Askofu Gwajima apigwa kombora Bungeni na Mbunge wa Mtambwe, Khalifa Issa

Spika akemee hili!! Nauona mgogoro wa dini ukilinyemelea Bunge la JMT. Upepo wa Mashariki ya Kati unatusogelea tuwe waangalifu sana ndg zangu.

Wakristo wanaamini kuwa kupitia Jina la Yesu wafu wanaweza kufufuliwa na hii ni ahadi ya Mungu wao. Sasa kumshambulia Gwajima ktk imani ni kuwashambulia Wakristo ktk imani kwani amesema kwenye kitabu ni Yesu anafufua na sio yeye binafsi.

NARUDIA TENA SPIKA AKEMEE HILI HARAKA KABLA HALIJATUGAWA KAMA TAIFA. KUMBUKA HOTUBA YA RAIS MAGUFULI KWENYE BARAZA LA IDDI! TUHESHIMIANE KWENYE HIZI DINI!
Hivi kuna Mkristo mwenye akili timamu anayeweza kuamini kwamba Gwajima ana uwezo wa kufufua mtu?!

Hivi kuna Mkristo mwenye akili timamu anayeamini hawa manabii uchwara wanaodai wana uwezo wa kufufua watu ni kweli wana huo uwezo?

Anyway, sioni mgogoro wowote wa kidini, labda mgogoro kati ya watu wenye akili timamu bila kujali dini zao, dhidi ya vichaa wa kiimani ambao kwa muktadha huu kamwe huwezi kuwakuta kwenye makanisa ya kweli!
 
Spika akemee hili!! Nauona mgogoro wa dini ukilinyemelea Bunge la JMT. Upepo wa Mashariki ya Kati unatusogelea tuwe waangalifu sana ndg zangu.

Wakristo wanaamini kuwa kupitia Jina la Yesu wafu wanaweza kufufuliwa na hii ni ahadi ya Mungu wao. Sasa kumshambulia Gwajima ktk imani ni kuwashambulia Wakristo ktk imani kwani amesema kwenye kitabu ni Yesu anafufua na sio yeye binafsi.

NARUDIA TENA SPIKA AKEMEE HILI HARAKA KABLA HALIJATUGAWA KAMA TAIFA. KUMBUKA HOTUBA YA RAIS MAGUFULI KWENYE BARAZA LA IDDI! TUHESHIMIANE KWENYE HIZI DINI!
Je Gwajiboy ana uwezo huo?kama alivyodai basi na afufue wapendwa wetu Hasa wenye chini miaka 70 sio kujificha.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Sio wakristo semangwajima , wakristo wanacho amini ni kwamba hakuba binadamu mwenye uwezo wa kufufua wafu
Wakristo wapi hao?. Wafu wanafufuka, vipofu wanaona, na viwete wanaweza kutembea kwa jina la YESU pekee. Hayo afanyayo Gwajima sio kwa nguvu zake, uwezo wake, bali kwa mamlaka kuu za Yehova amashia mzee wa siku nyingi ambao wakristo wote wenye kuamini katika Yesu tunaweza kufanya sio hilo tu bali zaidi ya hayo Yesu aliyofanya.
Mathayo:10:8
Pozeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo; mmepata bure, toeni bure.
 
ACT wazalendo wako kimajungu zaidi!
Majungu ni kumsema mtu juu ya kitu ambacho hajakisema. Sasa kwa Gwajima, ni yeye mwenyewe ambaye husema kwamba anafufua wafu, majungu gani hapo? Akanushe hilo ili watu wasiendelee kumhitaji awafufue wapendwa wetu. Nchi nzima imelia kwa kuondokewa na mpendwa wetu, lakini Gwajima hajataka kufanya ufufuo wake ili watu warudi kwenye furaha yao.
 
Spika akemee hili!! Nauona mgogoro wa dini ukilinyemelea Bunge la JMT. Upepo wa Mashariki ya Kati unatusogelea tuwe waangalifu sana ndg zangu.

Wakristo wanaamini kuwa kupitia Jina la Yesu wafu wanaweza kufufuliwa na hii ni ahadi ya Mungu wao. Sasa kumshambulia Gwajima ktk imani ni kuwashambulia Wakristo ktk imani kwani amesema kwenye kitabu ni Yesu anafufua na sio yeye binafsi.

NARUDIA TENA SPIKA AKEMEE HILI HARAKA KABLA HALIJATUGAWA KAMA TAIFA. KUMBUKA HOTUBA YA RAIS MAGUFULI KWENYE BARAZA LA IDDI! TUHESHIMIANE KWENYE HIZI DINI!
Ficha fuvu lako hilo ambalo unadai ndio limebeba akili zako. Wapi ambapo mbunge kamtaja Gwajima.
 
Spika akemee hili!! Nauona mgogoro wa dini ukilinyemelea Bunge la JMT. Upepo wa Mashariki ya Kati unatusogelea tuwe waangalifu sana ndg zangu.

Wakristo wanaamini kuwa kupitia Jina la Yesu wafu wanaweza kufufuliwa na hii ni ahadi ya Mungu wao. Sasa kumshambulia Gwajima ktk imani ni kuwashambulia Wakristo ktk imani kwani amesema kwenye kitabu ni Yesu anafufua na sio yeye binafsi.

NARUDIA TENA SPIKA AKEMEE HILI HARAKA KABLA HALIJATUGAWA KAMA TAIFA. KUMBUKA HOTUBA YA RAIS MAGUFULI KWENYE BARAZA LA IDDI! TUHESHIMIANE KWENYE HIZI DINI!
Hotuba ya Rais Magufuli tena? Baraza la Idi la lini? Uwe unataja mwaka ili tujue unamuongelea Jiwe au hotuba ya Rais SSH.
 
Wakristo wapi hao?. Wafu wanafufuka, vipofu wanaona, na viwete wanaweza kutembea kwa jina la YESU pekee. Hayo afanyayo Gwajima sio kwa nguvu zake, uwezo wake, bali kwa mamlaka kuu za Yehova amashia mzee wa siku nyingi ambao wakristo wote wenye kuamini katika Yesu tunaweza kufanya sio hilo tu bali zaidi ya hayo Yesu aliyofanya.
Mathayo:10:8
Pozeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo; mmepata bure, toeni bure.
Gwajima ni tapeli kama matapali wengine wowote wale unao wafahamu , mwambie akamfufue jiwe .
 
Spika akemee hili!! Nauona mgogoro wa dini ukilinyemelea Bunge la JMT. Upepo wa Mashariki ya Kati unatusogelea tuwe waangalifu sana ndg zangu.

Wakristo wanaamini kuwa kupitia Jina la Yesu wafu wanaweza kufufuliwa na hii ni ahadi ya Mungu wao. Sasa kumshambulia Gwajima ktk imani ni kuwashambulia Wakristo ktk imani kwani amesema kwenye kitabu ni Yesu anafufua na sio yeye binafsi.

NARUDIA TENA SPIKA AKEMEE HILI HARAKA KABLA HALIJATUGAWA KAMA TAIFA. KUMBUKA HOTUBA YA RAIS MAGUFULI KWENYE BARAZA LA IDDI! TUHESHIMIANE KWENYE HIZI DINI!
Hakuna "nabii Wala mtume"wa sasa hv anayeweza kufufua watu,wote wezi na mataperi tu.
Kama wanaweza wakamfufue JPM au Kanumba,
Hivyo vifungu vya kufufua watu ni utaperi tu,
 
Ndiyo Gwajima anawafufua? Wakati wameitwa na Muumba wao? Mtu anaitwa na Muumba wake halafu mwanadamu anatwambia anaweza kumrudisha? Ili iwe nini?

Wajinga ndiyo waliwao.
Neno kufa ni zaidi ya kutoka uhai... unaweza kufa macho yaani upofu, kufamoyo yaani kukata tamaa, kufa kiimani unahita deliverance to be born again, kwenda kwa muumba unamaanisha kufariki kuondokewa na uhai, sidhani kama anafufua wafu wa aina hiyo.
 
Back
Top Bottom