chipolopolo 2
JF-Expert Member
- Nov 10, 2014
- 3,292
- 1,841
Alafu barabara is east Africa inapita arusha so panazid kukuwa kishenz kama kule kwa mrombooo ni shidah. Arusha pk yake ndo unapata mbuz og sio mikoa mingine watu wanauziwa had mbwa.
Kwa hili mkuu huna DATAjengo gani hili? inaonekana kama magari yanapandishwa juu kwa lift! FYI hii ni first automated and sophisticated car park
![]()
Njiro bado kuna viwanja?Me natafta tafta tu uku Dar mambo yakikaa Njema nikajenge kinyumba changi Njiro moja!!
Hahaha vya kurithi mkuu..Njiro bado kuna viwanja?
Inatakiwa itoe rais sio mawazili wakuu wakuteuliwa ..mkoa wa Mara mbona wapo kimya wakati ndio waliotoa rais ...baba wataifa hili ...acheni masifa yasiokuwa na mbele wala nyuma ...Serengeti iko mkoa wa Mara sio arusha ...kuna ziwa Victoria .,..samaki wazuri,sato.sangara ..dagaa wazuri utawakuta kila kona ya nchi hii
Njiro bado kuna viwanja?
Moshi iliendelea hata kabla ya UhuruWewe jamaa kuna wenzako wanasema maendeleo ya Arusha na Moshi ni kwasababu ya mawaziri wakuu wa asili ya huku ndio walipendelea.. Hatuna sababu yoyote ya kujisifia na viongozi wa kisiasa
Barabara ya rombo imefunguliwa na jk mwaka Jana...kibosho hakuna Barbara...huru kishmundu,mawella...mabogini,njoro ,majengo,soweto ,oldmoshi,hakuna barabara za lamiMoshi iliendelea hata kabla ya Uhuru
Ni sehemu pekee iliyokuwa na lami kijijini mpaka mlangoni pia simu pia maji ya heater na masterbedroom kijijini kwa kila kaya.
Nakumbuka ile mikoa ya THE BIG four haikuwa inajisifia...Hizi mada za kuisifia arusha sijui zina lengo gani.
Ninyi vijana wa arusha hao wakenya wamewalemaza mawazo huko kijijini kwenu arusha mnaanza kuwaiga tabia zao za kibaguzi.
Hivi nikuulize mleta uzi hiyo mada itawasaidia nini watanzania wa mikoa mingine.
Mkumbuke kwamba mnavyozidi kujitekenya humu JF na kisha mnacheka wenyewe mjue watanzania wenye uelewa wanazidi kuwadharau.
Kuna msemo unaosema kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza huko kujitembeza kwenu mitandaoni kuisifia arusha ni kama mnautafutia bwana mkoa wa arusha.
Tulieni watu watakuja huko arusha na watawasifia hapa JF.
Nitarudi badae
Huu unaitwa MkurupukoWee ni muongo sana ,unasifia kwenu mpaka unapitiliza na vya wenzenu unafanya vya kwenu hapo namba 4 umeitaja mbuga ya serengeti kwamba ipo Arusha ni uongo, Serengeti haipo Arusha, Serengeti ipo mkoa wa Mara,sema tu watalii wengi hupenda kuanzia safari ya kwenda huko kwa kutokea Arusha.
,amesema zipo ndani/karibu na Arusha.Barabara ya rombo imefunguliwa na jk mwaka Jana...kibosho hakuna Barbara...huru kishmundu,mawella...mabogini,njoro ,majengo,soweto ,oldmoshi,hakuna barabara za lami
Kwa hiyo hii Ndo best street in Arusha haha my gosh
hahahahaaa aise ni ngumu kumuelimisha mtu ambaye hata sehemu yenyewe hajafika alafu anarapu with no facts, sijui ni nani anwalipa...Hahahahahaha mwangalieni huyu mjinga... Rombo Barabara ilijengwa tangia wakati wa Mkapa.. Kibosho barabara imejengwa zamani wewe unasema hakuna barabara??
Rombo hiyo...Barabara ya rombo imefunguliwa na jk mwaka Jana...kibosho hakuna Barbara...huru kishmundu,mawella...mabogini,njoro ,majengo,soweto ,oldmoshi,hakuna barabara za lami
Tuendelee kuwachoma mpaka wapasukee... Kwao Ileje vumbi tupu lazima wachukie haya.. hahahahhahahahahaaa aise ni ngumu kumuelimisha mtu ambaye hata sehemu yenyewe hajafika alafu anarapu with no facts, sijui ni nani anwalipa...