Askofu Methodius Kilaini naye alimegewa 80m za mbia wa IPTL

Askofu Methodius Kilaini naye alimegewa 80m za mbia wa IPTL

Kama viongozi wa dini nao ndo hivyo tena hatuna taifa tenaaaa
 
Ni vita dhidi ya mafisadi wote bila kujali wamejivika nini kwa juu.

Kama itathibitika naye aadhibiwe bila kujali uaskofu wake.
 
No evidence no right to speak, wakatoliki hawana uhusiano ka ufisadi.

Nimewapa project za kilaini hapo juu, iyo 80m ni kama buku kwa

project za Dr kilaini bado mnalalama
pesa za umma anapewa kilaini afanyie miradi yake?
 
kanisa halikatazwi kupokea zaka au michango kutoka kwa waumini wake
kama alimmegea alimpa kamamchango au zaka nakama hakumweleza alipozitoa askofu hana hatia
hata machangudoa hutoa zaka,wanakozitoaa kanisha halihusiki, ni juu ya mtoaji na Mungu wake
 
Kwani hiyo fedha lipewa Kilaini au kanisa? Zaka ni 1/10 ya mapato ya mtu kwa kanisa na siyo kwa mchungaji wala padre au askofu.
 
Na chaajaabu zaidi.rugemalila aliwaonya serikalu juu ya ujanja ujanja ambao kuna watu wanataka kuufanya.refer aliyoyasrma mbrle ya kamati na alitoa tahadhari kwa barua.lakini serikali kwankua ilishazipgia deal izo pesa ikaweka masikio pamba.rugemalila kama mfanya biashara anahaki ya kuhuza hisa mda wowote anapohitaji kulingana na hali ya soko LA hisa zake kwa kipindi iko.

Kweli kabisa mkuu
 
Njia sahihi kwake ni kujitokeza na kukiri au kukanusha. Ninachoona hapa mgawaji pesa alikuwa akitafuta influential persons na malengo yake hapa sijayajua. Huyu Rugemalira ni mtu wa namna gani? Wenye historia yake (cv) watuwekee hapa. Wabia / washiriki wake ni nani.....zahidi watafuta uraisi ili ni-conect dots kidogo... na nipate mwanga wa hapo baaadae juu ya nchi hii.

Mkuu cv ya huyu jamaa ni tapeli aliyekuja kujifanya International business consultant. Alishafanya kazi BoT miaka ya nyuma akaondoka kwa skendo. Baada ya hapo akawa ni mtu wa kufungua vikampuni hasa vya kufanya deals za ndani hapa akishirikiana na kampuni za nje. Alitumia kona zake alizoziestablish akiwa BoT na pia lobbying ya Wahaya wenzake waliokuwa kwenye positions kuwin deal za ndani. Alivyopata fedha, akapunguza kutumia ukabila akawa anasambaza noti. Kwa kifupi ni mchora madili makubwa mkali lakini anatumia ulaku wa viongozi kufanikisha madeal yake hasa kulegezewa kanuni, taratibu na sera za nchi.
 
Ivi mi nikitoa sadaka, na mchungaji asijue nimepataje iyo sadaka, mchungaji akiitumia, anapata dhambi?!
 
Sema Askofu kala pesa za IPTL siyo kuwachanganya wote kumbe povu lote linalokutoka humu una chagua watu, teh teh teh
Mkuu Ritz mpini imepiga penyewe. maovu mengi ya dunia hii yanapitia huko. kwa hiyo usishangae haya. hata benki inayopitisha hela hizo inaitwa mkombozi. fuatilia ujue hiyo benki inamilikiwa na nani.
 
Fedha ama kwa hakika si haramu BALI wanadamu ndio haramu
 
kanisa halikatazwi kupokea zaka au michango kutoka kwa waumini wake
kama alimmegea alimpa kamamchango au zaka nakama hakumweleza alipozitoa askofu hana hatia
hata machangudoa hutoa zaka,wanakozitoaa kanisha halihusiki, ni juu ya mtoaji na Mungu wake

Tusitetee upuuzi, uchunguzi ufanyike kama hiyo pesa haina maelezo ya kutosheleza atawajibishwa tu.

Na kama ni fungu la kumi au zaka kumbukumbu za kanisa zitaonyesha.

Hivi Unajua kwa nini alihamishiwa Tabora toka Dar.?
 
Ambacho nashindwa kuelewa hao waliochukua hela za huyo bwana wana kosa gani???

Wao wamepewa fedha kama zawadi tena fedha zilizokatwa na kodi TRA ulitaka wao wafanyeje? Njia iliyotumika mpaka kuzipata hizo fedha kama ni halali au lah anaijua mwenye fedha.

Hivi wewe rafiki yako akikupa fedha kama msaada utamuuliza kazitoa wapi?????

Mbona mnapenda kushikia watu mabango sana hata kwenye upuuzi? Mbona hamleti maelezo ya Mbowe naye kupewa zawadi?

Nani akupe hela zote hizo bure kama hana malengo yake binafsi,hivi wewe unamjua Rugemalira au unamsikia tu,eti akupe hela yake bure,basi subiri hata wewe utapewa bure huo mgao,ni nani ambaye ni mtu wa kawaida kapewa bure hizo pesa?tafakari.
 
Ambacho nashindwa kuelewa hao waliochukua hela za huyo bwana wana kosa gani???

Wao wamepewa fedha kama zawadi tena fedha zilizokatwa na kodi TRA ulitaka wao wafanyeje? Njia iliyotumika mpaka kuzipata hizo fedha kama ni halali au lah anaijua mwenye fedha.

Hivi wewe rafiki yako akikupa fedha kama msaada utamuuliza kazitoa wapi?????

Mbona mnapenda kushikia watu mabango sana hata kwenye upuuzi? Mbona hamleti maelezo ya Mbowe naye kupewa zawadi?
Mbowe katoka wapi hapa?
kasisi kanaswa na fupa la mbuzi aliyeibiwa ni lazima ajitokeze hadharani atueleze hilo fupa la mbuzi aliyibiwa limemfikia je.
Atueleze kama kanisa lina habari ya yeye kupokea m80
na je kanisa linaruhusu yeye kupokea zawadi uchochoroni na kukaa nayo kimya?
ukizingatia pia kuwa hana familia inayomtegemea je hiyo pesa ameitumia wapi na kivipi?
KASISI NI MUDA MUAFAKA HUU KUJITOKEZA HADHARANI KUUNGAMA UOVU DHIDI YA JAMII.
 
Watu wa makanisa wanaomba sana sadaka ziongezeke inawezekana rugemalira alitoa ili kutii wito wa kulitolea kabisa mavuno na fungu la kumi lol
 
Watu wa makanisa wanaomba sana sadaka ziongezeke inawezekana rugemalira alitoa ili kutii wito wa kulitolea kabisa mavuno na fungu la kumi lol

kwanza ieleweke kuwa Rugemarila hakuchota fedha za Escrow, iliyochota hela za Escrow ni IPTL/PAP, Ruge alilipwa hisa zake ambazo aliziuza kwa bei ya Soko, Wanaopaswa kurudisha hizo fedha ni IPTL/PAP; Kwa sababu nyingi walishazitumia itabidi mitambo itaifishwe, RUGE hana makosa
 
Back
Top Bottom