Arusha shikamoooni, nimekutana na bei ajabu

Arusha shikamoooni, nimekutana na bei ajabu

Hellow

Nimekuja zangu Arusha kufanya kazi nimekuja na ka hubair wangu na pesa za kuunga unga natafuta gest ya 7,000 nimekosa nimepata ya 30k nikakubali, natafuta chakula kuanzia 2,000 nakutana na bei ajabu yaani jaamaa yangu chakula 4000 nimenunua sijashiba tangu jana nakula sishibi nitarudi Dar nimekonda, Dar kule maokoto mengi sina.
Mwaka juzi nilifika Arusha usiku,tafuta sana guest zimejaa,nikabahatisha hapo karibu na uwanja wa sheikh Amri Abeid guest mbovu kinoma choo na bafu vipo nje...mashuka yananuka.Asubuhi natafuta supu kuuliza bei 4,000/=.Mchana nakaondoka zangu kuelekea boda ya Holili Rombo.Pale Holili kuna supu ya kuku wa kienyeji imenda shule sana.Bila kiwasahau wachoma nyama hapo Himo bar ya Mombasa.
 
Hujayajua machimbo hata Dar ukienda postal na masaki utakula Cha 20000 na hutashiba
 
Hellow

Nimekuja zangu Arusha kufanya kazi nimekuja na ka hubair wangu na pesa za kuunga unga natafuta gest ya 7,000 nimekosa nimepata ya 30k nikakubali, natafuta chakula kuanzia 2,000 nakutana na bei ajabu yaani jaamaa yangu chakula 4000 nimenunua sijashiba tangu jana nakula sishibi nitarudi Dar nimekonda, Dar kule maokoto mengi sina.
Uliza tuliopo tukupe maokoto ya ki ara chuga msosi mkali 1,500 2,000 iyo 4,000 nahc biriani guest mpka za 15 zipo hadi 10
 
Back
Top Bottom