Askofu Gwajima apigwa kombora Bungeni na Mbunge wa Mtambwe, Khalifa Issa

Hivi kuna Mkristo mwenye akili timamu anayeweza kuamini kwamba Gwajima ana uwezo wa kufufua mtu?!

Hivi kuna Mkristo mwenye akili timamu anayeamini hawa manabii uchwara wanaodai wana uwezo wa kufufua watu ni kweli wana huo uwezo?

Anyway, sioni mgogoro wowote wa kidini, labda mgogoro kati ya watu wenye akili timamu bila kujali dini zao, dhidi ya vichaa wa kiimani ambao kwa muktadha huu kamwe huwezi kuwakuta kwenye makanisa ya kweli!
Kwa lugha nyingine anaitwa"Dii" yaani tapeli wa kimataifa!
 
Aitaka serikali kuongea na manabii wanaodai kufufua wafu ili wafufue wapendwa wetu?
===
Mbunge wa Mtambwe (ACT-Wazalendo), Khalifa Mohamed Issa amehoji "Serikali haioni wakati umefika kukaa na manabii wanaodai kufufua waliokufa, ili kuweza kuwafufua wapendwa wetu." N/Waziri Mambo ya Ndani, Khamis Hamza Chilo, amejibu akisema "tutawaelimisha ili tuondoe migogoro."

Kuna kufa kwa aina mbili moja kufa kichawi na kufa kiMungu.
Kufa kichawi unauliwa na wachawi kisha unafichwa kiroho yaani watu wa kawaida awakuoni but unakuwepo duniani ukitumika hadi mda wako maalumu ambao Mungu ataamua kukuondoa duniani.
Anaeweza kufufuliwa ni yule aliyekufa kichawi yaani msukule.
 
Spika akemee hili!! Nauona mgogoro wa dini ukilinyemelea Bunge la JMT. Upepo wa Mashariki ya Kati unatusogelea tuwe waangalifu sana ndg zangu.

Wakristo wanaamini kuwa kupitia Jina la Yesu wafu wanaweza kufufuliwa na hii ni ahadi ya Mungu wao. Sasa kumshambulia Gwajima ktk imani ni kuwashambulia Wakristo ktk imani kwani amesema kwenye kitabu ni Yesu anafufua na sio yeye binafsi.

NARUDIA TENA SPIKA AKEMEE HILI HARAKA KABLA HALIJATUGAWA KAMA TAIFA. KUMBUKA HOTUBA YA RAIS MAGUFULI KWENYE BARAZA LA IDDI! TUHESHIMIANE KWENYE HIZI DINI!
Hahahahaha, Gwajima amfufue mwendazake
 
Kama walipita bila kupingwa yaani kufanyiwa vetting na wananchi mbona hayo ni madogo tutegemee zaidi.
Mimi sikutegemea swali kama hili toka kwa mbunge aisee

Yaani ni fedheha sana hili Bunge
Na mwingine eti anataka kupiga Sarakasi
Jamaa wanacheza na hela zetu sana na dharau juu
 
Aitaka serikali kuongea na manabii wanaodai kufufua wafu ili wafufue wapendwa wetu?
===
Mbunge wa Mtambwe (ACT-Wazalendo), Khalifa Mohamed Issa amehoji "Serikali haioni wakati umefika kukaa na manabii wanaodai kufufua waliokufa, ili kuweza kuwafufua wapendwa wetu." N/Waziri Mambo ya Ndani, Khamis Hamza Chilo, amejibu akisema "tutawaelimisha ili tuondoe migogoro."
Gwajima amelezwa na viatu kinguvu
 
Spika akemee hili!! Nauona mgogoro wa dini ukilinyemelea Bunge la JMT. Upepo wa Mashariki ya Kati unatusogelea tuwe waangalifu sana ndg zangu.

Wakristo wanaamini kuwa kupitia Jina la Yesu wafu wanaweza kufufuliwa na hii ni ahadi ya Mungu wao. Sasa kumshambulia Gwajima ktk imani ni kuwashambulia Wakristo ktk imani kwani amesema kwenye kitabu ni Yesu anafufua na sio yeye binafsi.

NARUDIA TENA SPIKA AKEMEE HILI HARAKA KABLA HALIJATUGAWA KAMA TAIFA. KUMBUKA HOTUBA YA RAIS MAGUFULI KWENYE BARAZA LA IDDI! TUHESHIMIANE KWENYE HIZI DINI!
Hakuna mkristo wa kweli ambaye anaweza kuwakilishwa na msanii kwa Gwajima.
 
Spika akemee hili!! Nauona mgogoro wa dini ukilinyemelea Bunge la JMT. Upepo wa Mashariki ya Kati unatusogelea tuwe waangalifu sana ndg zangu.

Wakristo wanaamini kuwa kupitia Jina la Yesu wafu wanaweza kufufuliwa na hii ni ahadi ya Mungu wao. Sasa kumshambulia Gwajima ktk imani ni kuwashambulia Wakristo ktk imani kwani amesema kwenye kitabu ni Yesu anafufua na sio yeye binafsi.

NARUDIA TENA SPIKA AKEMEE HILI HARAKA KABLA HALIJATUGAWA KAMA TAIFA. KUMBUKA HOTUBA YA RAIS MAGUFULI KWENYE BARAZA LA IDDI! TUHESHIMIANE KWENYE HIZI DINI!
Akisema kufufua ni vibaya atakua ametukosea sana, huyo sheick! Lakini kama anatusisitiza kuitimiza imani yetu, ya kufufua, kwa vitendo, ni mwenzetu kabisa! Kwanini le Bishop asiitimize iyo imani!?
 
Huyo mbunge kama kweli kasema hivyo basi ni mpumbavu wa kiwango cha kimataifa.

Anafanyia utani masuala ya kifo wakati hajui ni lini moyo wake utasimama milele.
Kwa hiyo, kwa sababu kila Mtu atakufa, watu waiongelee kifo!? Usitishe watu kwamba nao watakufa kwa nia ya kuwazuia kujadili kifo kolichokuuma Wewe!
 
Hivi kweli kwa nini Gwajima asimfufue Jiwe wetu
Anatumikia adhabu!! angepona km angeenda kwa shetani moja kwa moja sasa jiwe yeye alikuwa vuguvugu!! hata hajui yuko upande gani!! Mungu akamtema!! vijini vikamuokota sasa anabeba mtondoo wa vijini ahera huko!!
 
Back
Top Bottom