Askofu ambomoa Dk. Slaa, amuonya na dhambi ya uzinzi!

Askofu ambomoa Dk. Slaa, amuonya na dhambi ya uzinzi!

Status
Not open for further replies.
Askofu wa kanisa la pentecost Church Of God Emmanuel Mwamakula.amelaani kitendo cha katibu mkuu wa CHADEMA bwana W.Slaa kwenda kufanya idaba ya hijja nchini israel na mwanamke hajafunga nae ndoa. Slaa aliondoka nchini feb 24 mwaka huu akiwa na mtu aliyemtambulisha kama mchumba wake na ambaye amekiri kuzaa nae mtoto,Josephene Mushumbusi kwa ndege no QR 545 kwa ajiri ya kwenda kutimiza ibada hiyo ambayo yeye anadai ni ya kuliombea taifa.

Akizungumza na gazeti hili Askofu Mwamakula alisema ameshangazwa na kitendo cha Slaa kuwa ujasiri wa kwenda kufanya idaba hiyo takatifu na mwanamke ambaye hajafunga nae ndoa(hawara). Hiki alichofanya Slaa kinapaswa kukemewa na kulaaniwa vikali,haiwezekani mtu akamchukua mwanamke ambaye hajafunga nae ndoa na kuambatana nae kwenda sehemu takatifu ambako ni mbele za mungu na kufanya ibada,huu ni 'uchafu' uliopitiliza,alisema askofu huyo.

Aliendelea kusema kwamba Slaa alipaswa kwanza kutubu kwa kitendo chake cha kupora mke wa mtu na kuzaa naye wakati anajua wazi kufanya ni kutenda zinaa,kwani kwenye maandiko matakatifu imewekwa wazi kwamba mwanamke au mwanaume anayemuacha mume au mke wake na kwenda kwa mwingine anazini.

Slaa amewahi kuwa padre wa kanisa katoliki anajua maandiko kwamba ndoa ya kikristo inapofungwa,kinachotenganisha ni kifo tuu!lakini kinachoshangaza yeye amepora mke wa mtu na kwenda nae sehemu takatifu bila aibu. Ninasema ni kwamba,Slaa alipaswa kwanza kutubu na kutumia nafasi hiyo kuomba mungu amuepushe na adhabu kali ikizingatia umri wake amesonga sana.

Lakini yeye anaona fahari kufanya matendo ambayo hayaendani na umri wake na kibaya zaidi ni matendo yanayokwenda kinyume na dini yetu.Alisema Askofu huyo kutoka Mbeya. Slaa amekwenda Mbeya kutembea tu,hana usafi wa kutosha kuliombea taifa wakati yeye ndiye alipaswa kuombewa kwanza kutokana na dhambi nzito ya uzinifu inayomkabili!

Hata hivyo,uchunguzi wa gazeti hili umebaini kuwa,katika kuficha uhusiano wake huo na mchumba wake huyo(Josephine Mshumbusi) kwenye orodha ya wasafiri ambayo mwandishi wa habari hii ameiona,Slaa akiwa namba 70,mchumba wake huyo amejitambulisha kama mke wa Aminiel Mahimbo na sii mchumba wa Slaa.

Chanzo:Africa Leo toleo no 72.

....................Yohana 8:1- 11 Hata asubuhi kulipokucha akaingia hekaluni watu wote wakamwendea anaye akaketi akawa akiwafundisha ... wakamletea mwanamke aliyefumaniwa katika uzinzi wakamweka katikati... wakamwambia mwalimu mwanamke huyu amefumaniwa alipokuwa akizini.... YESU akainama akaandika kwa kidole chake chini .... akawaambia YEYE ASIYE NA DHAMBI MIONGONI MWENU ..... AWE WA KWANZA KUMTUPIA JIWE .... Nao waliposikia wakashitakiwa na nadhiri zao wakatoka mmoja mmoja... walikimbia wote kuanzia wadogo hadi wazee.....akabaki YESU peke yake na yule mwanamke ........ina maana kwamba huyo askofu ni binadamu na mtenda dhambi na mleta uzi huu naye afahamu kwamba hakuna asiye na dhambi bali tunaokolewa kwa neema na tuache kuhukumiana....Mungu ndiye mwenye kuhukumu....................

Mtabwabwaja sana lakini ukweli utabaki pale pale ya kwamba Dr Slaa ndo chaguo la Mungu kuiongoza Tanzania.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Mawazo mgando tatizo lako wewe unatazama mambo kwa jicho moja kama "fundi saa"
 
Hilo andiko ndio kimbilio la wazinzi wengi
 
Kwanya nikusii tu, si vyema kwa hadhi yako kuja kutukana watu usiowajua humu jukwaani, hata bwana hao Dr Slaa akiwa ana jibu hoja uepuka sana matumizi ya matusi. Jirekebishe.

Jambo lingine, umesema mwenyewe, kwamba 'tusicharge ', iweje wewe na bwana ako Dr Slaa muende Israel mkairoge CCM kwa maana kuwa isisimame tena? huo sio uchawi? Dr Slaa ameshindwa njia za kawaida ameamua atumie uchwai?

Jirekebishe wewe.
Kutwa Kukaa ukiwasema watu.huna kazi.
 
....................Yohana 8:1- 11 Hata asubuhi kulipokucha akaingia hekaluni watu wote wakamwendea anaye akaketi akawa akiwafundisha ... wakamletea mwanamke aliyefumaniwa katika uzinzi wakamweka katikati... wakamwambia mwalimu mwanamke huyu amefumaniwa alipokuwa akizini.... YESU akainama akaandika kwa kidole chake chini .... akawaambia YEYE ASIYE NA DHAMBI MIONGONI MWENU ..... AWE WA KWANZA KUMTUPIA JIWE .... Nao waliposikia wakashitakiwa na nadhiri zao wakatoka mmoja mmoja... walikimbia wote kuanzia wadogo hadi wazee.....akabaki YESU peke yake na yule mwanamke ........ina maana kwamba huyo askofu ni binadamu na mtenda dhambi na mleta uzi huu naye afahamu kwamba hakuna asiye na dhambi bali tunaokolewa kwa neema na tuache kuhukumiana....Mungu ndiye mwenye kuhukumu....................

Acha kutumia biblical verses vibaya hii ndio kimbilio la wazinzi Kama Babu Mzee wa totooos. Usiingize mambo ya ushetano na Mungu
 
Jirekebishe wewe.
Kutwa Kukaa ukiwasema watu.huna kazi.

Sina kazi? unadhani mimi ndio kama wewe mtegemea fedha za ruzuku kutoka CHADEMA? jiulize bila Dr Slaa ungekuwa kwenye mazingira gani wewe, wanawake wenzako wanasema wanaweza kwa kujifanyia shughuli zao kama ujasiriamali, wewe kazi kudandia waume za watu ili upate mkate!!!
 
Mtabwabwaja sana lakini ukweli utabaki pale pale ya kwamba Dr Slaa ndo chaguo la Mungu kuiongoza Tanzania.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Ingia Skype sasa hivi...
 
Sina kazi? unadhani mimi ndio kama wewe mtegemea fedha za ruzuku kutoka CHADEMA? jiuleze bila Dr Slaa ungekuwa kwenye mazingira gani wewe, wanawake wenzako wanasema wanaweza kwa kujifanyia shughuli zao kama ujasiriamali, wewe kazi kudandia waume za watu ili upate mkate!!!

Ushauri mzuri sana.
 
What!mmmm who is that fake pst.

Kipofu asiyeona wala kusikia.
Aanze kujihukumu mwenyewe kabla hajahukumu wengine.

Enyi wajinga na wafinyu wa akili ni nani mwenye jeuri ys kumnyooshea mwenzake kidole kuwa yu mdhambi.
Hamjui hata kumuwaxia mwenzio mabaya ni dhambi.

Let me tell you,mtaendelea kushika bango hilo na mwisho Mungu atawahukumu ninyi.
Wapumbavu ni watu wasiotumia hata chembe ya akili kufikiri.nani aliwaambia ndoa lazima ifungwr kanisani.

Tena sasa nawapa siri.safari ya Israel maombi yalioyofanyika huko CCM will never be the same.
Never it will stand again.
Yani we demu sijui una roho gani.
Yani huna huruma kwa wanawake wenzio lol!
Yani mchana kweupeeeeee unaenda chukua mume wa mtu,mpaka kukujaza mimba na sasa mwenye mali anateseka kulea watoto.
Ama kweli ukistaajabu ya musa utayaona ya Josephine na Dr.W.Slaa
 
Last edited by a moderator:
mkuu, hata kama mambo yake binafsi lakini sis kama watanzania tuna haki ya kuhoji uadilifu wake. huyu ni rais mtarajiwa hivyo itakuwa ni aibu kubwa kwa tanzania kuongozwa na rais mzinifu. anakwibakwiba tu wake za watu. shiiiit

Mbona hata hao viongozi walioko madarakani wana nyumba ndogo kibao na bado wanashiriki makanisani na msikitini na mbele ya uma wa watanzania wanajihita wasafi? Hata Yesu alisema Nenda dhambi zako zimesamehewa husitende dhambi tena. Kila mtu ajichunguze nafsi yake.
 
What!mmmm who is that fake pst.

Kipofu asiyeona wala kusikia.
Aanze kujihukumu mwenyewe kabla hajahukumu wengine.

Enyi wajinga na wafinyu wa akili ni nani mwenye jeuri ys kumnyooshea mwenzake kidole kuwa yu mdhambi.
Hamjui hata kumuwaxia mwenzio mabaya ni dhambi.

Let me tell you,mtaendelea kushika bango hilo na mwisho Mungu atawahukumu ninyi.
Wapumbavu ni watu wasiotumia hata chembe ya akili kufikiri.nani aliwaambia ndoa lazima ifungwr kanisani.

Tena sasa nawapa siri.safari ya Israel maombi yalioyofanyika huko CCM will never be the same.
Never it will stand again.

Please mama,wenye akili wanaelewa nini hasa nia ya hao wanaoleta maneno haya. Sisi tunafahamu ni uji.nga tuu ndio unawasumbua na wewe wasamehe na usipoteza muda wako kujibu thread za aina hii. Hao waachie makamanda humu JF wanawamudu. Elewa kujibishana na mtu ambaye hana la kufanya zaidi ya kushinda mtandaoni kutwa kucha ili alipwe elfu 7 ni kujichosha tuu.
 
Nimeamini ni kweli kama mtu akiwa padre ama mchungaji then akijakuasi yale mapepo aliyokuwa akiyakemea ibadani humrudi kwa nguvu na mengi mala saba zaidi.

ndicho kinachompata mzee wetu huyu.

we ungekua unajijua,usinge ongea lolote kuhusu hili we subili kuchimbuliwa tu na mwigulu na utaishi kwa tabu sana muda wa huyo mwenzio kuwepo madarakani ukiisha... nyama we....
 
halafu hawa wachungaji wengine ndio alio waimba kala jeremia...hawaeleweki kila baada ya maneno mawili anatamka toa sadaka sasa panamchungaji hapo......
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom