Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 20,718
- 45,125
Alikua anaijua PGO?Afande Rashid wa kituo cha polisi Mpwapwa, amepoteza maisha baada ya timu yake ya Yanga kuifunga Simba jana kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii.
Afande alishikwa na furaha iliyopitiliza hali iliyosababisha kukutwa na mauti huko Mpwapwa, Dodoma!
Poleni sana wafiwa, kwa kupoteza mpendwa wenu, hizi timu inabidi tuzipende kwa kiasi!
View attachment 1953513
Askari wa Simon siro alipatwa na kitu ambacho kitaalamu tunakiita Takotsubo syndrome.Afande Rashid wa kituo cha polisi Mpwapwa, amepoteza maisha baada ya timu yake ya Yanga kuifunga Simba jana kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii.
Afande alishikwa na furaha iliyopitiliza hali iliyosababisha kukutwa na mauti huko Mpwapwa, Dodoma!
Poleni sana wafiwa, kwa kupoteza mpendwa wenu, hizi timu inabidi tuzipende kwa kiasi!
View attachment 1953513
Isome takotsubo syndromeMbona taarifa kama inaficha baadhi ya mambo.
Yani mtu afurahi kisha ndio amefariki? Alikuwa mgonjwa au baada ya kufurahia akapiga tungi na mambo mengine?
Naona kama sijaelewa hii taarifa.
😂😂Alikua anaijua PGO?
Kuandika...wasamehe..au inawezekana ni umbeya tu..Mbona taarifa kama inaficha baadhi ya mambo.
Yani mtu afurahi kisha ndio amefariki? Alikuwa mgonjwa au baada ya kufurahia akapiga tungi na mambo mengine?
Naona kama sijaelewa hii taarifa.
Kha!kha!,Sasa idadi ya mashabiki si itapungua Mkuu?!!!.Tushinde zaidi ili wadondoke makarao wengi zaidi.