Askofu Methodius Kilaini naye alimegewa 80m za mbia wa IPTL

Askofu Methodius Kilaini naye alimegewa 80m za mbia wa IPTL

Mwikimbi

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Posts
1,762
Reaction score
835
Kwa masikitiko makubwa ninayo huzuni kuandika hapa kuwa Mmojawapo wa waliomegewa pesa za mbia wa IPTL ni askofu msaidizi wa jimbo la Bukoba mhashamu Askofu Kilaini. Yeye alimegewa pesa hizo kutoka akaunti ya Rugemalira iliyoko kwenye Benk ya Ukombozi.

Kwa mujibu wa statement ya mbia huyo wengine ni akina Anna Tibaijuka kama ilivyokwisha kuandikwa awali.
Bila shaka mtaniuliza chanzo au source, source ni kuwa huu ni ukweli mtupu, siandiki kwa chuki za kidini kwa kuwa mimi pia ni mkatoliki, bali nimeandika hapa kwa kuwa Baba askofu ni mtu wa Mungu ajitokeze akanushe kama anaweza, au atueleze nia na madhumuni ya kupewa pesa hizo ili tumwelewe, kwa vyovyote vile simwelewi.
 
Kwa masikitiko makubwa ninayo huzuni kuandika hapa kuwa Mmojawapo wa waliomegewa pesa za mbia wa IPTL ni askofu msaidiza wa jimbo la bukoba MHashamu Askofu Kilaini. yeye alimegewa pesa hizo kutoka akaunti ya Rugemalira iliyoko kwenye Benk ya Ukombozi.

kwa mujibu wa statement ya mbia huyo wengine ni akina Anna tibaijuka kama ilivyokwisha kuandikwa awali.

bila shaka mtaniuliza chanzo au source, source ni kuwa huu ni ukweli mtupu, siandiki kwa chuki za kidini kwa kuwa mimi pia ni mkatoliki, bali nimeandika hapa kwa kuwa Baba askofu ni mtu wa Mungu ajiokeze akanushe kama anaweza, au atueleze nia na madhumuni ya kupewa pesa hizo ili tumwelewe, kwa vyovyote vile simwelewi

Bwana Rugemalila alimpa hiyo pesa ili ajitakase
 
Duh basi inatosha sasa! Ila inawezekana ilikuwa pesa ya issue nyingine kumbe ndio Mtumishi anaingizwa kwenye mtego bila kujijua
 
Njia sahihi kwake ni kujitokeza na kukiri au kukanusha. Ninachoona hapa mgawaji pesa alikuwa akitafuta influential persons na malengo yake hapa sijayajua. Huyu Rugemalira ni mtu wa namna gani? Wenye historia yake (cv) watuwekee hapa. Wabia / washiriki wake ni nani.....zahidi watafuta uraisi ili ni-conect dots kidogo... na nipate mwanga wa hapo baaadae juu ya nchi hii.
 
Hapa ni kumulika wezi popote walipo mpaka wanaswe.
 
Ambacho nashindwa kuelewa hao waliochukua hela za huyo bwana wana kosa gani???

Wao wamepewa fedha kama zawadi tena fedha zilizokatwa na kodi TRA ulitaka wao wafanyeje? Njia iliyotumika mpaka kuzipata hizo fedha kama ni halali au lah anaijua mwenye fedha.

Hivi wewe rafiki yako akikupa fedha kama msaada utamuuliza kazitoa wapi?????

Mbona mnapenda kushikia watu mabango sana hata kwenye upuuzi? Mbona hamleti maelezo ya Mbowe naye kupewa zawadi?
 
Ndugu yako akikukaribisha katika chakula asipokwambia nia ya chakula hiyo wewe kula. Kama akikwambia ni kwa ajili ya tambiko au ibada ya kimiungu basi usile. Lakini usipojua dhamila ya chakula hiyo kula bila wasiwasi.
 
Ambacho nashindwa kuelewa hao waliochukua hela za huyo bwana wana kosa gani??? Wao wamepewa fedha kama zawadi tena fedha zilizokatwa na kodi TRA ulitaka wao wafanyeje? Njia iliyotumika mpaka kuzipata hizo fedha kama ni halali au lah anaijua mwenye fedha.
Hivi wewe rafiki yako akikupa fedha kama msaada utamuuliza kazitoa wapi?????
Mbona mnapenda kushikia watu mabango sana hata kwenye upuuzi? Mbona hamleti maelezo ya Mbowe naye kupewa zawadi?

Hivi unajua maana ya kuwa kiongozi achilia mbali kiongozi wa dini/kiroho??!!!
 
sisi pesa ya rugemalila inatuhusu nini jamani kama wamepeana kirafiki utajuaje kwani kilaini yupo kwenye nafasi gani ya utendaji kwamba akihongwa anaweza kusaidia jambo fulani,hapo ndipo utaamini kuwa pesa za rugemalila ni zake alitoa kama wewe unavyoweza kumpa mdogo wako lakini kama mtu anaushahidi wa kutosha kuwa rafu imechezeka mahakama ndiyo mahara pakuondoa utata.
 
Ambacho nashindwa kuelewa hao waliochukua hela za huyo bwana wana kosa gani???

Wao wamepewa fedha kama zawadi tena fedha zilizokatwa na kodi TRA ulitaka wao wafanyeje? Njia iliyotumika mpaka kuzipata hizo fedha kama ni halali au lah anaijua mwenye fedha.

Hivi wewe rafiki yako akikupa fedha kama msaada utamuuliza kazitoa wapi?????

Mbona mnapenda kushikia watu mabango sana hata kwenye upuuzi? Mbona hamleti maelezo ya Mbowe naye kupewa zawadi?
Dah! Hii khatari.[emoji547]

Sent from my SM-G800H using Tapatalk
 
Back
Top Bottom