Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,792
- 43,403
IF YOU CAN USE THIS ENERGY TO YOUR LIFE, THEN YOU CAN NOT BEGGING FOR FOOD.Mbona wewe hujalala mrembo?
IF YOU CAN USE THIS ENERGY TO YOUR LIFE, THEN YOU CAN NOT BEGGING FOR FOOD.Mbona wewe hujalala mrembo?
Aces pazuri???Pazur ila bei za vinywaji zimechangamka sana
Very kawaida mdogo wanguNimeona kawaida tu
Pisi kali labda anahis zinapaka GIFT OF ZANZIBARUmesema huwezi kutoa elfu 50 kwa demu eti mwisho elfu 12, sasa utawezaje kumiliki Pisi kali kwa elfu 12
Kwanza hujui Pisi kali lazima iwe inanukia unyunyu, unajua bei ya unyunyu mzuri ni 75,000 hadi 350,000 huko sasa kwa elfu 12 yako unataka huyo Pisi kali yako ipake Samli sio 🤪
Akale nyama chomaNishakwambia nenda morombo
Mbona una mdomo chalii kwenye mikoa ya watu??
Yaani wwe una pesa ya kula na kulala uswazi alafu utaki uswazi!? Yaani unataka kula na kulala uzunguni,!? Ishii kwa urefu wa kamba yako hutopata shida!!Uko sio uswax
Kama sio Wa Arusha ni kawaida muzee wale ni wao kwa waoHellow
Nimekuja zangu arusha kufanya kazi nimekuja na ka hubair wangu na pesa za kuunga unga natafuta gest ya 7000 nimekosa nimepata ya 30k nikakubali natafuta chakula kuanzia 2000 nakutana na bei ajabu yaani jaamaa yangu chakula 4000 nimenunua sijashiba tangu jana nakula si shibi nitarudi dar nimekonda dar kule maokoto mengi sna
Una kitu utafika mbaliTafuta pesa kaka..
Ila zinaa inaondoa baraka
Sema vijana hamna pesa ila Arusha sio mji wenye gharama kubwa za maisha.Huo ni mji wa kitalii Mkuu
Ila ungeulizia bodaboda angekupeleka machimbo ya Wali nyama buku jero
Huo mji hata mwenyewe nikija lazima niwe na Bajeti yakutosha.
You?IF YOU CAN USE THIS ENERGY TO YOUR LIFE, THEN YOU CAN NOT BEGGING FOR FOOD.
Wanavyosema watu... kwa umri na hadhi yangu siwezi kwenda paleAces pazuri???
🤣🤣 nyie nyieeee!!!
Chakula chao kizuri, ila pazuri ni private room tu.
Kule club dah 😀 hapana kwa kweli
Ahahhah ngoja nirud😂😂 umekurupuka kwenda mji wa watu ona Sasa fedheha iliyokupata huko.
Rudi tu kwenu Dar penye maokoto makubwa makubwa
Hela imekuwa haishikiki kwa vijana wengi, hapo hadi wafike miaka 45 huko ndiyo wanaweza kuwa financially stableSema vijana hamna pesa ila Arusha sio mji wenye gharama kubwa za maisha.
Nimekula nimekunywq nimeinjoy sana sikuwa na kampan tu nikaondokaa mapemaVery kawaida mdogo wangu
Asikudanganye
Ambayo usipokuwa makini unaweza kupata mafua ukiwa una mu-hug 🤪🏃🏃🏃Pisi kali labda anahis zinapaka GIFT OF ZANZIBAR
Mkuu pesa sio shida zangu mieHela imekuwa haishikiki kwa vijana wengi, hapo hadi wafike miaka 45 huko ndiyo wanaweza kuwa financially stable
Ila kwasasa lazima walalamike kukosa guest house za elfu 10 kumi hapo Arusha
Ndiyo ujue hali ya umasikini wa kipato imekuwa kubwa kiasi gani baina ya Watanzania.Inasikitisha sana kuna watu wakipewa hata kipande cha mkate hutukana kila mtu