Askofu Methodius Kilaini naye alimegewa 80m za mbia wa IPTL

Askofu Methodius Kilaini naye alimegewa 80m za mbia wa IPTL

MTU anambie uyu ruge kaiba...sawa, lakini iyo aliyompa kilaini

kama kampa kweli ni Ku support miladi yake(kilaini) kwa jamii Hamna rushwa hapo.

kwa miladi ambayo anafanya kusaidia jamii 80 m

ni kidogo sana.

Again wasaka uraisi wamepita makanisani na misiikitini

wakitapanya fedha chafu( natumia tarifa isiyo rasimi) hawajawai

itwa kutoa maelezo.
Mkuu naona unajaribu kudivert attention from what is at stake here.
Hapa INTERGRITY ya Askofu Kilaini is what is at stake!
Ndo maana tunataka aueleze umma kama kweli alipokea mali ya wizi au la.

Kumbuka , heshima ya mtu hasa kiongozi wa dini ni muhimeu sana, sasa kama kiongozi wa dini anapopewa fedha zenye dhambi na akazichukua bila kujiuliza, na yeye anaunganishwa na dhambi hiyo.

Viongozi wa dini kuwa na tamaa ni swala jingine, sasa kama Askofu Kilaini kaingia mkenge, basi naye anafaidika na ufisadi.
 
Hii taarifa imekaa kiudakuzi. Hakuna reliable source na hata transaction au transfer details.

Taarifa ya kiumbea hii
 
Mkuu naona unajaribu kudivert attention from what is at stake here.
Hapa INTERGRITY ya Askofu Kilaini is what is at stake!
Ndo maana tunataka aueleze umma kama kweli alipokea mali ya wizi au la.

Kumbuka , heshima ya mtu hasa kiongozi wa dini ni muhimeu sana, sasa kama kiongozi wa dini anapopewa fedha zenye dhambi na akazichukua bila kujiuliza, na yeye anaunganishwa na dhambi hiyo.

Viongozi wa dini kuwa na tamaa ni swala jingine, sasa kama Askofu Kilaini kaingia mkenge, basi naye anafaidika na ufisadi.

Na integrity can not be lowered by a fault which is not his own making.

The making is RUGE's that's it
 
acha uvivu wa kufikiri bwana.sadaka inayopokelewa kanisani au wanayopewa watumishi wa bwana ni jukumu la mtoaji kujua alikozitoa na sio jukumu la mpokeaji kujua ilikotoka.malaya wanajiuza usiku wanaenda kutoa sadaka kanisani inachukuliwa kama kawaida sembuse mkwanja huo.askofu kilaini,usijitokeze kujibu upuuzi huu,umepokea sadaka kama kawaida wala haina tatizo kabisa.

nikiwa kama muumini wa kikatoliki napingana na hoja yako kuwa kilaini asijitokeze kujibu tuhuma....

Asijitokeze kama kweli hakuna kiasi kilichoingizwa kwenye akaunti yake ya bank na pia

asijitokeze kama kweli pesa hiyo ilitolewa sadaka au zaka kanisani na hasa siku ya dominika takatifu.

Kinyume cha hapo lazima aje kutoa maelezo na yajitosheleze ili kuliweka safi na kulitakasa hekalu la bwana maana yeye ndiye kuhani wetu mkuu...haipendezi kuhani kuwa na mawaa mbele ya waumini.

Ni hayo tuuu.....
 
Mkuu Kilaini Yupo Active Sana Nenda Fb Ukamcheki.
 
Naunga mkono hoja yako. Kama amepokea fedha hizo kupitia Akaunti yake binafsi, basi hili bila shaka ni kitu kibaya kabisa kwani watumishi hawa wa Mungu hutunza na waumini. Kama fedha hio imepitia tu kwake na ikawekwa kwenye akaunti ya Jimbo, basi bila shaka ni sadaka na pengine itakubalika zaidi maana naamini matumizi kutoka mfuko wa Jimbo hudhibitiwa na waumini na aghalabu ni kwa ajili ya shughuli za maendeleo ya kijaamii. Ruge hapo atakuwa ametoa sadaka na haijalishi amepata wapi- maana hata Baba Askofu atakuwa amejua kutoka press kuwa Ruge aliuza share zake za IPTL 30% kwa ajili hii basi akaamini ni hela halali. LAKINI KAMWE ISIJE IKAWA BABA ASKOFU AMEPOKEA HIZI KAMA YEYE NAFSI YA KILAINI! SITAMWELEWA NA NI BORA AKAVUA UPADRE WAKE HARAKA!
 
Kwa masikitiko makubwa ninayo huzuni kuandika hapa kuwa Mmojawapo wa waliomegewa pesa za mbia wa IPTL ni askofu msaidiza wa jimbo la bukoba mhashamu Askofu Kilaini. Yeye alimegewa pesa hizo kutoka akaunti ya Rugemalira iliyoko kwenye Benk ya Ukombozi.

Kwa mujibu wa statement ya mbia huyo wengine ni akina Anna tibaijuka kama ilivyokwisha kuandikwa awali.
Bila shaka mtaniuliza chanzo au source, source ni kuwa huu ni ukweli mtupu, siandiki kwa chuki za kidini kwa kuwa mimi pia ni mkatoliki, bali nimeandika hapa kwa kuwa Baba askofu ni mtu wa Mungu ajiokeze akanushe kama anaweza, au atueleze nia na madhumuni ya kupewa pesa hizo ili tumwelewe, kwa vyovyote vile simwelewi.

nadhani hii si sawa hata kidogo. Askofu Kilaini kapewa(kama kapewa)fedha hizo na Ruge, wala hakuchotewa kutoka kwenye hiyo account. Lakini la msingi hapa je hizo pesa ni halali? Mimi naona transaction nzima ni sawa kwa sababu Ruge ameuza share zake kea mujibu sheria. Labda tuambiwe huo uuzaji haukuwa sahihi. Sijawahi kuona mtu yoyote anayelalamika kuwa James Rugemalila hakuuza share zake kihalali, kwa nini mnalalamikia hizo pesa. Ana haki ya kumpa amtakaye. Shida ipo wapi? Au kwa sababu aliyepewa ni Askofu.
 
Ama kweli ukishangaa ya firauni utaona ya Musa hii ndo Tanzania yetu bana tunayoipenda kwa moyo wte,muvi inaendelea
 
Mkuu naona unajaribu kudivert attention from what is at stake here.
Hapa INTERGRITY ya Askofu Kilaini is what is at stake!
Ndo maana tunataka aueleze umma kama kweli alipokea mali ya wizi au la.

Kumbuka , heshima ya mtu hasa kiongozi wa dini ni muhimeu sana, sasa kama kiongozi wa dini anapopewa fedha zenye dhambi na akazichukua bila kujiuliza, na yeye anaunganishwa na dhambi hiyo.

Viongozi wa dini kuwa na tamaa ni swala jingine, sasa kama Askofu Kilaini kaingia mkenge, basi naye anafaidika na ufisadi.

nani kakwambia hizo fedha wizi? Ruge kauza share zake kihali, tatizo lipo wapi?
 
Invisible Njoo Pm Nikupe Namba Ya Askofu Kilaini Uthibitishe Hii News.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Kilaini Yupo Active Sana Nenda Fb Ukamcheki.

Is there any element of truth on these allegations? It wipes away all his credibility if money was sent to his personal account wakati kuna maelfu ya wagonjwa hawana dawa mahospitalini sababu ya hii scandal.
 
Kuna shida gani mtu akitoa fedha zake na kugawa kwa anaye jisikia kumpa? wangapi wanatoa mamilioni au kwa kuwa katoa Rugemarila? Rugemarila ni Milionea kama siyo Bilionea, kutoa visenti hivyo ni kitu kidogo kwake. Kuuza shea za kampuni yake imekuwa shida?
 
Back
Top Bottom