ATCL: Another Richmond!

ATCL: Another Richmond!

Hivi huyu Mkurugenzi Mkuu na Board Yake si kwa vyovyote walikuwa na business plan... je kuna yeyote mwenye hiyo business plan...

Maana huenda pia Mmliki aliahidi capital injection alafu hakufanya hivyo? twaweza kuangalia upande wa management tu... kumbe mmliki pia ana tatizo!
 
Hivi huyu Mkurugenzi Mkuu na Board Yake si kwa vyovyote walikuwa na business plan... je kuna yeyote mwenye hiyo business plan...

Maana huenda pia Mmliki aliahidi capital injection alafu hakufanya hivyo? twaweza kuangalia upande wa management tu... kumbe mmliki pia ana tatizo!
 
Hivi ni lazima kweli watu wote hawa wawajibike kwa rais? Tuchukuwe mfano moja tu ( Tafadhali ninatoa mifano ya mfumo na siongelei watu)

1-Waziri wa fedha anachakuliwa na rais kwa mapemzi yake mwenyewe bila kuulizwa umemtoa wapi huyo mtu unaetaka kumpa madaraka makubwa namna hiyo? raisi atajibu -kwa mamalaka niliyo nayo nitamteuwa mtu yeyote ninaeona anaenifaa ( siyo anaewafaa ?????) kuongoza ilimradi tu ni mbunge na kama siyo mbunge basi nitamfanya awe mbunge kwanza halafu nitampa mamalaka ninayotaka.Ukiangalia hapa rais hana kosa hata kidogo hata akimteuwa Mwanae- mfumo wetu huo??? hakuna wa kumhoji!!!!!
2-Katibu mkuu wizara ya Fedha- Anateuliwa na Rais kwa utashi wake tu- hakuna mtu wa kumhoji kwa uwazi wewe rais wetu umemchomoa wapi huyu mtu???? CV yake anayo rais na vyombo vyake basi.
3.Wakurugenzi wa idara na makamishina wao wote wizara ya fedha wanateuliwa na rais na vyombo vyake bila masawali
4.GAVANA WA BENKI KUU NA MANAIBU WAKE WANATEULIWA NA RAIS KWA UTASHI WAKE TU.Kwa hiyo nduguzanguni watu wote wanaoshikilia na kuamua mambo yote ya fedha ya watazania wote zaidi ya milioni 35 wanawajibika kwa mtu mmoja tu.
Ninataka tujiulize maswali mepesi sana kama yafuatayo ( ninaomba kurudia hapa simlengi mtu ninalenga mfumo tu)
a) Je huyu rais ni mungu?
b) Watu huwa wanaugua, Je raisi akiwa madarakani akaugua ugonjwa wa akili ambao siyo mwepesi kugundulika akaanza kutoa maamuzi ya mtu mgonjwa na kweli ni mgonjwa na hivyo hana kosa. je watendaji hawa watasema kwa nani kuwa sasa jamani nina/tunaona maamuzi ya rais ni ya mgonjwa ninaomba tusi/nisitekeleze?
Killio chote cha marekebisho ya sheria kinaanzia hapa na kama unakumbuka jambo hili ndilo chimbuko la mgogoro mkubwa wa kisiasa Kenya.
 
Kuna makubwa ambayo nayajua kuhusu hali ya ATC.. lakini kuna faida gani kuyaweka hadharani? Hivi ni wangapi wanajua kuwa hilo li Airbus lao linaruka likiwa na matatizo....? na haya ni tofauti na yale tuliyoyaanisha mwanzoni?

kama linamatatizo ya kiufundi, ndege ikianguka ikiuwa watu ndio serikali itajua kama atc inaendeshwa kienyeji enyeji.

matatizo ya atcl mtu wa chini akitupia macho kidogo tu anayajua, itakuwa rais?
kutochukuliwa hatua watendaji wa atcl ni kuonyesha jeuri na kiburi cha viongozi wa juu wa serikalini.
 
Habari zilizotufikia muda tukienda mitamboni zinasema kampuni ya ndege ya tanzania baada ya kuwahaadaa wabunge kwa kufanya safari za ndege za dodoma ,,imeamua kuairisha safari hizo baada ya mmoja wa mmoja wa walio kwenye board ya atcl kushtuka sana na kuulizia hii inakwendaje ..mbona mnazidi kutaka kuliua hili kampuni nani ataenda dodoma????baada ya kuona hili kwenye
JF...
Wakatihili likiendelea inasemekana yule muhindi mwenye hisa na A.AFRICAN AIRWAYS alishafix mambo yake kuiua kampuni kwa kutafuta jamaa wa travel agent kufanya mambo yao../.na kichekesho tumesikia jamaa alishaanda hadi sehemu ya kukodishia ofisi...ewe chori unaitakia nini kampuni hiyo????????

kwa hamu si abiria tunasubiri sana maana nilivyoona hapa nikakimbiia kwenye travel agent kuuliza wanadai wameambiwa waseme hazipo tena safari hizo

mwanakijiiji ni tutawafundisha na kuwatabiria mpaka kufa..nakumbuka uliuliza je itaruka .....sasa wameshawaambia tarvel agent akuna....nyie waatu wa marketing mpo??????????mmhhhhh

innalilah na ma wabrina!!!!!!!!
 
zengwe la hao wa tz wenye asili ya eshia.......! tukilonga mnatuita RACISTS........!
SI WENZETU HAWA JAMANI.....!
 
habari Zilizotufikia Muda Tukienda Mitamboni Zinasema Kampuni Ya Ndege Ya Tanzania Baada Ya Kuwahaadaa Wabunge Kwa Kufanya Safari Za Ndege Za Dodoma ,,imeamua Kuairisha Safari Hizo Baada Ya Mmoja Wa Mmoja Wa Walio Kwenye Board Ya Atcl Kushtuka Sana Na Kuulizia Hii Inakwendaje ..mbona Mnazidi Kutaka Kuliua Hili Kampuni Nani Ataenda Dodoma????baada Ya Kuona Hili Kwenye
Jf...
Wakatihili Likiendelea Inasemekana yule Muhindi mwenye Hisa Na A.african Airways Alishafix Mambo Yake Kuiua Kampuni Kwa Kutafuta Jamaa Wa Travel Agent Kufanya Mambo Yao../.na Kichekesho Tumesikia Jamaa Alishaanda Hadi Sehemu Ya Kukodishia Ofisi...ewe Chori Unaitakia Nini Kampuni Hiyo????????

Kwa Hamu Si Abiria Tunasubiri Sana Maana Nilivyoona Hapa Nikakimbiia Kwenye Travel Agent Kuuliza Wanadai Wameambiwa Waseme Hazipo Tena Safari Hizo

Mwanakijiiji Ni Tutawafundisha Na Kuwatabiria Mpaka Kufa..nakumbuka Uliuliza Je Itaruka .....sasa Wameshawaambia Tarvel Agent Akuna....nyie Waatu Wa Marketing Mpo??????????mmhhhhh

Innalilah Na Ma Wabrina!!!!!!!!
.....haya Sasa...............! Indian Of Tanzanian Of Asian Origin....!
 
katika maswali yake mzee huyo alidiriki kusema siku yamwisho naomba kila mtu abebe mzigo wake hatuitji kubebeshwa mizigo tusiyoiweza..wengine tuna wajukuu wanatutegeemea kwa ujira huu!!!!!!!

hivi hao viongozi wako ok kweli???????????

""""""ATCL KUDHAMINI MISS TANZANIA"""""""""""""""

SOURCE TANZANIA DAIMA

yaani huku nimesoma juzi wameshindwa kuwapa hata pipi peremende ya 100
wanakimbilia kufadhili hizi pesa zinatoka wapi????au kwa sababu huyu jamaa
wa finance kama nilivyosoma anatoa na kuruhusu hela pale kwenye mlo..kwingine atoi kabisa

wanawane BP.......NGOMA INOGILE PESA IPO UKOMPAKA KIELEWEKE NA WAKILETA UHUNI TENA HII NDIO MIFANO YA KUTUMIA~~!!!!~~NATARAJI NINGEKUWA UKO ASINGELALA MTU WALAI!!!!!!!HUKU TTCL WANATUKOMA USHENZI ULIIWAISHA MANAG NA WENZAO!!!!
WAJE WATUULIZE TUWASAIDIE

C.C.C.CHINO
 
mbona mnazidi kutaka kuliua hili kampuni nani ataenda dodoma????baada ya kuona hili kwenye
JF...

Mkuu, nikatafute ulaji nini? Maana ni mimi niliulizia! Nakuhakikishia sitawasahau walionifagilia.
 
Mkuu Mchundo
Unatisha!!!!!ulaji Nje Nje Maana Watakuona Mchawi

Nakufagilia Kihindi

Swiiiiiiiiiii Swiiiiiiiiiiiii Avache Sana!!!!!!!!!!!!!111111111111
 
ndiyo mambo yalivyo... na habari ni kuwa safari hizo za Dodoma zitasitishwa kwa sababu zilikuwa ni geresha ya Wabunge... kwa sababu huwezi kupanga safari za mara mbili kwa wiki ukipigia mahesabu (no pun intended) kikundi cha watu 320...
 
Tuhuma Za Ufisadi Zimezidi Kuilemea Serikali Bungeni Baada Ya Jana Mbunge Wa Kigoma Mh Zitto Kuibua Kahsfa Kubwa Bungeni Kuhusu Ufisadi Uliofanywa Na Kampuni Ya Atcl...madai Hayo Mapya Yaliongelewa Na Mh Zitto Alipokuwa Akiwasilisha Bajeti Mjadala Ya Miundo Mbinu...
\kambi Ya Upinzani Imepaata Taarifa Na Si Taarifa Tu Inao Ushahidi Wa Kutosha Kuwa Ndeege Zote Za Atcl Ni Mbovu Na Zilinunuliwa Na Mafisadi..huku Akiwahakikishia Wabunge Anazo Docs Za Kutosha Kueleza Hali Halisi Alisematunatoa Benefit Of Doubt Kwa Atcl Na Hivyo Tuanataka Maelezo Ya Kina Na Majibu Yasiyo Ya Kihuni Kuhusiana Na Ununuzi Wa Ndege Zote Kabla Hatujaziwakilisha Docs Hizo Sehemu Zinazotakiwa...
Kabwe Alisema Tuanendelea Kuhoji Mali Za Atcl Zile Nyumba Zimeuzwa Na Kugawiwa Wakubwa Kihuni..na Ushahidi Tunao Na Zingine Wamenunua Mawaziri Wakubwa Wasivyo Na Aibu Bila Hata Kujali Waliokuwa Mule Ndani Yaani Wafanyakazi Wa Atcl...
Mh Zito Aliitabanaisha Bunge Kuwa Kumekuwa Na Ukiritimba Wa Kutosha Pale Airport Na Kampuni Ya Swissport Huku Mkurugeenzi Akiwahahakikishia Watu Hakuna Aanaeweza Kuletwa Tumeahikikishiwa Mpaka 2010 Wacha Waongee Wanavyotaka...hali Hii Inafanya Kuwa Na Dharau Na Kushindwa Kufanya Majukumu Yake!!!!
Alisema Kuna Haja Ya Kuweka Ushindani Kwenye Uwanja Huu Kutokomeza Ukiritimba Huu...nina Mtaka Waziri Kutengua Ukiritimba Huu Mara Moja Kuwe Na Ushindani Alisema Kijana Yule!!1

Naona Wameamua Kusikia Kilio Cha Jf Sasa!!!!!
Kazi Kweko Kawambwa Ndege Zile Bomu Milungula Itawaua Watanzania Jamani!!!1
 
Ni kazi ya viongozi makini kusikiliza na kutafutia ufumbuzi matatizo ya wananchi ,hapa Zitto kaonyesha kuwa anasoma na kufuatilia mambo this is the leadership we need.
 
Ni kazi ya viongozi makini kusikiliza na kutafutia ufumbuzi matatizo ya wananchi ,hapa Zitto kaonyesha kuwa anasoma na kufuatilia mambo this is the leadership we need.

Tunahitaji akina Zitto wengi!!!

Kitila please this time usitu-let down mkuu chukua form Dar es Salaam utashinda tu mkuu, tena jimbo la Ubungo kama Mnyika hatagombea au Jimbo la Kinondoni Mkuu!!!

Achana na kule Singida, maana huenda haujapeleka huko tu-vijisenti!!!
 
Wameinama, wameinuka, wameona...., kaza buti Mh, Zitto fisadi wote wajue arobaini yao inakaribia.

Ufisadi wa nyumba zetu, na hata zile za serikali huko bungeni mbona halisikiki tena? Tusemeeni jamani nalo msisahau. yaani bei ya nyumba zile jamani zilivo sehemu nzuri wanagawiana wao tu kama peremende??
 
Hili limenigusa kwa sababu usalama wa anga sio kitu cha kuchezea kabisa na hali hii ikiendelea bila kutolewa ufafanuzi shirika letu teule litaangamia au litaendelea kuchota pesa za wananchi bila faida yoyote wakati nchi za wenzetu airlines especially national carrier zinachangia kiasi kikubwa katika pato la hayo mataifa. Hebu mwana jf mmoja ajaribu kufungua www.airtanzania.com na anijulishe kama mtatandao huo ni rechable na kama sio rechable watawezaje kushindana wakati habari zao hazipatikani.

Back kwenye ndege mbovu, hebu tujaribu kuona namna ndege inavyoweza kuja fanya kazi tanzania au kuwa registered Tanzania. Utaratibu ni kama hivi ngege ya kununuliwa ( ya zamani maana order zilizoko huko Boeing na airbus que yake ni ndefu kwa tanzania kuweza kupata japo ndege moja mpya labda baada ya miaka kumi) au ya kukodi ni lazima ihakikiwe na mamlaka husika kama ni airworthy au la. Na mamlaka hiyo ambayo ni mwanachama wa International Civil Aviation Organization (ICAO) yenye makao yake Canada ni Civil Aviation Authority of Tanzania (TCAA). Na mambo yote yanayohusiana na airworthness ya ndege husika anatakiwa kupewa mtu anayenunua au kukodi ngege hiyo. Sasa wana jf kama kuna yeyote anaweza kupitapita huko TCAA hebu afanye mambo tupate hayo madesa ya hizo ndege tujue maintenance zake zilikuwa zinafanyikaje na wapi ili tuwatoe wasiwasi watanzania.

Lakini japo niwatoe wasiwasi kidogo, ni kwamba kila nchi ina mamlaka yake ya anga kama ilivyo TCAA tanzania hivyo hakuna uwezekano wa kurusha ndege ambayo sio airworthy. Na kila ndege inayoruka lazima kuwe na Engineer aliyesign Document iitwayo fitness for flight baada ya kukagua maintenance documents zote.

Labda ununuzi ndio wa wasiwasi na ndege ni zeefu kwani kununua mpya unatakiwa kuweka order ambayo nashangaa kwanini airtanzania kupitia Serikali hawafanyi order ya ndege. Kwanza ukiorder japo ndege kama 7 na kuzipata kwa awamu tutaitangaza nchi na kukaribisha watalii wengi na kikubwa zaidi tutaanza kuchukua abilia wetu kutoka Emirates, Quater, Ethiopia, Kenya na hata Perecision au tuache safari za ndani tupambane na international na continental uwezo tunao watu wakuongoza naamini tunao. Hivi mmeona ni namna Emirates na wengine wananyochukua abiria hapo bongo kila leo.
 
Back
Top Bottom