Arusha shikamoooni, nimekutana na bei ajabu

Arusha shikamoooni, nimekutana na bei ajabu

Ongea na watu MKuu buku Tano chuga town unakula ugali na kitimoto safi kabisa,na unashushia na balimi ya moto,tatizo miji ya watu mnajifanya mnajua
 
Nenda hata pale Palsons hotel kwa askofu mjini kati kuna vyumba vya 20 kwa 25 na pako poa tu,ukizunguka mtaa wa nyuma ipo misosi ya bei rahisi tu
 
Hahaha..............dogo itakuwa anafanya kazi ya kulipwa elfu 7 kwa siku, kitambo nilimwambia aje huku tulime akazingua

Sasa tangu lini Arusha kukawa na Lodge ya elfu 7 🤪
Inasikitisha sana kuna watu wakipewa hata kipande cha mkate hutukana kila mtu
 
Hellow

Nimekuja zangu arusha kufanya kazi nimekuja na ka hubair wangu na pesa za kuunga unga natafuta gest ya 7000 nimekosa nimepata ya 30k nikakubali natafuta chakula kuanzia 2000 nakutana na bei ajabu yaani jaamaa yangu chakula 4000 nimenunua sijashiba tangu jana nakula si shibi nitarudi dar nimekonda dar kule maokoto mengi sna
Arusha tamu sana jioni nenda zako ukale maisha the hub, Aces au Kipong... Enjoy
 
Hellow

Nimekuja zangu arusha kufanya kazi nimekuja na ka hubair wangu na pesa za kuunga unga natafuta gest ya 7000 nimekosa nimepata ya 30k nikakubali natafuta chakula kuanzia 2000 nakutana na bei ajabu yaani jaamaa yangu chakula 4000 nimenunua sijashiba tangu jana nakula si shibi nitarudi dar nimekonda dar kule maokoto mengi sna
Umenikumbusha ormatejoo...
 
Back
Top Bottom