Arusha shikamoooni, nimekutana na bei ajabu

Hellow

Nimekuja zangu arusha kufanya kazi nimekuja na ka hubair wangu na pesa za kuunga unga natafuta gest ya 7000 nimekosa nimepata ya 30k nikakubali natafuta chakula kuanzia 2000 nakutana na bei ajabu yaani jaamaa yangu chakula 4000 nimenunua sijashiba tangu jana nakula si shibi nitarudi dar nimekonda dar kule maokoto mengi sna
Nenda Unga LTD Kuna gest za 15000 quality ya Kati, chakula Bei poa

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Ahahahah ww mzee tulia uko kwako nina pis kali
Umesema huwezi kutoa elfu 50 kwa demu eti mwisho elfu 12, sasa utawezaje kumiliki Pisi kali kwa elfu 12

Kwanza hujui Pisi kali lazima iwe inanukia unyunyu, unajua bei ya unyunyu mzuri ni 75,000 hadi 350,000 huko sasa kwa elfu 12 yako unataka huyo Pisi kali yako ipake Samli sio 🤪
 
Ahahahah ninyi watunze ss tutawala kimasihara
 
Hellow

Nimekuja zangu arusha kufanya kazi nimekuja na ka hubair wangu na pesa za kuunga unga natafuta gest ya 7000 nimekosa nimepata ya 30k nikakubali natafuta chakula kuanzia 2000 nakutana na bei ajabu yaani jaamaa yangu chakula 4000 nimenunua sijashiba tangu jana nakula si shibi nitarudi dar nimekonda dar kule maokoto mengi sna
Khaaa!..Gesti ya 7000?ndio zilizopo Dar nini?sasa hio si unakutana na mbung'o kitandani?🤣🤣
 
Back
Top Bottom