Dangote the advocate
Senior Member
- Sep 21, 2014
- 136
- 154
Mbona hujaongelea kuwa arusha inaongoza kwa vijana wanaovuta bangi na ujambazi
Hata hapo ni noma sana asee yan kwa future ya tz hio mikoa ya Kilimanjaro na Arusha naiona itakuja kuwa masupa jiji ya kuenjoy na kula bata kinyama.Mkuu USA mbali...Mimi nataka kiushi Tengeru huku kwenye Estate za Kahawa...
Baba tusake fuba mapema...
Kaya ni kawaida sana jamaika wanalikonga ila hata kiuchumi tunakalishwa mbali. Ile kitu ni kama sport tuu sema inategemea na medula yako tuu.Mbona hujaongelea kuwa arusha inaongoza kwa vijana wanaovuta bangi na ujambazi
Huo ni ushamba tu, hamna lolote ninyi vijana wa arusha zaidi ya ushamba, ubaguzi na kujiona ninyi ni bora kuliko wengine.Kwani katiba inakataza mtu kujivunia kwake??
Hamjitambui ninyi.We baki huko huko wala usirudi..
Arusha baby...
Kuna thread ilianzishwa hivi karibuni ikizingumzia kuwa mwanza ndio jiji pekee linalowez kuleta balance of power dhidi ya dsm na watu wa mwanza walisifia mkoa wao na kuiondea arusha sana..nashangaa sikukuona ukicoment ila umeanzishwa uzi wa kuisifia arusha tayar umekuja..teh teh tehHuo ni ushamba tu, hamna lolote ninyi vijana wa arusha zaidi ya ushamba, ubaguzi na kujiona ninyi ni bora kuliko wengine.
Hivi kila mkoa ukianza huo upumbavu wenu itakuaje hapa TZ.
Mkoa wenyewe wa kawaida halafu mnajipamba kama mnautafutia mume mkoa wa arusha.
Tunachopinga hapo kwenye hizi mada kuna chembe za ubaguzi, ukanda na ukabila.
Badilikeni ninyi msiwe kama mmedumaa akili huko arusha.
Ni jambo zuri kuzungumzia Tanzania kama nchi ila sio kama huo ushamba wa kuzungumzia mkoa mmoja kwa hoja zisizo na maana yeyote kwa watanzania.
Mmeshamaliza kutengana wenyewe kwa wenyewe huko arusha kati ya watu wa karatu, monduli, loliondo, longido n. k mnataka kuleta huo ubaguzi nchi nzima, hatuwezi kuwavumilia.
Tutaendelea kuzivuruga hizi mada zisilete maana yeyote.
Badilikeni ninyi vijana wa arusha.
Tanzania kwanza.
Wewe hapa unafanyaje km sio kuisifia dar sasa kuna tatizo gani watu wakiisifia arushaDar es salaam Tanzania
Jitekenye cheka mwenyewe, ila lazima huo ujinga mtaacha tu.Kuna thread ilianzishwa hivi karibuni ikizingumzia kuwa mwanza ndio jiji pekee linalowez kuleta balance of power dhidi ya dsm na watu wa mwanza walisifia mkoa wao na kuiondea arusha sana..nashangaa sikukuona ukicoment ila umeanzishwa uzi wa kuisifia arusha tayar umekuja..teh teh teh
Huo ni ushamba tu, hamna lolote ninyi vijana wa arusha zaidi ya ushamba, ubaguzi na kujiona ninyi ni bora kuliko wengine.
Hivi kila mkoa ukianza huo upumbavu wenu itakuaje hapa TZ.
Mkoa wenyewe wa kawaida halafu mnajipamba kama mnautafutia mume mkoa wa arusha.
Tunachopinga hapo kwenye hizi mada kuna chembe za ubaguzi, ukanda na ukabila.
Badilikeni ninyi msiwe kama mmedumaa akili huko arusha.
Ni jambo zuri kuzungumzia Tanzania kama nchi ila sio kama huo ushamba wa kuzungumzia mkoa mmoja kwa hoja zisizo na maana yeyote kwa watanzania.
Mmeshamaliza kutengana wenyewe kwa wenyewe huko arusha kati ya watu wa karatu, monduli, loliondo, longido n. k mnataka kuleta huo ubaguzi nchi nzima, hatuwezi kuwavumilia.
Tutaendelea kuzivuruga hizi mada zisilete maana yeyote.
Badilikeni ninyi vijana wa arusha.
Tanzania kwanza.
Inategemea. Hayo makampuni sio makubwa, kuna Wanaume wa Mlima Kama Zara...
Sio wote wanaoenda kupanda mlima wanafikia KIA na kupada mlima, wapo wengi wanaofikia na na kuanzia safari za Arusha na
wapo wengi tu, wanaanzia safari za mlimani wakitokea Arusha na sio watalii tu hata maporter na ma guide wanaoenda nao wapo machalii kibao wanatoka Arusha na kwenda kupandisha watalii mlimani .
Mkuu kwani umelazimishwa kufungua huu uzi...?? Si upite pembeni...Hamjitambui ninyi.
Huo ubaguzi mtakuja kuchinjana huko na hayo masime mliyoweka kwenye viuno.
Mkuu kwani umelazimishwa kufungua huu uzi...?? Si upite pembeni...
Sawa boss, nimekusomaTonachoongea hapa ni vitu tofauti.. Mtalii anaweza kupanda Mlima bila hata kuigusa Arusha lakini watalii wote wa Serengeti 95% wanapita Arusha..
Arusha streets ....
Mkuu hizi ni za wapi? PPF au? maana ni kali na Arusha sijakanyaga kitambo
![]()
![]()
Arusha streets ....
![]()
![]()