Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
All in all Arusha can't stand with these two cities....Dar and Mwanza
Nabii fake hakuwa mzaliwa wa ArushaArusha ndo sehemu pekee alipotokea nabii fake hadi mh Mkuu wa kaya alienda kunywa kikombe cha babu
Hatutaki ligi soma uelewe...amesema zipo ndani ama karibu na mji wa arusha sasa Serengeti inaangukia upande wa karibu na mji wa arusha
83 😂😂😂 asee sahii kuna kijoto cha kutoshaHizi data zako za mwaka gani?