Naughty by nature
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 2,118
- 2,365
Exactly,ya 15k inakuwa haina mfumo wa heater, ya 20k afadhalicAcha upotoshaji. Ars unapata Lodge nzuri kwa 15k hadi 25k. Za kuanzia 20k zina breakfast. Msosi ni bei rahisi. Ninachoona pia umepigika sana kama unalia kula msosi wa 4k