Arusha halisi ilivyo na watu wake

Arusha halisi ilivyo na watu wake

Sasa wewe rafiki hv ni utoto au ushamba?piga picha na nyumba unayoishi bila kudanganya uweke hapa,sasa maeneo ya wanume wengine we unakazana kupakua tu kwenye mtandao unaleta hapa?huu ubishi wa Dar Ar na Mza siuingili tena,kumbe kuna watoto
Angalia usitapike nyongo!
 
Arusha bhana raha uizunguke na uijue ukipita tu bara bara kuu hamna kitu ,ingia huko ndani sasa dah unaweza zimia,Arusha ni mkoa ambao vijana wadogo wanamaisha kitu ambacho kinamuactivate kijana mwingine kupambana,sehemu nyingi Arusha nimefika but huwezi linganisha na sehemu yoyote yaan unaweza ingia porini ukakuta na investment za hatari mfano Dolly estate dah dah dah kile ni kijiji kingine maana nature imehifadhiwa kama ilivyo kisha kukawekwa tu maisha ya wanadamu ,na u appreciate sana mji wa Arusha. Kero ya Arusha ni maisha tu yako juu sana yaani kuingiza laki kwa siku kawaida na kuimaliza kwa siku kawaida tena sio kwa matumiz ya anasa ni hela unaingia nayo sokoni inaisha ,nyumba nzima kuna sehemu unapanga kwa laki moja Arusha nyumba zinapangishwa mpaka interms of dollers na uswahilini unapata nyumba nzima room tatu tu kwa laki 2 na nusu .
Arusha ni sehemu pekee wazazi ni lazima kuwatafutia watoto elimu na maisha yaani mtoto anasomeshwa na kama mzazi ni masikini basi anampa mtoto kiwanja anamwambia jenga ,kama wazazi wanakipato kidogo mtoto anakabidhiwa nyumba na mashamba aendeshe maisha yake maana ni mwiko MAJOGOO MAWILI KUKAA NYUMBA MOJA,huwezi vaa kitaulo chako kwenye nyumba ya baba it looks funny but ndio sababu maendeleo yapo sio kama mikoa mingine mtoto upate kwa shida zako mwenyewe na ukipata ujengee wazazi kisha ndio wewe ujenge kwako(si lalamiki kuhudumia wazazi msinielewe vibaya nawapenda sana wazazi ila naiangalia kwenye fact ya maisha ya sasa ,kujenga nyumba ni ngumu sasa fikilia unatakiwa ujenge nyumba mbili yaani ya wazazi wako na ya kwako hapo hakuna ya biashara hata moja,kwanini umasikini usiendelee),Arusha kila utakachofanya ni pesa hata kulima we lima Arusha muda wote soko liko mazao hayawezi ozea shambani yaani utapata shida ya bei tu ila si kukosa pa kuuza na ukiwekeza zaidi mfamo kujenga green house hali ya hewa ya Arusha ni nzuri mno ndio maana world best flowers companies ziko kwenye ardhi ya Arusha,nadhani wa mikoa mingine tujifunze toka kila mkoa kama Arusha upande wa utafutaji wa maisha .God bless TANZANIA
 
Half London au Whole London.................................................

Drone+July+5.jpg


Mount Kilimanjaro is Dopee the pitch is between Mt. Kilaimanjaro and Mt. Meru.


_B6A8253.jpg

_B6A8253.jpg


_B6A4407.jpg


Kiligolf-97.jpg
Nice place hiv mmiliki ni serikali eeeeeee?
 
Ninyi ni watumwa tu huko arusha, mifupa imemtoka kama ana ngoma.
Macho bangi tupu.
Poleni sana ninyi misukule ya huko kijijini arusha.
Mnatakiwa mjikomboe sasa
Hivi unamjua Huyo jamaa au unaropoka tu!! Ushawahi kufika njeree bistro pale usa river/leganga ukanywa hata maji?
 
Hii ndio Hotel ambayo kila mtu inamuacha hoi.....

Ngurdoto Mountain Lodge ...........

ngurdoto-mountain-lodge-back.jpg


ngurdotomountainlodge1.jpg


ngurdoto-mountain-lodge2.jpg



The-Ngurdoto-Mountain-Lodge-Tanzania.jpg


ngurdoto-lodge-12.jpg


50270209.jpg


ngurdotomountainlodge5.jpg
 
Bila kasahau ndipo ulipo wilaya ambapo shule zote za kata zimegeuzwa kuwa boding schools badala ya day kama maeneo mengi ya nchi yalivyo. Ni wilaya ya MONDULI shule zote za sekondari ni za kulala. Nilishangaa siku nilipopata taarifa hizi!! Wanakula chakula kutoka wapi, nani anawafadhili mi cjui, ufaulu ndyo ovyo.
 
Alafu kuna vichaa wanasema Arusha imependelewa na CCM eti kwa kupewa mawaziri wakuu wengi ambao walipendelea Arusha
Inatakiwa itoe rais sio mawazili wakuu wakuteuliwa ..mkoa wa Mara mbona wapo kimya wakati ndio waliotoa rais ...baba wataifa hili ...acheni masifa yasiokuwa na mbele wala nyuma ...Serengeti iko mkoa wa Mara sio arusha ...kuna ziwa Victoria .,..samaki wazuri,sato.sangara ..dagaa wazuri utawakuta kila kona ya nchi hii
 
Hatutaki ligi soma uelewe...amesema zipo ndani ama karibu na mji wa arusha sasa Serengeti inaangukia upande wa karibu na mji wa arusha
"Teh! teh! teh! teh! teh! wengine tupo kubisha kila kitu hata hatuelewi.........ila asante kwa kutuelewesha"
 
Back
Top Bottom