TFF na Bodi ya ligi zipumnzisheni Simba na Yanga baada ya mchezo Kama mnavyozipa muda wa kujiandaa kabla ya Derby

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,288
12,783
TFF na Bodi ya ligi mkishakusanya pesa zenu za mapato mkatia kibindoni Basi hamuangalii/hamfikilii ni namna gani wachezaji wamevuja jasho katika mchezo mgumu wa Derby ya kariakoo.

Kabla ya mchezo wa Derby TFF na Bodi ya ligi huwa mnatoa muda mwingi wachezaji wakusanye nguvu lakini Derby ikiisha mnaendelea na ratiba yenu ya siku 3.

Huu NI upuuzi/ujuha Kama mmeamua ratiba ifuatwe Basi msiwape muda wa kupumnzika/kujiandaa kabla ya mechi Kama mnavyofanya baada ya mechi.

Nawasilisha hoja.
 
Bongo kuna ujinga mwingi kwenye soka letu, kupumzika maana yake nini, tunalia lia sana.
Ulaya unakuta arsenal anakipiga week hii na man city, j5 anacheza uefa tena huenda na timu ngumu, na wikiend anakuwa na gemu nyingine
Kama wanafanya hivyo wafanye moja kwa moja siyo kabla ya gemu mnawapa muda mwingi wachezaji wa kujiandaa halafu gemu ikiisha mikausho mikali.
 
Bora ww una akili...yani kisa Yanga kapangiwa leo mikelele wakati Simba anacheza kesho...na jmos anacheza....nimependa sana generalisation yako kwny hizi timu mbili
Acha ujinga wewe jumamosi anacheza mechi Gani? Kucheza ni mpaka trh 25 uwe unafatilia mambo sio kukurupuka tu
 
Bora ww una akili...yani kisa Yanga kapangiwa leo mikelele wakati Simba anacheza kesho na jmos anacheza nimependa sana generalisation yako kwny hizi timu mbili
Mkuu ile tarehe 5 ulisema utarudi mida ya saa 1 usiku jukwaani, hukutokea tena mkuu?

Mzima lakini?
 
Back
Top Bottom