Askofu Gwajima apigwa kombora Bungeni na Mbunge wa Mtambwe, Khalifa Issa

Spika akemee hili!! Nauona mgogoro wa dini ukilinyemelea Bunge la JMT. Upepo wa Mashariki ya Kati unatusogelea tuwe waangalifu sana ndg zangu.

Wakristo wanaamini kuwa kupitia Jina la Yesu wafu wanaweza kufufuliwa na hii ni ahadi ya Mungu wao. Sasa kumshambulia Gwajima ktk imani ni kuwashambulia Wakristo ktk imani kwani amesema kwenye kitabu ni Yesu anafufua na sio yeye binafsi.

NARUDIA TENA SPIKA AKEMEE HILI HARAKA KABLA HALIJATUGAWA KAMA TAIFA. KUMBUKA HOTUBA YA RAIS MAGUFULI KWENYE BARAZA LA IDDI! TUHESHIMIANE KWENYE HIZI DINI!

Mashariki ya kati ni wapi wewe mdada wa kigalatia? Usikimbie lakini!!!!
 
Spika akemee hili!! Nauona mgogoro wa dini ukilinyemelea Bunge la JMT. Upepo wa Mashariki ya Kati unatusogelea tuwe waangalifu sana ndg zangu.

Wakristo wanaamini kuwa kupitia Jina la Yesu wafu wanaweza kufufuliwa na hii ni ahadi ya Mungu wao. Sasa kumshambulia Gwajima ktk imani ni kuwashambulia Wakristo ktk imani kwani amesema kwenye kitabu ni Yesu anafufua na sio yeye binafsi.

NARUDIA TENA SPIKA AKEMEE HILI HARAKA KABLA HALIJATUGAWA KAMA TAIFA. KUMBUKA HOTUBA YA RAIS MAGUFULI KWENYE BARAZA LA IDDI! TUHESHIMIANE KWENYE HIZI DINI!
Wapi kamtaja gwajima hau unaweweseka?
 
Hivi kweli kwa nini Gwajima asimfufue Jiwe wetu
Ufufuo na uzima ina fanya kazi ya kufufua wasio na dhambi!!

Lkn jiwe alikuwa na dhambi nyingi hata hakukumbuka kutubu.
Wizi tena wa kibabe.

Uoneaji tu anatumbua maskini
wajeda anawaogopa basi walipe si walitumikia sirikali? Hkn.

Amewaonea sana kina kabendera na wenzake Mungu akamuonyesha.

Hakuwahi kumjua Mungu wa kweli.

Mchoyo hata kwa vitu vidogodogo tu.urais haukumtosha.
Mpayukaji hovyo.

Sura mbaya mweusiiiiiiiiiiioooooooo
Sasa ntu km huyu atafufuka kweli???

Malaika watakwambia usitutanie
 
Spika akemee hili!! Nauona mgogoro wa dini ukilinyemelea Bunge la JMT. Upepo wa Mashariki ya Kati unatusogelea tuwe waangalifu sana ndg zangu.

Wakristo wanaamini kuwa kupitia Jina la Yesu wafu wanaweza kufufuliwa na hii ni ahadi ya Mungu wao. Sasa kumshambulia Gwajima ktk imani ni kuwashambulia Wakristo ktk imani kwani amesema kwenye kitabu ni Yesu anafufua na sio yeye binafsi.

NARUDIA TENA SPIKA AKEMEE HILI HARAKA KABLA HALIJATUGAWA KAMA TAIFA. KUMBUKA HOTUBA YA RAIS MAGUFULI KWENYE BARAZA LA IDDI! TUHESHIMIANE KWENYE HIZI DINI!
Hacha wafu wazikane, una taka kumzika mfu mwenzio?
 
Huyo mbunge kama kweli kasema hivyo basi ni mpumbavu wa kiwango cha kimataifa.

Anafanyia utani masuala ya kifo wakati hajui ni lini moyo wake utasimama milele.
Hacha wafu wazikane, je ana leta utani na kifo au ana tukana wafu kwa kauli hii?
 
Ufufuo na uzima ina fanya kazi ya kufufua wasio na dhambi!!

Lkn jiwe alikuwa na dhambi nyingi hata hakukumbuka kutubu.
Wizi tena wa kibabe.

Uoneaji tu anatumbua maskini
wajeda anawaogopa basi walipe si walitumikia sirikali? Hkn.

Amewaonea sana kina kabendera na wenzake Mungu akamuonyesha.

Hakuwahi kumjua Mungu wa kweli.

Mchoyo hata kwa vitu vidogodogo tu.urais haukumtosha.
Mpayukaji hovyo.

Sura mbaya mweusiiiiiiiiiiioooooooo
Sasa ntu km huyu atafufuka kweli???

Malaika watakwambia usitutanie
Aisee!😭
 
Spika akemee hili!! Nauona mgogoro wa dini ukilinyemelea Bunge la JMT. Upepo wa Mashariki ya Kati unatusogelea tuwe waangalifu sana ndg zangu.

Wakristo wanaamini kuwa kupitia Jina la Yesu wafu wanaweza kufufuliwa na hii ni ahadi ya Mungu wao. Sasa kumshambulia Gwajima ktk imani ni kuwashambulia Wakristo ktk imani kwani amesema kwenye kitabu ni Yesu anafufua na sio yeye binafsi.

NARUDIA TENA SPIKA AKEMEE HILI HARAKA KABLA HALIJATUGAWA KAMA TAIFA. KUMBUKA HOTUBA YA RAIS MAGUFULI KWENYE BARAZA LA IDDI! TUHESHIMIANE KWENYE HIZI DINI!
Wacha roho mbaya mwambie nabii wako amfufuwe jiwe
 
Unajua maana ya majungu? Utakuwa mfuasi wa gwajima wewe.
Sio mfuasi ni msukule yaan huyu haumwambii chochote khs Gwaji boy,yeye gwaji ni zaidi ya wazaz wake,anamheshim anampenda gwaji kuliko hata wazaz wake ila ukimuuliza kwa nn hata hajui sbb,yaan tafsiri yake kichwani pako wazi
 
Duuh! Queen Esther ya kweli haya!
 
Spika akemee hili!! Nauona mgogoro wa dini ukilinyemelea Bunge la JMT. Upepo wa Mashariki ya Kati unatusogelea tuwe waangalifu sana ndg zangu.

Wakristo wanaamini kuwa kupitia Jina la Yesu wafu wanaweza kufufuliwa na hii ni ahadi ya Mungu wao. Sasa kumshambulia Gwajima ktk imani ni kuwashambulia Wakristo ktk imani kwani amesema kwenye kitabu ni Yesu anafufua na sio yeye binafsi.

NARUDIA TENA SPIKA AKEMEE HILI HARAKA KABLA HALIJATUGAWA KAMA TAIFA. KUMBUKA HOTUBA YA RAIS MAGUFULI KWENYE BARAZA LA IDDI! TUHESHIMIANE KWENYE HIZI DINI!
Imani hiiimejaa ujinga.
Nani asiyejua kwamba Yesu alifufu wafu maalumu kwa lengo maalumu tena kwa jina Mungu Mkuu Baba aliye mtuma.

Leo anakuja Mjanja anadanganya watu mchana kweupe na kuwachukulia pesa zao kwa mafundisho ya uongo?

Tuweni wakweli jamani, watanzania wasichezewe akili zao kama majuha.

Ukiristo ulio safi mbona upo na hatujawahaipo kuyasikia haya.?
 
Mi nashauri Pia wizara ya Mambo ya ndani waongeze kitengo Cha UFUFUAJI.
 
Gwajima siyo mtu mzuri alijikausha kama vile hafufuagi wafu. Au hiyo nafasi alikuwa anaitaka yeye.
 
Spika akemee hili!! Nauona mgogoro wa dini ukilinyemelea Bunge la JMT. Upepo wa Mashariki ya Kati unatusogelea tuwe waangalifu sana ndg zangu.

Wakristo wanaamini kuwa kupitia Jina la Yesu wafu wanaweza kufufuliwa na hii ni ahadi ya Mungu wao. Sasa kumshambulia Gwajima ktk imani ni kuwashambulia Wakristo ktk imani kwani amesema kwenye kitabu ni Yesu anafufua na sio yeye binafsi.

NARUDIA TENA SPIKA AKEMEE HILI HARAKA KABLA HALIJATUGAWA KAMA TAIFA. KUMBUKA HOTUBA YA RAIS MAGUFULI KWENYE BARAZA LA IDDI! TUHESHIMIANE KWENYE HIZI DINI!
Ukitumwa wakiristo utaleta Gwaji boy? Tapeli tu kama matapeli mengine
 
hivi mbona wabunge wamekuwa wapum bavu hivi. wananchi wanashida majinboni wao wanaongea upuuzi mi ndio maana huwa sipigi kura
Hawa wabunge wengine waropokaji Walibebwa na Hayati Magufuli halafu wanamletea dhihaka. Ajabu sana. Waache kudemka sana. Wanamwaibisha RAIS
 
Back
Top Bottom