Arusha shikamoooni, nimekutana na bei ajabu

Arusha shikamoooni, nimekutana na bei ajabu

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,913
Reaction score
67,435
Hellow

Nimekuja zangu Arusha kufanya kazi nimekuja na ka hubair wangu na pesa za kuunga unga natafuta gest ya 7,000 nimekosa nimepata ya 30k nikakubali, natafuta chakula kuanzia 2,000 nakutana na bei ajabu yaani jaamaa yangu chakula 4000 nimenunua sijashiba tangu jana nakula sishibi nitarudi Dar nimekonda, Dar kule maokoto mengi sina.
 
Hellow

Nimekuja zangu arusha kufanya kazi nimekuja na ka hubair wangu na pesa za kuunga unga natafuta gest ya 7000 nimekosa nimepata ya 30k nikakubali natafuta chakula kuanzia 2000 nakutana na bei ajabu yaani jaamaa yangu chakula 4000 nimenunua sijashiba tangu jana nakula si shibi nitarudi dar nimekonda dar kule maokoto mengi sna
Hujazunguka vizuri kutafuta mkuu
 
Huo ni mji wa kitalii Mkuu

Ila ungeulizia bodaboda angekupeleka machimbo ya Wali nyama buku jero

Huo mji hata mwenyewe nikija lazima niwe na Bajeti yakutosha.
 
Back
Top Bottom