Askofu Kakobe sasa rasmi CCM. Huenda akaomba nafasi yoyote 2020 kupitia chama hicho

Hata mimi namuunga mkono. Wadhani yale mamifuko ilokutwa kwake ya fedha ambazo hazijahesabiwa atarudishiwa asipoimba pambio?? Acheni mtu wa watu Kakobe amepitia mengi. Waswahili wana kamsemo; Ukiwashindwa basi ungana nao
 
Anacheka lakini hana furaha ya kweli, tunahubiri ujasiri lakini kuushi ujasiri inahitaji msaada wa Mungu
Hata mimi namuunga mkono. Wadhani yale mamifuko ilokutwa kwake ya fedha ambazo hazijahesabiwa atarudishiwa asipoimba pambio?? Acheni mtu wa watu Kakobe amepitia mengi. Waswahili wana kamsemo; Ukiwashindwa basi ungana nao
 
Mimi ni muumini wa fgbf Jana askofu ameniabisha na kunifedhehesha sana.kimsingi sikulala.askofu kweli unajiunga na watesi? Leo hata nimeshindwa kuja kanisani angalalau. Nadhani nahitaji majibu kama siyo kutoka kwako na nisipopata kutoka kwako itabdidi nimuulize Mungu!
 
Mimi ni muumini wa fgbf Jana askofu ameniabisha na kunifedhehesha sana.kimsingi sikulala.askofu kweli unajiunga na watesi? Leo hata nimeshindwa kuja kanisani angalalau. Nadhani nahitaji
majibu kama siyo kutoka kwako na nisipopata kutoka kwako itabdidi nimuulize Mungu!
pole sana mkuu
 
Halafu Moderators kuhamisha thread zangu na kuzipeleka Jamii photo umezingatia nini hasa , au ndio ule ule udikteta tunaopambana nao kutwa kucha ? sasa nikupe plan , ukiona thread yangu ina mapungufu ifute usiihamishe kibabe sana namna hii , mara zote nimekuwa naheshimu sana viongozi wangu wa jf lakini what you have done ni ubabe wa kizamani sana !
 
Back
Top Bottom