nyakashenyi
Senior Member
- Jan 15, 2013
- 139
- 49
Acha uvivu wa kufikiri bwana.Sadaka inayopokelewa kanisani au wanayopewa watumishi wa bwana ni jukumu la mtoaji kujua alikozitoa na sio jukumu la mpokeaji kujua ilikotoka.Malaya wanajiuza usiku wanaenda kutoa sadaka kanisani inachukuliwa kama kawaida sembuse mkwanja huo.Askofu Kilaini,usijitokeze kujibu upuuzi huu,umepokea sadaka kama kawaida wala haina tatizo kabisa.