Askofu ambomoa Dk. Slaa, amuonya na dhambi ya uzinzi!

Askofu ambomoa Dk. Slaa, amuonya na dhambi ya uzinzi!

Status
Not open for further replies.
ivi nyie watumikia matumbo kwanini hamuonagi aibu??? kwann unatetea uovu?? kwann mna ngozi ngumu hivi??? mnatia aibu, slaa sio mungu ana mapungufu huo wa uzinzi ndio moja ya mapungufu yake..
KAMA SIO Mungu kwanini ustuke Dr Slaa kula burudani na Mwanamke wa Moyo wake.
Kama vipi Nenda wewe Kaolewe nae maana unaona madam Mushumbuzi anafaidi
 
Nimeamini ni kweli kama mtu akiwa padre ama mchungaji then akijakuasi yale mapepo aliyokuwa akiyakemea ibadani humrudi kwa nguvu na mengi mala saba zaidi.

ndicho kinachompata mzee wetu huyu.
Biblia gani unaisoma wewe??? lete hapa andiko halafu ufundishwe, hata wewe japo ulipokuwa CDM hukuwa padri wala mchungaji mbona hali yako imebadilika sana kimaadili.
 
huu uzinzi mpka lini halafu anazalilisha utu wa mwanamke kila day yeye anabadili wanawake tu hata kuwaoa hataki yeye kucheza tu ndo mpango mzima kwake.
 
Utajibaraguza wee lakini utampenda tu Dr Slaa. Sasa ebu zungumzia msimamo wake wa kisiasa, maana huko mmekosa cha kuandika mnakimbilia hoja dhaifu. Mtu dhaifu hujenga hoja dhaifu. Suala la Josephine linatuhusu nini sisi Watanzania, mnalialia hovyo sijui mlitaka muolewe ninyi? Maadui wetu wameongezeka kutoka Ujinga, sasa Wivu na Uvivu.
 
KAMA SIO Mungu kwanini ustuke Dr Slaa kula burudani na Mwanamke wa Moyo wake.
Kama vipi Nenda wewe Kaolewe nae maana unaona madam Mushumbuzi anafaidi

asante kwa matusi mkuu, lakini hapa tunazungumzia tabia ya mtu anayejiita kiongozi wa kitaifa ambaye sote tunapaswa kuiga aenendavyo na atendayo, sasa kama kiigwa kinazini wake za watu kufikia kuvunja ndoa na leo mtu kama wewe unamuona ni "mwanamke wa moyo wake" basi taifa limepotea.
 
Jamani hapa mwatuchanganya!! mbona wengi wanaishi miaka bila kuoa huku wakichunguzana kisha hufungandoa uzeeni? but kinachonisumbua ni je kwani huko wanaendelea kuzini kwenye mji mtukufu? wanalala bed lumo huko? je mzee mnahakika anawezakuwa anagegeda?
Tumuombee apate maono amuoe tusiwabedhe wenzetu wanapendana na wanakunana vizuri.
 
lakini kumbukeni kunawatu wanapepo wa ngono haya mambo lazima pia myaangalie yawezekana siyo yeye jamani ni pepo kwa nini tusimuombee mzee wetu.
 
Ukweli ni kwamba mzee slaa, angefunga ndoa yake aishi maisha mazuri yenye kumpendeza Mungu. Imeshatokea ahalalishe. Haiingii akili kabisa akiisha maisha aliyonayo.

Ni mtazamo tu.
 
Nimeamini ni kweli kama mtu akiwa padre ama mchungaji then akijakuasi yale mapepo aliyokuwa akiyakemea ibadani humrudi kwa nguvu na mengi mala saba zaidi.

ndicho kinachompata mzee wetu huyu.

we mwanamke wewe unajitakia laana bure!
 
Nimeamini ni kweli kama mtu akiwa padre ama mchungaji then akijakuasi yale mapepo aliyokuwa akiyakemea ibadani humrudi kwa nguvu na mengi mala saba zaidi.

ndicho kinachompata mzee wetu huyu.
lione ! fyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Sidhani kama huyo ni askofu na kana ana jina hilo simtofautishi na watangulizi wa ukoloni!Kwa sasa namuona kama kuwadi wa mafisadi na maliberali!Aondoe boriti kwenye jicho lake kwanza...

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Utajibaraguza wee lakini utampenda tu Dr Slaa. Sasa ebu zungumzia msimamo wake wa kisiasa, maana huko mmekosa cha kuandika mnakimbilia hoja dhaifu. Mtu dhaifu hujenga hoja dhaifu. Suala la Josephine linatuhusu nini sisi Watanzania, mnalialia hovyo sijui mlitaka muolewe ninyi? Maadui wetu wameongezeka kutoka Ujinga, sasa Wivu na Uvivu.

huwezi kujadili hali yake kisiasa wakati yeye si msafi,daima ukitaka kumpa mtu uongozi lazima kwanza uangalia uadilifu wake kitabia ndipo uangalie kiuongozi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom