Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,839
- 93,626
Ni miaka 20 sasa imepita tangu uamuzi wa kuchoma kaya 135 uliotolewa na aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Serengeti Thomas Ole Sabaya , kuchomwa moto kwa kaya hizo kulitokea siku nne baada ya amri kutoka kwa mkuu wa wilaya kuwataka kuondoka eneo hilo kwa madai kuwa wananchi hao wanaishi katika eneo la Pori ala akiba la Ikorongo....
Sio baba yake mzazi wa huyu wa sasa kweli?Ni miaka 20 sasa imepita tangu uamuzi wa kuchoma kaya 135 uliotolewa na aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Serengeti Thomas Ole Sabaya , kuchomwa moto kwa kaya hizo kulitokea siku nne baada ya amri kutoka kwa mkuu wa wilaya kuwataka kuondoka eneo hilo kwa madai kuwa wananchi hao wanaishi katika eneo la Pori ala akiba la Ikorongo....
Hivi modulators wa JF kaziao waga ni zipi? Unapaswa kipigwa ban ya one year kwakukoroga madaUmeshindwa kumwondoa mbowe madarakani alafu unaota kuondoa ccm madarakani? Shame on you
Wahenga walisema "jina huumba", "Ole wao ole wao" wale wenye majina hatarishi.Ni miaka 20 sasa imepita tangu uamuzi wa kuchoma kaya 135 uliotolewa na aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Serengeti Thomas Ole Sabaya , kuchomwa moto kwa kaya hizo kulitokea siku nne baada ya amri kutoka kwa mkuu wa wilaya kuwataka kuondoka eneo hilo kwa madai kuwa wananchi hao wanaishi katika eneo la Pori ala akiba la Ikorongo...
ndioNi mtu na baba yake
Naunga mkono hoja pamoja na hizi koo:- Ndugai, Mnyeti, Makonda, Mwigulu, Kabudi, Bashiru, Polepole, Ally Hapi, Gwajima na Mrisho Gambo.Huo ukoo wa kina Sabaya wawekewe zuio la kudumu kushika kwenye utumishi wa umma
+ ukoo wote wa bwana MàgufoolNaunga mkono hoja pamoja na hizi koo:- Ndugai, Mnyeti, Makonda, Mwigulu, Kabudi, Bashiru, Polepole, Ally Hapi, Gwajima na Mrisho Gambo.
Yap+ ukoo wote wa bwana Màgufool
Hakiiiii sawa. Haki kwa naniiii? R.IP maalim.seif sharif hamadHaki huinua taifa.
Waliokusikia baba askofu wamesikia, na wasiokusikia haimaanishi kuwa hukusema na hawana udhuru kwa kutosikia.TULIYAJUA, HATUKUYAJUA, HILI NI ZAIDI YA TATIZO.
Kesi iko mahakamani, sitaki kusema yaliyomo ya kesi hiyo. Najipa haki ya kusema jambo zima kwa ujumla wake...
Nilikipenda tu bandiko looh kweli mwenye elimu na hekima hata usipomuona kwa macho utajua tu kuwa huyu kiumbe si wa nchi hiiWaliokusikia baba askofu wamesikia, na wasiokusikia haimaanishi kuwa hukusema na hawana udhuru kwa kutosikia.
Lakini je waliokusikia watayatendea kazi?...
Kwa hiyo serikali iliyopo Samia mmempigia kura ,mpaka awatoe maafisa wa serikali waliochaguliwa na serikali iliyoshinda uchaguz?Kwa hiyo Bagonza ulishiriki katika dhambi ya kumuua Magufuli,ili mpange serikali mnayoitaka?
Wanachadema na kutaka wale waliowakalia kooni waondoke ,wamesahau kuwa serikali iliyopo ni ya CCM na wateule wake ni watekelezaji tu wa ilani ya CCM, vinginevyo wataangaliwa kama una ushahudu wa hao unaosema waliwaua.