Askofu ambomoa Dk. Slaa, amuonya na dhambi ya uzinzi!

Askofu ambomoa Dk. Slaa, amuonya na dhambi ya uzinzi!

Status
Not open for further replies.
Nimeamini ni kweli kama mtu akiwa padre ama mchungaji then akijakuasi yale mapepo aliyokuwa akiyakemea ibadani humrudi kwa nguvu na mengi mala saba zaidi.

ndicho kinachompata mzee wetu huyu.
Slaa chaguo letu, Slaa tumaini letu, Slaa ndio jicho letu
 
haya ni mambo ya kibinafsi pelekeni bamaga kwa shigongo toa hapa jamvini.
 
ASKOFU mwenyewe huenda ni mtoto aliyepatikana kwa zinaa ni NANI ajuaye? NDOA za washirika wake wote zikoje kanisani kwake? Namshauri Askofu ALITUMIE NENO LA MUNGU KWA HALALI AACHE KUJIPENDEKEZA NA KUTUMIWA NA WANASIASA HASA CCM.
huyo siyo askofu ni kada.
 
Tofauti ya ukristu na dini nyinginezo, Mungu wetu yuko mahali pote. Hizo ziara za Israeli ni za kihistiria zaidi na hazichagui nani aende na nani asiende.

ila ndoa ni muhmu hata biblia inasema hvo pia watoto wanapozaliwa kabla ya ndoa hao ni haramu na padri slaa anajua yote hayo.kitu cha muhmu nikuongea ukweli tu hata kama wanachedema tutaumia hyo ndo hali halisi.tusitokwe na mapovu jamani.kwa hali iliyojitokeza slaa ameasi dini yake hata kama huyo mwanamke ameachishwa na mahakama sheria ya ukiristo haiko hvo kifo ndo kinachotenganisha.raisi bila mke haiwezekani 2015
 
Nimeamini ni kweli kama mtu akiwa padre ama mchungaji then akijakuasi yale mapepo aliyokuwa akiyakemea ibadani humrudi kwa nguvu na mengi mala saba zaidi.

ndicho kinachompata mzee wetu huyu.

Nadhani Shonza unaweza kuwa na hoja muhimu zaidi za kuchangia kuliko huu -----. Aliyemwamwia huyo mchungaji kuwa wanaohiji ni watakakatifu ni nani? Shonza achana na mambo ya kipuuzi kama haya.
 
Askofu wa kanisa la pentecost Church Of God Emmanuel Mwamakula.amelaani kitendo cha katibu mkuu wa CHADEMA bwana W.Slaa kwenda kufanya idaba ya hijja nchini israel na mwanamke hajafunga nae ndoa. Slaa aliondoka nchini feb 24 mwaka huu akiwa na mtu aliyemtambulisha kama mchumba wake na ambaye amekiri kuzaa nae mtoto,Josephene Mushumbusi kwa ndege no QR 545 kwa ajiri ya kwenda kutimiza ibada hiyo ambayo yeye anadai ni ya kuliombea taifa.

Akizungumza na gazeti hili Askofu Mwamakula alisema ameshangazwa na kitendo cha Slaa kuwa ujasiri wa kwenda kufanya idaba hiyo takatifu na mwanamke ambaye hajafunga nae ndoa(hawara). Hiki alichofanya Slaa kinapaswa kukemewa na kulaaniwa vikali,haiwezekani mtu akamchukua mwanamke ambaye hajafunga nae ndoa na kuambatana nae kwenda sehemu takatifu ambako ni mbele za mungu na kufanya ibada,huu ni 'uchafu' uliopitiliza,alisema askofu huyo.

Aliendelea kusema kwamba Slaa alipaswa kwanza kutubu kwa kitendo chake cha kupora mke wa mtu na kuzaa naye wakati anajua wazi kufanya ni kutenda zinaa,kwani kwenye maandiko matakatifu imewekwa wazi kwamba mwanamke au mwanaume anayemuacha mume au mke wake na kwenda kwa mwingine anazini.

Slaa amewahi kuwa padre wa kanisa katoliki anajua maandiko kwamba ndoa ya kikristo inapofungwa,kinachotenganisha ni kifo tuu!lakini kinachoshangaza yeye amepora mke wa mtu na kwenda nae sehemu takatifu bila aibu. Ninasema ni kwamba,Slaa alipaswa kwanza kutubu na kutumia nafasi hiyo kuomba mungu amuepushe na adhabu kali ikizingatia umri wake amesonga sana.

Lakini yeye anaona fahari kufanya matendo ambayo hayaendani na umri wake na kibaya zaidi ni matendo yanayokwenda kinyume na dini yetu.Alisema Askofu huyo kutoka Mbeya. Slaa amekwenda Mbeya kutembea tu,hana usafi wa kutosha kuliombea taifa wakati yeye ndiye alipaswa kuombewa kwanza kutokana na dhambi nzito ya uzinifu inayomkabili!

Hata hivyo,uchunguzi wa gazeti hili umebaini kuwa,katika kuficha uhusiano wake huo na mchumba wake huyo(Josephine Mshumbusi) kwenye orodha ya wasafiri ambayo mwandishi wa habari hii ameiona,Slaa akiwa namba 70,mchumba wake huyo amejitambulisha kama mke wa Aminiel Mahimbo na sii mchumba wa Slaa.

Chanzo:Africa Leo toleo no 72.

Huyo askofu yeye ni nani? Mtu yeyote, mahali popote duniani ni haki yake kufanya ibada, kusali, kuomba na kutubu. Hija ni sehemu ya ibada, kusali, kuomba na kutubu. Sasa askofu anaonya kitu gani. Afadhali kama angesema alienda hija kuiba mke wa mtu, kuua, kuiba au kufanya kitu chochote kibaya. Lakini kama kwenda kule ni kwa ajili ya ibada ya dini na Yesu mwenyewe alisema: "Njooni kwangu wote... na kujifunza kutoka kwangu..." ina maana huyo askofu ni mkubwa kuliko Yesu? Shame upon him na uaskofu wake huo.
 
Huyu askofu gani?? Askofu wa nini??? nitashangaa kama sio CHIZI. Tena unawea kukutta anajiita askofu yeye na wala hana uaskofu.
 
Askofu wa kanisa la pentecost Church Of God Emmanuel Mwamakula.amelaani kitendo cha katibu mkuu wa CHADEMA bwana W.Slaa kwenda kufanya idaba ya hijja nchini israel na mwanamke hajafunga nae ndoa. Slaa aliondoka nchini feb 24 mwaka huu akiwa na mtu aliyemtambulisha kama mchumba wake na ambaye amekiri kuzaa nae mtoto,Josephene Mushumbusi kwa ndege no QR 545 kwa ajiri ya kwenda kutimiza ibada hiyo ambayo yeye anadai ni ya kuliombea taifa.

Akizungumza na gazeti hili Askofu Mwamakula alisema ameshangazwa na kitendo cha Slaa kuwa ujasiri wa kwenda kufanya idaba hiyo takatifu na mwanamke ambaye hajafunga nae ndoa(hawara). Hiki alichofanya Slaa kinapaswa kukemewa na kulaaniwa vikali,haiwezekani mtu akamchukua mwanamke ambaye hajafunga nae ndoa na kuambatana nae kwenda sehemu takatifu ambako ni mbele za mungu na kufanya ibada,huu ni 'uchafu' uliopitiliza,alisema askofu huyo.

Aliendelea kusema kwamba Slaa alipaswa kwanza kutubu kwa kitendo chake cha kupora mke wa mtu na kuzaa naye wakati anajua wazi kufanya ni kutenda zinaa,kwani kwenye maandiko matakatifu imewekwa wazi kwamba mwanamke au mwanaume anayemuacha mume au mke wake na kwenda kwa mwingine anazini.

Slaa amewahi kuwa padre wa kanisa katoliki anajua maandiko kwamba ndoa ya kikristo inapofungwa,kinachotenganisha ni kifo tuu!lakini kinachoshangaza yeye amepora mke wa mtu na kwenda nae sehemu takatifu bila aibu. Ninasema ni kwamba,Slaa alipaswa kwanza kutubu na kutumia nafasi hiyo kuomba mungu amuepushe na adhabu kali ikizingatia umri wake amesonga sana.

Lakini yeye anaona fahari kufanya matendo ambayo hayaendani na umri wake na kibaya zaidi ni matendo yanayokwenda kinyume na dini yetu.Alisema Askofu huyo kutoka Mbeya. Slaa amekwenda Mbeya kutembea tu,hana usafi wa kutosha kuliombea taifa wakati yeye ndiye alipaswa kuombewa kwanza kutokana na dhambi nzito ya uzinifu inayomkabili!

Hata hivyo,uchunguzi wa gazeti hili umebaini kuwa,katika kuficha uhusiano wake huo na mchumba wake huyo(Josephine Mshumbusi) kwenye orodha ya wasafiri ambayo mwandishi wa habari hii ameiona,Slaa akiwa namba 70,mchumba wake huyo amejitambulisha kama mke wa Aminiel Mahimbo na sii mchumba wa Slaa.

Chanzo:Africa Leo toleo no 72.
Wewe na huyo askofu wako mnahoma ya akili! Aliyewaambia Mungu yupo Israel peke yake nani? Magamba yanawawasha!
 
Duh haya makanisa mengine bwana,yanaondoa maana halisi ya kanisa eti "kanisa la pentecost Church Of God" Hii ni sawa na NGO.huyu Emmanuel Mwamakula ni mganga njaa tu.hana hadhi ya kuitwa askofu.
 
kwanza huyo askofu mpotoshaji ni nani alimwambia slaa alienda kuhiji? Mtu asitembelee historical event? Au kwa uelewa wake mtu akienda islael ni kuhiji? Jamani hawa kenge tuweni makini nao wanatuamisha arusha kwenye mabomu

Tehe tehe tehe...na hapo anagegeda ruzuku na sadaka tunazochangishwa kwenye mikutano, akiingia magogoni si itakuwa balaa, tusishangae tukasikia babu na Josephine wapo kwenye appolo 13 wanaelekea mwezini kutalii.
 
Nimeamini ni kweli kama mtu akiwa padre ama mchungaji then akijakuasi yale mapepo aliyokuwa akiyakemea ibadani humrudi kwa nguvu na mengi mala saba zaidi.

ndicho kinachompata mzee wetu huyu.

Wewe umeolewa? Subiri zamu yako halafu yatakayokupata usije ukayaficha. Usifikiri maisha yatakuwa kama unavyoyafikiria sasa.
 
POINT.....Babu aangalie sana mwenendo wake kabla ya kupanda jukwaani na kuita wengine wezi na mafisadi ili hali ruzuku tu inamtoa denda.

Na aache mara moja kujitapa eti anataka kuwakomboa watanzania ili hali yeye mwenyewe anashindwa kujikomboa.

hili nalo neno ......
tusipende kusifia kila kitu,we should reason things.........
 
Ushamba unamsumbua huyo askofu , nani kamwambia Israel kila mtu anaenda kwenye Ibada, kinachoitwa kuHijj ni wazimu mtupu, wapi Biblia imeandika kuna kuhiji Israel, huo ni upagani.
Dr Slaa(PHD) amekwenda kutalii, na kutazama nchi hiyo byenye Historia pana kwa ustawi wa kidunia
Watu wanadanganyika kuwa wakienda Israeli wanakuwa watakatifu. Siyo kweli. Huku ni uelewa mdogo wa maandiko. Waabuduo halisi humwabudu Mungu katika roho na kweli. Huyu askofu anatakiwa alijue hilo. Wanaokwenda huko wanakwenda kutalii na kuona mambo ya kihistoria jambo ambalo haliwaongezei utakatifu. Utakatifu haupatikani Israeli. Acheni kudanganya watu. Nasema haya kama Mkristo msije mkasema mmedhalilishwa na imani nyingine.


Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Yesu hakuja kwa ajili ya wasio na dhambi, bali...

Askofu amepitia majina ya watu wooote walioenda Israel na kujirithish kuwa a hawana dhambi?
 
Wewe umeolewa? Subiri zamu yako halafu yatakayokupata usije ukayaficha. Usifikiri maisha yatakuwa kama unavyoyafikiria sasa.

hayo ni matokeo,ndoa zinafungwa na zinavunjika........

hapa tunamjadili mtu anaetaka kuja kuongoza nchi
kwa nini haoi kila siku "mchumba" 'mchumba"
 
Naona unaendelea kupokea buku 7 kwa ajili ya kumchafua mtu usiyemfahamu kabisa. Ni kwamba huna kazi ya kufanya au nini? hii thread ya zamani sana ilishakuja ikajadiliwa sasa unaileta tena. Kwa style hii maendeleo kwa watz walio wengi yatabakia kuwa ndoto. Hebu tubadilike na tuanze kujadili mambo yenye tija kwa taifa letu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom