Francis fares Maro
JF-Expert Member
- Jun 20, 2021
- 1,227
- 1,339
Umesikia jaji anasemaje kuhusu case hii kupelekwa mbio/haraka?!!...Unajua chama kina wanasheria/mawakili kila wilaya na mkoa?!!..Au unachofikiria wewe ndio hicho hicho!!!..Sio suala dogo.
Moja ya chanzo ya kupasuka kwa chama ukiacha Magufuli crack down ni hili la malalamiko ya rank and file class of the party of being grossly neglected.
Makada wa chama wamejaa kwenye majela across the country hawana msaada, Mbowe ana mawakili 20, anaeongea mahakamanin mmoja!
Kwa nini msiwaambie hao mawakili wengine nendeni Mwandiga Kigoma huko tuna ma kesi pia. Why not ?