Atajua mwenyewe!Huko aliko unaweza kukuta shuka limejaa jasho kwa hasira hahahahahaha..
Zaidi!Naskia raha sana kuzaliwa na kukua Arusha ,ngoja tupambane kidogo miaka kumi ijayo kuwe kama Kigali
Kausha utaua watu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!mbona hata sijaanza....