine fulani, duniani ukizunguuka utakuta ana majina zaidi ya milioni. Huyo huyo mmoja.

Wewe huoni huu ni utapeli wa hali ya juu?

Hakika we ni shahidi. Kama mtu mmoja anamwambia mwenzake kwamba lete pesa yote uliyo nayo mpe sadaka Mungu huyo, utafanikiwa zaidi, kweli mjinga anatoa, anarudi kwake na kulala njaa, badala ya kufanya kazi,ili apate, anashinda anazulula eti anaomba Mungu amuongezee hela. Yule aliemdanganya kakusanya za wengi na kufanya mambo yake. Huoni Mungu ni kauli ya matapeli wenye akili zao?

Je, mpaka hapa, leo hii Afrika hii inayolalamika ukoloni, si hizo hizo njama zilizotumika? Utakuta kanisa lina heka na heka za ardhi, walizonyang'anywa raia kwa kitu kidogo, kwa sababu wanyang'anyi hawa walijua miaka hata 500 mbele tutahitaji maendeleo furani! Uzuri wenzetu, waongo hawa wa kupindukia, wao hawafanyi vitu kwa faida yao. Hapana. Tofauti na sisi tunaotaka kujineemesha na familia zetu, wao utakuta anaandalia mazingira mazuri kizazi cha miaka 300 na kuendelea huko mbele. Ndo maana leo wanakula matunda ya ujanja wa watangulizi wao, sisi tunasaga meno kwa ujinga wa watangulizi wetu.
Yesu hayupo.

Mungu hayupo.

As simple as that.
 
1. Ulitegemea hizo evulution uzione saa ngapi, kama ni kweli hayo yalitokea miaka hiyo zaidi ya milioni? Kama ilikuwa ikitokea baada ya miaka milioni, si wazi walioshuhudia hawapo miaka na miaka! Na watakaoshuhudia tena, ni miaka na miaka! Leo wewe haumo.
Unapoteza muda mkongwe, haya unayomuuliza na kumwambia, nimemwandikia huko nyuma, pamoja na kumpa links zenye maelezo ya kutosha kuhusu hiyo theory ya evolution of man.

Haamini binadamu aliumbwa upande wa imani, pia haamini kuhusu uwepo wa theory of evolution of man upande wa science. Huyu anapingana na vyote, hakubaliani na facts za science pia hakubaliani na habari za maandiko ya dini.
 
Maswali yote uliyouliza umejibiwa, sema haupo tayari kukubaliana na majibu uliyopewa, ama haujasoma vyema majibu uliyopewa.
Tuachane na the theory of evolution of man, maana ipo wazi kuwa haupo tayari kukubaliana nayo, labda mpaka aje Kiranga akubaliane nayo na wewe utakubaliana nayo.

Vipi kuhusu the big bang theory, unakubaliana nayo?
Hata hiyo Big-Bang ni nadharia isiyo na uthibitisho.

Hakuna aliyeshuhudia Big-Bang ikitokea.

Hakuna aliyeshuhudia Evolution ikitokea.

Watu wali introduce theory zao bila uthibitisho wa kutosha.
 
Unapoteza muda mkongwe, haya unayomuuliza na kumwambia, nimemwandikia huko nyuma, pamoja na kumpa links zenye maelezo ya kutosha kuhusu hiyo theory ya evolution of man.

Haamini binadamu aliumbwa upande wa imani, pia haamini kuhusu uwepo wa theory of evolution of man upande wa science. Huyu anapingana na vyote, hakubaliani na facts za science pia hakubaliani na habari za maandiko ya dini.
Binadamu hawaumbwi na wala hawakuumbwa.

Binadamu hawa evolve.

Binadamu ni kiumbe kamili kinacho zaliana chenyewe.
 
Hata hiyo Big-Bang ni nadharia isiyo na uthibitisho.

Hakuna aliyeshuhudia Big-Bang ikitokea.

Hakuna aliyeshuhudia Evolution ikitokea.

Watu wali introduce theory zao bila uthibitisho wa kutosha.
Sawa, so...what is the origin of the earth sir!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom