Askofu ambomoa Dk. Slaa, amuonya na dhambi ya uzinzi!

Askofu ambomoa Dk. Slaa, amuonya na dhambi ya uzinzi!

Status
Not open for further replies.
Ni aibu sana hivi slaa anajionaje mbele za watu

Watu wasiojulikana wamechoma moto jengo la ofisi ya Chama cha Mapinduzi wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma tukio lililotokea Juni 21 mwaka huu majira ya usiku pamoja mlinzi wa ofisi hizo kuwepo katika eneo hilo la ofisi mpaka majira ya saa 12 asubhi na hakuweza kutambua kutokea kwa kitendo hicho kilichofanywa na watu wasiojulikana usiku huo.
 
Maaskofu wa mitaani! Hawasiti kuhukumu!! hayo ni mashetani ya duniani and their role is to curse every human being and the world. Huwezi kumsikia Askofu kama huyo anaona mazuri kwa binadamu mwenzake kwa sababu kazi yake kama ilivyo ya mpinga kristo ni kuhukumu na kuhakikisha analaani Dunia ili apate wafuasi huko nyumbani kwao Jehanam! Poor bishop! poor followers of Antichrist unknowingly!! We are surrendering you under the cross of Jesus and we are covering you with the precious blood that healed the world!

Ameeeen!!
 
dr slaa kazini weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee na Rose Kamili mpaka kamzalisha watoto watatu. baada ya hapo, sasa anazini weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee na Josephine Mushumbusi hadi amepata kitoto mwaka huu. naye akichuja anamtelekeza anakwenda kwa mwingine nako atazini weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hadi anaingia kaburini
 
An enemy of your enemy is your friend.... Leo unaungana na Mchungaji(Mfumo Kristo) kisa kamponda Slaa(Mkatoliki)...Anyway, anayehukumiwa ni binadamu na mwenye haki ya kuhukumu ni Mungu tu
Falme kwa falme hazijifitinishi kwa hiyo ujue hao wako kwenye anga moja.
 
Hivi anafwatana nae Kanisani hapa TZ,au nihuko tu???? udhinifu , kwa MUNGU virungu!!!
 
mkuu huko ni kukimbia kivuri chako,slaa kaanza mahusiano na rose tangu akiwa padri na some time walikuwa wanakutana mpaka kwenye nyumba za watumishi wa mungu.

Duh!

Hii kali! Yaonekana ulikuwa unamuonea wivu Mh. Rose Kamili ki aina. Hadi unajua kwamba Dr. Slaa alikukacha na kuwa anaondoka na Rose??
 
...maana imeandikwa heri mtu yule asiyehukumu maana hatahukumiwa
 
dr slaa kazini weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee na Rose Kamili mpaka kamzalisha watoto watatu. baada ya hapo, sasa anazini weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee na Josephine Mushumbusi hadi amepata kitoto mwaka huu. naye akichuja anamtelekeza anakwenda kwa mwingine nako atazini weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hadi anaingia kaburini
Yatakushinda!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Cheki haka kafa1a kanavyo comment utazani ka malaika.. ehhee! dada si tunaulizaga ni wangapi wame bandua? na kama tukianza kuuliza JF patatosha kweli? maana nahisi vitambi vyote vya maCCM unazijua texture zake.
 
Asiyekuwa na dhambi na awe wa kwanza kurusha jiwe
 
Je Dr Slaa alimuaga huyo Askofu kwamba anaenda Israel kuhiji??????

kwani mambo yote yanayotokea wewe unakuwa umetaarifiwa au unajaribu kuchezea akili za watu,mfano mzee mandela anaumwa na kila mtu anajua kuwa anaumwa kwani alikuja kutuambia kuwa anaumwa.
 
Dah sijui Dr slaa angezaliwa huko Oman, Iraq, Iran na mataifa mengine yanayotumia Shariah Law sijui angepata wapi nafasi hiyo ya kufanya uzinifu wake maana huko mijamaa inatwanga mawe tu. haijali ulikuwa padre au nani. natamani sheria hiyo ingekuwa hapa bongo nadhani ndoa za watu zitadumu na watoto wa mitaani watapungua
 
Kwa kweli hii Tz watu wanakosa weledi na maono nyie wananchi wamezalilishwa hadi wanajifungulia sakafuni kwa sababu tuu ya mafisadi wachache wanaficha hela zetu. Elimu imekufa hospitals mbovu. Watu wanafanya biashara za madawa ya kulevya hadi wengine wanakamatwa China na kupelekea nchi yetu kuwekwa rehani bado hamlioni hilo mnahangaika na maisha ya mtu mmoja. UMEPOTEA

Hivi huyo Askofu. anao weledi gani ktk fani yake hiyo? Wa-Tz wenzangu inabidi 2jiulize sana cku hizi hao viongozi wa dini pia ni business oriented wanaamua kuanzisha makanisa kwa ma2mbo yao. Kama kweli ni mtumishi wa Mungu kwa nn amnyoshee Slaa mkono? Uhucano wake na Mshumbusi ndo dhambi hapa Tz? Kwa nn ackemee mauaji yanayotokea nchini? Elimu kuporomoka, afya duni, mafisadi n.k.? Nionavyo mm, kwa nn huyu hawezi kuikemea serikali? Au 7bu ndo waumini wake na ame2mwa kwa hilo. Kwo ni rahic kumnyoshea kidole Slaa coz co muumini wake... Mwambien atoe kwanza kibanzi chake...
 
Midomo ipo active kuongea ya wenzao.mara kibao wanazini huko guest house lakini ya kwao siri
 
slaa anautia aibu upadri. kwa usaliti huu hafaikuwa rais wa nchi hii
 
All of a sudden mna anza kujifanya malaika kwa sababu tu ni dr.slaa, Hata mje kwa gia gani, dr slaa akiamua kuoa wake mia ni yeye. Last time i checked hakuna sheria anayo mnyima mtu kuoa/kuolewa au kumnyima mtu Kula/Kuliwa TANZANIA, as long as umri umefika. hayo mambo ya ukristo na bibilia wange weka kwenye forums za dini, hapo tunge elewana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom