comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 8,226
- 5,949
- Thread starter
- #81
wanasema wanajitolea hahahahahhAhahahahahahahahah! Imenikumbusha wakati wa kupiga kura! Mawakala wa Chadema hawapewagi chai wala chakula kuanzia saa kumi na mbili aaubuhi wanaripoti hadi saa moja usiku wakati wa kugoa matangazo! Halafu wanakuja mitandaoni eti wameibiwa kura! PUMBAVU!!!