Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,599
- Thread starter
- #141
Haahahha Dah.Kama sio Wa Arusha ni kawaida muzee wale ni wao kwa wao
Haahahha Dah.Kama sio Wa Arusha ni kawaida muzee wale ni wao kwa wao
Kwako najua sio shida, kwa ile pisikali ulionionesha lazima uko vizuri kiuchumi vinginevyo angekukimbia 🤪Mkuu pesa sio shida zangu mie
Sawa babuYaani wwe una pesa ya kula na kulala uswazi alafu utaki uswazi!? Yaani unataka kula na kulala uzunguni,!? Ishii kwa urefu wa kamba yako hutopata shida!!
Ahahahah ana nilea mimi Mario 🤣Kwako najua sio shida, kwa ile pisikali ulionionesha lazima uko vizuri kiuchumi vinginevyo angekukimbia 🤪
Basi mshikilie akupe mtaji ufanye biashara zako, ili siku nyingine akikutoa out wa dinner bill ikija una mwambia Mama ...babe don't worry I will pay it all 🤪Ahahahah ana nilea mimi Mario 🤣
Uongo nioneshe wapiSema ulijifanya mjuaji..arusha hadi msosi wa buku upo
Basi mshikilie akupe mtaji ufanye biashara zako, ili siku nyingine akikutoa out wa dinner bill ikija una mwambia Mama ...babe don't worry I will pay it all 🤪
Ushasema uongo,ya nini nijichoshe sasa kukuonyesha?Uongo nioneshe wapi
Wakiume hasusi bhnaUshasema uongo,ya nini nijichoshe sasa kukuonyesha?
Wanasema mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe, hakikisha nguvu hizo unazo plus leseni ya mahaba kutoka Tanga unaimiliki.Ahahahah kabisa mkuu namshikilia vzr wew acha tu
Sawa babu naongezea ujuzi toka MtwaraWanasema mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe, hakikisha nguvu hizo unazo plus leseni ya mahaba kutoka Tanga unaimiliki.
Ni hayo tu mjukuu wangu 🥂
Waulize viti maalum na waliopo siasani na wale wenye nafasi zao maofisini na biashara kubwa na ndogo kama watakuhakikishia kuwa ilibidi waikwepe na kuikimbia kabisa zinaa ili wafike hapo walipo.Hivi ni kweli zinaa inaondoa baraka?
Hellow
Nimekuja zangu Arusha kufanya kazi nimekuja na ka hubair wangu na pesa za kuunga unga natafuta gest ya 7,000 nimekosa nimepata ya 30k nikakubali, natafuta chakula kuanzia 2,000 nakutana na bei ajabu yaani jaamaa yangu chakula 4000 nimenunua sijashiba tangu jana nakula sishibi nitarudi Dar nimekonda Dar kule maokoto mengi sina.
Nipe connection wiki 12k weweUmepigwa.
Arusha Mjini Mita chache Kutoka Stend yaani Nusu kilometre unapata Guest nzuri ya elfu 15.
Chumba kimenyooka,
Kitanda na godoro cha kisasa.
Bafu na Choo ndani Kwa ndani. Maji ya baridi na Moto kwenye bomba la Mvua.
Guest Ipo ndani ya uzio.
Mashuka yamenyooka ingawaje natumiaga mashuka yangu.
Hakuna Harufu na kuna Airfresh unaweza kuutumia ukihitaji.
Ukikaa wiki nzima unalipia 12,000/=
Nikifikaga Arusha hiyo Guest nimeifanya yangu.
OMG... why waikimbie wakati wengi walihonga nyuchi ili wapate vyeo? Hiyo si zinaa? Hoja yako ina hang!Waulize viti maalum na waliopo siasani na wale wenye nafasi zao maofisini na biashara kubwa na ndogo kama watakuhakikishia kuwa ilibidi waikwepe na kuikimbia kabisa zinaa ili wafike hapo walipo.
😅😅😅 angalia usivunje ndoa zetu sasa maana hapo utakuwa umefuzu kupitilizaSawa babu naongezea ujuzi toka Mtwara
🤣🤣🤣Alikuwa anatafuta gest yenye kunguni,si angekesha pale matakori baa🤣Ndo Arusha hiyo mzee😂
Watu wa Dar mnadharau sana mikoani
Utapauka hutoamini
Nipe connection wiki 12k wewe