Elections 2010 Arusha Mjini: Hali si shwari

Naomba kuuliza lowassa na batilida wakoje? Analeta mambo ya uhawara kwenye kura? Kama anamhurumia huyo mama ampe jimbo lake sisi ndo tumempa lema huyo mama arudi pema akalime karafuu.
 
NEC waliambiwa kuwa watakao leta fujo ni Chama tawala walikubaliana matokeo yawekwe kwenye ubao kila baada ya kuhesabu kura na ukifanya majumuisho unakuta wapinzani wameshinda sasa msimamizi wa uchaguzi anashindwa kutangaza kwa sababu ya viongozi wa juu. na hili CCM lazima wajutie na watambue kuwa hata CCM wenzao hawakipigia CCM esp wabunge.

Damu ikimwagika Kikwete utakuwa responsible for the death of those who will die for there rights

Kwanini Jimbo la Musoma walilitangaza mapema kwasababu ni kwa mtoto wa Mwalimu au????
 
... in his humble opinion, black people are less intelligent than the White people.
( the Nobel Laureate, Dr James Watson, 2007)
:tape:
 
imposible. Arusha itanuka damu. Mungu aepushie mbali lkn thats how it is.. Huyu malaya akubali tu. Sipati picha lema angeshindwa halafu akatae labda angekuwa sero sasa.

Chifu unakosea sasa kutukana mama za watu.

Tetesi zangu mimi nilizopata ni kwamba Batilda kashinda Arusha mjini. I hope cooler heads will prevail jamani, we don't wanna see violence hapo jijini. Besides, Arusha ndio jiji la bata, mkianza kupigana tena mnakuwa mnapoteza ladha ya A-town/
 
so far as navyojua Jeshi lina watu,sio roborts..wale ni ndugu zetu tu..beside wanakuja kutalii mjini!..:nono:
 
Mi nadhani wanarusha waendelee kudai mtu wao vyovyote iwavyo...watoto wao watawakumbuka...
 
Je kuna fujo ?
So nani haswa kashinda ?
Nini chanzo cha fujo ?

Anavyosema wanaCCM wako ofice za wilaya wakingojea matokeo pia . yeye anaongelea office za manispaa arusha amabako mbali kidogo na hapo wanachedema wana ngojea majibu kwa haraka haraka anasema kutokana na matokeo yaliyo tangazwa hapo awali na yaliyo bandikwa CHADEMA imeshinda karibia kata 12 TLP 2 na CCM 4, na cha ajabu alicho niambia kuwa aliye kuwa M/kiti wa CCM wilaya ya Arusha Mjini Mzee Kileo kapoteza udiwana na nafasi hiyo imechukuliwa na kijana mdogo tu.

Sasa hapo ndipo CCM watajifunza kujua alama za nyakati waliwapuuzia sana hawa wapinzani wala mie sijutii kwa CCM kushindwa watu wamefika mahali wanataka mabadiriko kwanini wasikubali.

Jamaaa kani sms kuwa EL yuko hapo Arusha town na fununu kwambali atai mbowe alikuwa yuko njiani kuelekea Arusha nae

Swala la fujo jamaa hajasema kama lipo

 
Chadema sasa rasmi imetwaa jimbo la Arusha...............Hili halina ubishi.........Katangazwa rasmi......
 
Chifu unakosea sasa kutukana mama za watu.

Tetesi zangu mimi nilizopata ni kwamba Batilda kashinda Arusha mjini. I hope cooler heads will prevail jamani, we don't wanna see violence hapo jijini. Besides, Arusha ndio jiji la bata, mkianza kupigana tena mnakuwa mnapoteza ladha ya A-town/

Kweli kabisa... Matokeo lazima yaheshimiwe... CCM wasichakachue matokeo,,,
 
So wanaenda kupambana au??

Navyo elewa mie huwa huenda eneo la tukio kuwatishia raia tuuu hakuna kingine

Wajua CCM did see this issue coming wamefungua macho tu ghafla chaliiiiii ndio wakastuka khaaa kumbe imetokea??
 
Back
Top Bottom