Nasikia mambo yote yalikuwa yanaenda sawa, hadi hapo alipoingia Manywele(EL) kwenye UKUMBI HUO WA mANISPAA, NDIPO HALI YA HEWA IKABADILIKA, na tangu wakati huo ni kimya kabisa!Huu mziki mi naona wanaukosea stepu kabisaa, nale Lema akiingia mkenge ataumia, tena asicheze na hasira za watu waliochoka!
Jafar you have a very strong point ..kama anakata kuishi asicheze na feelings za watu/kura za wanachi watamuua imagine toka usiku watu hawajalala na afanye huo ujinga he will dieThat can't be - Arusha sio sawa na mikoa mingine Lema kufanya hivyo anauza "uhai" wake - serioulsy.
Mungu apishie mbali!
I mean whats the big deal? Musoma mjini wametangaza fasta..hapo Arusha mjini kuna nini au umbali gani? au wapiga kura wengi kiasi cha kushindwa 'kujumlisha'?
Hatutakubali nchi iwe mikononi mwa mafisadi tena.
mbona tunampa promo sana lowassa? what is wrong with you people
its like bila yeye hakuna arusha