Askofu ambomoa Dk. Slaa, amuonya na dhambi ya uzinzi!

Askofu ambomoa Dk. Slaa, amuonya na dhambi ya uzinzi!

Status
Not open for further replies.
Mkuu uliwahi kujiuliza ni kwa vipi slaa alizaa na yule mke wake wa kwanza wakati akiwa ni PADRE? ukipata jibu la hilo utamuelewa askofu.

Kiongozi!

Ingekuwa vyema ukatunza kumbukumbu. Dr. Slaa alizaa na Mh. Rose Kamili wakati alisha jiuzulu na kuaga rasmi kulitumikia kanisa. Si kweli kwamba Dr. Slaa alizaa wakati akiwa ndani ya kanisa.

Pia lazima ufahamu kwamba, kanisa lolote likiwepo la Catholic, mtumishi yeyote ana uhuru wa kujitoa na kuanza maisha mengine nje ya kanisa bila kufungwa na sababu za kuamua kujitoa kulitumikia kanisa.

Rejea Pope Benedict ambaye amejiuzulu hivi karibuni kwa sababa ambazo kwake aliona zinafaa.
Kiongozi! Ni vyema tukawa watu wa kuangalia mifano hai kuliko kuja jukwaani na hoja ambazo ni nyepesi.
 
Nimeamini ni kweli kama mtu akiwa padre ama mchungaji then akijakuasi yale mapepo aliyokuwa akiyakemea ibadani humrudi kwa nguvu na mengi mala saba zaidi.

ndicho kinachompata mzee wetu huyu.

Binti bado haujajua mwisho wa maisha yako hapo ulipo bado haujaolewa na sitashangaa pale nitakalosikia umezaa mtoto wa haramu na kigogo wa CCM na baada ya tukio hilo utaiweka wapi sura yako labda uendelee na ule mchezo wako wa kutoa mimba uliouzoea.
 
Mi kila siku namchukia Babu kwasababu ya tabia yake ya uzinzi na na kulisaliti kanisa. Huyu Mzee ni mzinzi mkubwa tena anapaswa kulaaniwa hapa duniani na akhera. Amebilisi ndoa ya mtu na kumpora mke akitumia nafasi yake na fedha zake. Hivi wewe ukiporwa mkeo utajisikiaje?

Heri yako ambae ni mzinzi mdogo hata jehanam yako itakuwa ndogondogo.
 
Vyanzo vingine vya habari kaaaazi kweli kweli! Eti makanisa mengine nayo yana Askofu! Huyu Emmanuel Mwamakula mwenyewe kila uchao anashinda na wanawake za watu huku akijifanya anawaombea. Sijui uaskofu mwingine unatoka wapi!

Eti kwa kuficha wasijulikane wanasafiri pamoja mchumba wake Dr Slaa amejitambulisha kama mke wa Aminiel Mahimbo. Unajuaje kama hati yake ya kusafiria hajaibadilisha jina?

Hivi mtu apeleke shauri mahakamani na kushinda kesi na bado aendelee kujificha, inaingia akilini kweli? Mwambieni huyo askofu njaa kwamba akawahubirie wanao muamini yeye lakini sio sisis waTanganyika tunao ipigania haki na usawa katika taifa hili.

NA ALAANIWE YEYE NA HAO WANAO MUAMINI. Laana Kumu kabisa!!

Na iwe kashinda kesi kweli haina haja kubadilisha jina lakini lini slaa alimuoa jesophine, slaa bado ataendelea kuwa mzinifu
 
Huku ni kuchanganya mada,kwa taratibu zakiserikali ni sahihi kabisa,ila kiimani ya dini kuvunjwa kwa ndoa kunataratibu zake,ni dhahiri babu ni mzinifu kwani taratibu za kiserikali na zakidini ni tofauti kabisa.
Si kweli kwamba taratibu za kiserikali na kidini zipo tofauti. Kila mamlaka inatoka kwa MUNGU kama alivyosema Askofu Kilaini kwamba sauti ya wengi ni sauti ya MUNGU. Kikifunguliwa duniani kimefunguliwa na mbinguni pia. Husomi biblia nini! kutengana kwa watu Yesu kifo alichokimaanisha ni kiroho si kama mnavyofikiri. Mambo ya JESUS ilikuwa ni ya kiroho lakini akawaambia kwamba yaliyo ya Kaisari mpeni na yaliyo ya MUNGU mpeni. Mwili ni mavumbi lakini roho/nafsi imetoka kwa mola wetu. Josephine na yule 'mume' wake wa kwanza Walishatengana kiroho ndo kifo hicho kilichosemwa. Huyu Askofu fikra zake ni mfu anafikilia kuchuma ndo maana anasema eti kwenda Israel ndo kwenda mbele za MUNGU. Yesu alipokufa pazia la hekalu lilipasuka ikimaanisha sasa MUNGU yupo popote bila kujali ni taifa teule ama ni huku Afrika.
 
from religious point of view alichoongea ni sawa ila chumvi aliyoongezea ndio inafanya ionekana kama ametake it personal!!!
 
Nimeamini ni kweli kama mtu akiwa padre ama mchungaji then akijakuasi yale mapepo aliyokuwa akiyakemea ibadani humrudi kwa nguvu na mengi mala saba zaidi.

ndicho kinachompata mzee wetu huyu.

Kama wewe ulivyokuwa unakemea pepo la ufisadi ukiwa CHADEMA. Sasa pepo hilo limekuingia mpaka sasa umeona ufisadi si kitu unashangilia walipua mabomu. Naona lile pepo la ufisadi limeenda kuchukua mapepo ya madhambi mengine.
 
Ninachojifunza ni kuwa wafuasi wa CDM hawapotayari kuungama ukweli unaohusu makosa ya viongozi wao hata ikiwa ukweli huo upo wazi kwa kiasi gani. Waheshimiwa lazima tujifunze kuukubali ukweli bila ya kuangalia mhusika ni CCM, CUF Dr. Slaa, au JK. Ukweli lazima ubakie ukweli tu. Kwani huyu mwanamke anayesemwa hapa Dr. Slaa amefunga nae ndoa? kama jibu ni NDIO basi Dr. Slaa hazini na kama jibu ni HAPANA basi Dr. Slaa anazini na kwa hivyo ni haki kabisa kumwita mzinifu. Kwa nini tupindishepindishe maneno?
 
Kiongozi!

Ingekuwa vyema ukatunza kumbukumbu. Dr. Slaa alizaa na Mh. Rose Kamili wakati alisha jiuzulu na kuaga rasmi kulitumikia kanisa. Si kweli kwamba Dr. Slaa alizaa wakati akiwa ndani ya kanisa.

Pia lazima ufahamu kwamba, kanisa lolote likiwepo la Catholic, mtumishi yeyote ana uhuru wa kujitoa na kuanza maisha mengine nje ya kanisa bila kufungwa na sababu za kuamua kujitoa kulitumikia kanisa.

Rejea Pope Benedict ambaye amejiuzulu hivi karibuni kwa sababa ambazo kwake aliona zinafaa.
Kiongozi! Ni vyema tukawa watu wa kuangalia mifano hai kuliko kuja jukwaani na hoja ambazo ni nyepesi.
mkuu huko ni kukimbia kivuri chako,slaa kaanza mahusiano na rose tangu akiwa padri na some time walikuwa wanakutana mpaka kwenye nyumba za watumishi wa mungu.
 
Ajabu ya mtu alokuwa mtumishi wa Mungu , mchunga kondoo, anakwenda kuhiji na mtu aliezini nae mpaka wamepatikana watoto wa kitendo cha haramu ambacho hata kwenye kitabu kitukufu cha biblia kimekata "UZINI" "USIIBE" yeye aliewahi kuwa mchunga Kondoo Slaa akazini akazaa watoto, akaiba , na bado anakwenda kuhiji katika mji mtukufu, mji mtakatifu alozaliwa Yesu na mtu anaeendelea kuzini nae , KWELI NASTAAJABU


Mji wa Yerusalemu ni mchafu kama miji mingine yo yote humu duniani. Hauna utukufu wo wote. Acha kuonesha ujinga wako katika Biblia. Utakatifu wa Yerusalemu siyo sasa. Subiri Masihi arudi. Hata hivyo ni nani anawadanganya kuwa mwongo ana tofauti na mzinzi au mwabudu sanamu? Ni nani anasema jambazi na mwuaji ana tofauti na mwasherati na mlawiti? Dhambi ni dhambi. Kabla hujamnyooshea mzinzi kidole wewe ni msafi kiasi gani? Una hakika siyo mwongo na tena unayetoa hukumu ya uongo? je, husingizii wengine kwa faida yako mwenyewe? Acheni kupotoa maandiko kwa faida zenu. Tena acheni kuwa walimu wa Biblia huku mkifundisha uongo kwa kuwa adhabu yenu itakuwa kubwa. Jadili siasa. Kama una hakika na utakatifu wako, then unaweza kuwanyooshea vidole wengine. Tafakari! Chukua hatua.
 
Let he/she who is with out sin be the first to cast the stone..

hata mnukuu kwa lugha gani lakini biblia hiyo hiyo ndiyo iliyotoa tafsiri ya neno mzinifu. so dr slaa hawezi kukwepa kashfa ya uzinifu tena mzinifu aliyekubuhu
 
Wewe na huyo askofu wako mnahoma ya akili! Aliyewaambia Mungu yupo Israel peke yake nani? Magamba yanawawasha!
kwa roho kama hii ya kwako hata ukiambiwa ummwagie mtu tindikali ili upate ujira huwezi kuacha
 
Kwa kweli hata mimi nimemshangaa sana Dr Slaa.

CC; Josephine,

An enemy of your enemy is your friend.... Leo unaungana na Mchungaji(Mfumo Kristo) kisa kamponda Slaa(Mkatoliki)...Anyway, anayehukumiwa ni binadamu na mwenye haki ya kuhukumu ni Mungu tu
 
Binti bado haujajua mwisho wa maisha yako hapo ulipo bado haujaolewa na sitashangaa pale nitakalosikia umezaa mtoto wa haramu na kigogo wa CCM na baada ya tukio hilo utaiweka wapi sura yako labda uendelee na ule mchezo wako wa kutoa mimba uliouzoea.
Kwa jinsi anavyowatukana wakubwa zake bila sababu sijui kama atazaa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom