Asante Mh. Jaji Siyami kwa kuwaumbua CHADEMA; wanampa Mbowe tu maji na kuwanyima walinzi wake huku wakiwa wamejazana mahakamani

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,222
5,946
Kibatala: Mh. Jaji ni hayo tu, sina swali lingine.

Jaji: Ahsante, kila siku naona mtuhumiwa mmoja tu ndiyo anakunywa maji, mmewapa wengine? Wapeni Maji wanywe, Askari Magereza Myakague ni haya tunayokunywa wote.

Jaji: Mawakili wa Serikali kuna lolote kwa ajili ya Re: examination?
 
Kwa hiyo wameweka k vant?.. au ni suala upendeleo kwa mtu mmoja.

Ktk hii kesi mengi tutasikia...
 
Chadema wanakamilisha ule msemo unaosema "kila mchuma janga hula na wa kwao" Hao wanaompa maji Mbowe wengi ni wanafamilia wake, sasa hao wenzangu na mimi waliorubuniwa na zile laki 6 jasho litawatoka. Ndio maana huku mtaani anaezungumziwa ni yeye tu sio wao.
 
Kwa hiyo nayo ni ishu ya maana? CHILDISH KABISA

Sio suala dogo.

Moja ya chanzo ya kupasuka kwa chama ukiacha Magufuli crack down ni hili la malalamiko ya rank and file class of the party being grossly neglected.

Makada wa chama wamejaa kwenye majela across the country hawana msaada, Mbowe ana mawakili 20, anaeongea mahakamanin mmoja!

Kwa nini msiwaambie hao mawakili wengine nendeni Mwandiga Kigoma huko tuna ma kesi pia. Why not ?
 
Sio suala dogo.

Moja ya chanzo ya kupasuka kwa chama ukiacha Magufuli crack down ni hili la malalamiko ya rank and file class of the party of being grossly neglected.

Makada wa chama wamejaa kwenye majela across the country hawana msaada, Mbowe ana mawakili 20, anaeongea mahakamanin mmoja!

Kwa nini msiwaambie hao mawakili wengine nendeni Mwandiga Kigoma huko tuna ma kesi pia. Why not ?

Hoja ya msingi sana.

Pengine ni bendera fata upepo.

Hata kwenye kesi hii wanozungumziwa sana ni hao wenzangu na mimi
Bosssss haguswi
 
Kibatala: Mh. Jaji ni hayo tu, sina swali lingine

Jaji: Ahsante, kila siku naona mtuhumiwa mmoja tu ndiyo anakunywa maji, mmewapa wengine? wapeni Maji wanywe,Askari Magereza Myakague ni haya tunayokunywa wote

Jaji: Mawakili wa Serikali kuna lolote kwa ajili ya Re: examination?
Kumbe ni kweli mtu ukiwa CCM Kichwa kunajaa makamasi tu
JamiiForums313878302.jpg
 
Wee acha ujinga! Jukumu la kuwapa maji mahabusu ni la askari magereza
Nyinyi jukumu lenu ni lipi? Kama ni askari magereza mbona hajaandamana kudai haki hiyo nyie wapenda haki? Mbona mawakili wasomi hawajatoka na kususia kesi kama walivyofanya mlipozuiwa kuingia mahakamani? ACHENI UNAFIKI MUNGU ANAWAONA.
 
Back
Top Bottom