Askofu Methodius Kilaini naye alimegewa 80m za mbia wa IPTL

Askofu Methodius Kilaini naye alimegewa 80m za mbia wa IPTL

Kwa masikitiko makubwa ninayo huzuni kuandika hapa kuwa Mmojawapo wa waliomegewa pesa za mbia wa IPTL ni askofu msaidiza wa jimbo la bukoba mhashamu Askofu Kilaini. Yeye alimegewa pesa hizo kutoka akaunti ya Rugemalira iliyoko kwenye Benk ya Ukombozi.

Kwa mujibu wa statement ya mbia huyo wengine ni akina Anna tibaijuka kama ilivyokwisha kuandikwa awali.
Bila shaka mtaniuliza chanzo au source, source ni kuwa huu ni ukweli mtupu, siandiki kwa chuki za kidini kwa kuwa mimi pia ni mkatoliki, bali nimeandika hapa kwa kuwa Baba askofu ni mtu wa Mungu ajiokeze akanushe kama anaweza, au atueleze nia na madhumuni ya kupewa pesa hizo ili tumwelewe, kwa vyovyote vile simwelewi.

Mripoti Vatican kama amekula vya dhuruma. Watamchunguza na hatua kali watamchukulia kama itabainika alitafuna pesa ya dhuluma.
Kama ni kweli ni aibu kwa kanisa.
 
Kama na askofu kalamba mgao basi kesi ngumu mno......

Lakini kwa nini wizi na ufisadi mkubwa hapa nchini unawahusishwa watu wa dini hii tuu?
 
Kitu kimoja na cha msingi kwa kanisa na bank yetu ya Mkombozi ni Kujisafisha kwenye hili maana tunaingiwa na mashaka na uadilifu wa chombo cha kanisa kuhusika kwenye kuibia wa Tz.

Kanisa halisafishiki mdau. Tuvumilie tu
 
Kama na askofu kalamba mgao basi kesi ngumu mno......

Lakini kwa nini wizi na ufisadi mkubwa hapa nchini unawahusishwa watu wa dini hii tuu?

No evidence no right to speak, wakatoliki hawana uhusiano ka ufisadi.

Nimewapa project za kilaini hapo juu, iyo 80m ni kama buku kwa

project za Dr kilaini bado mnalalama
 
Ambacho nashindwa kuelewa hao waliochukua hela za huyo bwana wana kosa gani???

Wao wamepewa fedha kama zawadi tena fedha zilizokatwa na kodi TRA ulitaka wao wafanyeje? Njia iliyotumika mpaka kuzipata hizo fedha kama ni halali au lah anaijua mwenye fedha.

Hivi wewe rafiki yako akikupa fedha kama msaada utamuuliza kazitoa wapi?????

Mbona mnapenda kushikia watu mabango sana hata kwenye upuuzi? Mbona hamleti maelezo ya Mbowe naye kupewa zawadi?

Hivi vitu vya IPTL havikuanza kuzungumzwa leo na wahusika wa hizo kampuni wanajulikana.

Hivyo kwa kiongozi yeyote aliyemsafi na kama alipatiwa mlungula kutoka kwenye hiyo akaunti kwa nia njema tu lazima amuulize muhusika mkuu hizi pesa vipi? Baada ya hapo angeitisha vyombo vya habari na aseme wazi sababu yeye ni kiongozi wa jamii tena wakiroho.

Jamani mimi nilipewa pesa kutoka kwenye hiyo akaunti ila nimeongea na muhusika mkuu amesema hiyo pesa wewe chukua ni halali au la hasha......ila kwa kuwa mimi ni kiongozi safi wa kiroho hii pesa sitaitumia mpaka hapo uchunguzi utakapomilika na kama zikihitajika nitarudisha. Na taarifa hizi nimepeleka kwa askofu mkuu basi. Huo ndio uongozi bora na si vingine ndugu yangu kama hujui kitu ni kuuliza kuliko kulalama.

Uongozi una misingi yake mdogo wangu. Angetumia busara baada ya haya yote ya IPTL kuwekwa hadharani tangu siku za huko nyuma, hivyo likizuka la kuzuka awe na la kujitetea lakini kwa sasa hivi his integrity itakuwa tanished na hata aje ajitete is too late. Sitataka kuwa na kiongozi wa kiroho asiye msafi image ya kanisa inachafuliwa kuwa na viongozi kama hawa.

Na nani kakwambia charity donations zinakatwa kodi? wewe inaelekea una mapungufu mengi na unahitaji kujifunza zaidi. Kiongozi safi lazima aulize chanzo cha pesa especially chanzo chake zinatoka kwenye akaunti ya mtu ambaye anashutuma za dhuluma kwa taifa.
 
sisi pesa ya rugemalila inatuhusu nini jamani kama wamepeana kirafiki utajuaje kwani kilaini yupo kwenye nafasi gani ya utendaji kwamba akihongwa anaweza kusaidia jambo fulani,hapo ndipo utaamini kuwa pesa za rugemalila ni zake alitoa kama wewe unavyoweza kumpa mdogo wako lakini kama mtu anaushahidi wa kutosha kuwa rafu imechezeka mahakama ndiyo mahara pakuondoa utata.

Kuwa na utashi wa kufikiri na si wa kulopoka sababu utakuwa unahusisha akili zaidi na si hisia.
 
Jina la bank na matendo yake ni tofauti au neno MKOMBOZI/UKOMBOZI lina maana tofauti?
cc:Misukule ya Chadema
 
Ni uchonganishi tu huo wa kijinga kabisa hamna kitu kama hicho kwanza
Na sio kila kitu atujuzee

Kwanini unata kusemea nafsi wakati hujawahi hata kuzungumza na Askofu Kilaini kuhusu hii pesa.

Na hakika taarifa hizi atazipata tu basi acha aje akanushe mwenyewe wewe tulia kwanza. Si wewe peke yako ni mkatoliki tupo wengi tu ila Askofu kama kweli alichukua hii pesa na ilitoka kwa Rugemalila tena kwenye akaunti ya IPTL/ PAP basi nakuhakikishia analakujibu.

Sababu hata Vatican wakisikia hili atakuwa na matatizo makubwa sana. Kanisa limepata mtikisiko kutokana na hizi tabia mbaya za viongozi wake.
 
Mkuu sikatai kupewa kwa kwa askofu ila ata kama kapewa na rugemalila ni sawa tu coz rugemalila ana haki ya kutumia pesa zake anavyotaka pasipo kuvunja sheria za inchi ila ujue huyo jamaa kaandika kichochezi wakati anajua wazi kabisa kwa rugemalila alishauza isa zake 30% kwa iptl asa iweje aseme amepewa pesa za iptl wakati aliye mpaa hana isa pale iptl alafu na wewe unakuja kutete ujinga kama huu then unajita mkatoriki ebu toa ujinga wako hapo mburula ww
 
Kwa masikitiko makubwa ninayo huzuni kuandika hapa kuwa Mmojawapo wa waliomegewa pesa za mbia wa IPTL ni askofu msaidiza wa jimbo la bukoba mhashamu Askofu Kilaini. Yeye alimegewa pesa hizo kutoka akaunti ya Rugemalira iliyoko kwenye Benk ya Ukombozi.

Kwa mujibu wa statement ya mbia huyo wengine ni akina Anna tibaijuka kama ilivyokwisha kuandikwa awali.
Bila shaka mtaniuliza chanzo au source, source ni kuwa huu ni ukweli mtupu, siandiki kwa chuki za kidini kwa kuwa mimi pia ni mkatoliki, bali nimeandika hapa kwa kuwa Baba askofu ni mtu wa Mungu ajiokeze akanushe kama anaweza, au atueleze nia na madhumuni ya kupewa pesa hizo ili tumwelewe, kwa vyovyote vile simwelewi.
Tufwile!!!!
 
Huyo anaweza akawa ni chui aliyejificha kwa ngozi ya kondoo. Hata Papa alipoapishwa cha kwanza mliza ilikuwa ni viongozi wake kukubali ndoa za jinsia moja nadhani ndio hawa kama hawa wala mlungula.
Kamwe Mungu hamfichi mnafiki
 
Cheap argument agitated by emotions
 
Njia sahihi kwake ni kujitokeza na kukiri au kukanusha. Ninachoona hapa mgawaji pesa alikuwa akitafuta influential persons na malengo yake hapa sijayajua. Huyu Rugemalira ni mtu wa namna gani? Wenye historia yake (cv) watuwekee hapa. Wabia / washiriki wake ni nani.....zahidi watafuta uraisi ili ni-conect dots kidogo... na nipate mwanga wa hapo baaadae juu ya nchi hii.

Kwa masikitiko makubwa ninayo huzuni kuandika hapa kuwa Mmojawapo wa waliomegewa pesa za mbia wa IPTL ni askofu msaidiza wa jimbo la bukoba mhashamu Askofu Kilaini. Yeye alimegewa pesa hizo kutoka akaunti ya Rugemalira iliyoko kwenye Benk ya Ukombozi.

Kwa mujibu wa statement ya mbia huyo wengine ni akina Anna tibaijuka kama ilivyokwisha kuandikwa awali.
Bila shaka mtaniuliza chanzo au source, source ni kuwa huu ni ukweli mtupu, siandiki kwa chuki za kidini kwa kuwa mimi pia ni mkatoliki, bali nimeandika hapa kwa kuwa Baba askofu ni mtu wa Mungu ajiokeze akanushe kama anaweza, au atueleze nia na madhumuni ya kupewa pesa hizo ili tumwelewe, kwa vyovyote vile simwelewi.

Maneno ya vijiweni.

Askofu Kilaini anaweza kumsaidia vipi Rugemalila??????

Acheni kuropoka ovyo bila ya kufikiria. kama mmekosa ya kuandika changieni thread zingine siyo lazima kuandika uzushi wako.

JF mara nyingi tunapenda ushahidi.

Mtoa mada unaweza kutuwekea ushahidi ili tuamini usemayo. au viroba tayari vinafanya kazi kichwani???

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!!
 
Mkuu sikatai kupewa kwa kwa askofu ila ata kama kapewa na rugemalila ni sawa tu coz rugemalila ana haki ya kutumia pesa zake anavyotaka pasipo kuvunja sheria za inchi ila ujue huyo jamaa kaandika kichochezi wakati anajua wazi kabisa kwa rugemalila alishauza isa zake 30% kwa iptl asa iweje aseme amepewa pesa za iptl wakati aliye mpaa hana isa pale iptl alafu na wewe unakuja kutete ujinga kama huu then unajita mkatoriki ebu toa ujinga wako hapo mburula ww

Kwani hukusikia hizo hisa zimeuzwa kimagumashi? Unajua taratibu za uuzaji wa hisa?

Halafu pili kutukanana na kuitana majina sidhani kama itakusaidia sana kutetea hoja yako, kikubwa nimekiona uelewa wako ni mdogo na una mapungufu kwenye maono. Kwakutumia vigezo hivyo sitajibu matusi yako na wala sitataka kuchangia zaidi hoja zako sababu hauko hapa kujifunza kinachokusukuma wewe ni mapenzi au hisia na vitu na kushindwa kuushirikisha ubongo wako kwenye kufikiri na kutoa michango yenye maana.

Hivyo moja umeshindwa kutambua au hujui misingi ya uongozi, pili hutambui nafasi ya askofu kwenye jamii na kanisa, tatu hulitakii kanisa Katoliki mema na mwisho kutokuwa kwako mwepesi kujifunza kutoka kwa wenzako au kuushirikisha ubongo wako kwenye mijadala nakutakia afya njema mafanikio kwenye shughuli zako za kila siku. Ahsante sana
 
Back
Top Bottom