monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,887
- 13,644
Noma sana!
Hakuna landmark?Nenda Stend ndogo ya mabasi, ukiwa unatokea mjini Kabla haujaifikia Stend ndogo(ukiwa unaiona Mbele yako) kuna barabara ya lami inakunja kushoto, kisha utatembea Mita thelasini, utakatisha mkono wa Julia(bado barabara niza lami). Utatembea Mita arobaini tena, utakata kushoto. Hapo utakuta Guest.
Wine gani nzuri ndugu? Nataka kuanza kutumia kileviUngekuwa upo vizuri mfukoni ilikuwa unapiga simu jikoni wanakuandalia Makange yako ya Kuku mzima, elfu 28 tu unapiga na ugali wako safi kabisa.
Then unashushia na Wine yako huku unasoma kitabu chako cha Novel🍷
zipo sehemu za chini huko matejoo ngarenalo na ze like..Hellow
Nimekuja zangu Arusha kufanya kazi nimekuja na ka hubair wangu na pesa za kuunga unga natafuta gest ya 7,000 nimekosa nimepata ya 30k nikakubali, natafuta chakula kuanzia 2,000 nakutana na bei ajabu yaani jaamaa yangu chakula 4000 nimenunua sijashiba tangu jana nakula sishibi nitarudi Dar nimekonda Dar kule maokoto mengi sina.
Watu wenyewe mnajidaizipo sehemu za chini huko matejoo ngarenalo na ze like..
salimia watu!
Inategemea unataka soft wine au zile kali kwaajili ya kulewa.Wine gani nzuri ndugu? Nataka kuanza kutumia kilevi
Niwekee mapendekezo hapa ndugu (soft & zenye kilevi), huko supermarket watanipiga tu. Nitauziwa zile ambazo hazina soko, hahaaInategemea unataka soft wine au zile kali kwaajili ya kulewa.
Kwa kuanza upate soft ambazo ukienda supermarket utaulizia kulingana na mfuko wako.
Jaribu Altar Wine, Dodoma wine, Imagi sweet wine au Dame Wine.Niwekee mapendekezo hapa ndugu (soft & zenye kilevi), huko supermarket watanipiga tu. Nitauziwa zile ambazo hazina soko, hahaa
Tafuta mume akihudumie kwa malazi na chakula.Hellow
Nimekuja zangu Arusha kufanya kazi nimekuja na ka hubair wangu na pesa za kuunga unga natafuta gest ya 7,000 nimekosa nimepata ya 30k nikakubali, natafuta chakula kuanzia 2,000 nakutana na bei ajabu yaani jaamaa yangu chakula 4000 nimenunua sijashiba tangu jana nakula sishibi nitarudi Dar nimekonda, Dar kule maokoto mengi sina.
Dah nitake radhiTafuta mume akihudumie kwa malazi na chakula.
Sawa kakaMnaongopa,Arusha haipo kama mnavyosema sehemu za bei rahisi kuliko hata mbagala dar zipo... mahali popote ili uokoe gharama ni lazima uwe na wenyeji wanaojua mitaaa.
sio unapata mwenyeji wa Arusha mitaa anayoijua yeye ni njiro na sakina... Nenda ndani huko ukutane na guest hadi za 10k per day (muhimu usingizi)
Acha luxury life ukijijua huna maisha mfukoni, una 50k halafu unatafuta lodge za wenye nazo?
ishi kwa passcode zako utaishi popote.
Arusha ya wapi hiyo, Arusha kuna chakula mpaka cha 1500, vyumba single zipo mpaka za 10,000, self ziko nyingi 15,000 tena mjini tu mitaa ya makao mapya karibu tu na stand kuu. We hata hujafika Arusha. Chakula pale stand ndogo bei 2,000 tu tena wali nyama au ugali nyama. Arusha ni wewe tu, ukijichanganya utaliwa.Hellow
Nimekuja zangu Arusha kufanya kazi nimekuja na ka hubair wangu na pesa za kuunga unga natafuta gest ya 7,000 nimekosa nimepata ya 30k nikakubali, natafuta chakula kuanzia 2,000 nakutana na bei ajabu yaani jaamaa yangu chakula 4000 nimenunua sijashiba tangu jana nakula sishibi nitarudi Dar nimekonda, Dar kule maokoto mengi sina.
Nishakwambia nenda Morombo
Mbona una mdomo chalii kwenye mikoa ya watu??
Nipo tengeru kwenye mishe zangu ,nipo hapa bar ya road kabisa nakula mbuzi choma, inaitwa Sumni barHellow