Kwa masikitiko makubwa ninayo huzuni kuandika hapa kuwa Mmojawapo wa waliomegewa pesa za mbia wa IPTL ni askofu msaidizi wa jimbo la Bukoba mhashamu Askofu Kilaini. Yeye alimegewa pesa hizo kutoka akaunti ya Rugemalira iliyoko kwenye Benk ya Ukombozi.
Kwa mujibu wa statement ya mbia huyo wengine ni akina Anna Tibaijuka kama ilivyokwisha kuandikwa awali.
Bila shaka mtaniuliza chanzo au source, source ni kuwa huu ni ukweli mtupu, siandiki kwa chuki za kidini kwa kuwa mimi pia ni mkatoliki, bali nimeandika hapa kwa kuwa Baba askofu ni mtu wa Mungu ajitokeze akanushe kama anaweza, au atueleze nia na madhumuni ya kupewa pesa hizo ili tumwelewe, kwa vyovyote vile simwelewi.
naomba kuj
ua,nashindwa elewa alimegewa hilo dnge akiwa kama mani?kwa maneno mengine amehusishwaje?