Ni kweli anavyosema F2S kwamba ili ndege zinunuliwe inabidi TCAA certify kuwa ndege hizo ni airworthiness. Sasa im ekuwaje ndege hizo bomu zinunuliwe? Juzi nilipita pale Mwl Nyerere Intl Airport nikaona ndege (Boeing) 2 zipo kwenye hanger nikadhani kuwa ni routine check, kumbe ni mabomu. Hakika tutauwa watanzania hivi hivi tunaona. Je waziri keshajibu hili la Zitto? Hebu tusubiri majibu, kama siyo kudanganywa kama kawaida yao.