Arusha halisi ilivyo na watu wake

Arusha halisi ilivyo na watu wake

images


15524800818_ab817fe64d_b.jpg


SAM_2810.jpg


images
 
kuhusu no 6. kwamba arusha haijawahi kuwa Na upungufu wa dawati hats moja, navyojua madawati Ni tatizo nchi nzima

hit Ni habari ya 19 June 2016

MKOA wa Arusha, umefanikiwa kupata madawati 22, 756 na bado una upungufu wa madawati 2577 ili kukamilisha madawati 24,373 ambayo yanahitajika kwa ajili ya shule za msingi za mkoa ambazo hazina madawati.
Hayo yameelezwa jana na Katibu tawala wa mkoa wa Arusha, Richard Kwitega, wakati wa kuwatunuku vyeti vya madaraja matatu tofauti ya wadau waliochangia madawati kwa kutambua mchango wao katika kuboresha elimu kwenye hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa ofisi ya mkuu wa mkoa..
Kwitega, ambae ametunuku vyeti hivyo kwa niaba ya mkuu wa mkoa, Daud Felix Ntibenda, amesema mkoa huo una jumla ya wanafunzi 285,844 kuanzi darasa la kwanza hadi la saba mwaka 2016, na mahitaji ya Madawati ni 119,765, yaliyokuwepo ni 95,394 .
Amewapongeza fanyabiashara kwa moyo wao huo na lengo ni kuhakikisha ifikapo julai mosi hakuna mwanafunzi anae kaa chini
Akikabidhi hati hizo kulingana na mchango uliotolewa na kampuni,Kwitega, amesema serikali inatambua na kuthamini moyo wao wa uzalendo wa kujitolea sehemu ya mapato yao kuchangia madawati kwenye shule za msingi mkoa wa Arusha.
Vyeti hivyo ni vya Fedha, Shaba na Dhahabu, ambapo waliochangia madawati 1 hadi 10,ambao ni 20,wametunukiwa hati a Fedha, waliochangia madawati 11 hadi 19 ,ambao ni 15 wametunukiwa hati za shaba na waliochangia madawati kuanzia 101, na kuendelea ambao ni 5 wametunukiwa hati za dhahabu.
Akizungumza kwenye hafla hiyo mkuu wa mkoa wa Arusha,Daud Felix Ntibenda, amewaomba wafanyabiashara hao kuendelea kuchangia madawati 2577 yanayohitajika ili kukamilisha mahitaji ya mkoa ambayo ni 24,337.
Amesema katika kuhakikisha zoezi hilo linafanikiwa ameunda timu ya wataalamu kwendalaya zote na shule zote ili kujiridhisha kama madawati yanatosheleza au bado kuna upungufu.
Ntibenda, amesema Juni 18 ,2016, anaanzisha zoezi la kupita kwenye maduka makubwa na viwanda kwa ajili ya kukusanya madawati yaliyopungua.
Amesema wapo baadhi ya wafanya biashara wakubwa hawajaitikia wito huo hivyo kutumia utaratibu huo wa kuwapitia wataweza kuchangia madawati.
Ntibenda, amesema Julai mosi mwaka huu anaenda kuwsilisha taarifa ya madawati kwa Rais, hivyo hayuko tayari kufukuzwa vkazi kwa kushindwa kufikia malengo ya madawati katika mkoa wakati wapo watu wenye uwezo hawajatoa michango yao.
Ameongeza kuwa ameshakutana na watumishi wa serikali waliopo chini ya ofisi ya Katibu tawala wa mkoa ili nao kila mmoja achangie dawati moja kwa kuwa nao wana watoto waliopo shuleni na tayari amechangia madawati 692.
 
Wewe hapa unafanyaje km sio kuisifia dar sasa kuna tatizo gani watu wakiisifia arusha
Dar es salaam haina ukanda na ni moyo wa tanzania.
Hivi hamjiulizi kwanini mwalimu nyerere alianzisha azimio la arusha? sababu moja wapo alishawasoma akili zenu zilivyokaa kibaguzi.
 
Wee ni muongo sana ,unasifia kwenu mpaka unapitiliza na vya wenzenu unafanya vya kwenu hapo namba 4 umeitaja mbuga ya serengeti kwamba ipo Arusha ni uongo, Serengeti haipo Arusha, Serengeti ipo mkoa wa Mara,sema tu watalii wengi hupenda kuanzia safari ya kwenda huko kwa kutokea Arusha.
Unapinga huku unakubali kiaina
 
Hamna lolote ninyi ubaguzi unawasumbua huko kijijini arusha mnataka msambaze nchi nzima.
Lazima tuwapige vita.
Acheni huo ushamba
Ngoja 2020 tukwoneshe na moshi tutawaacha mbali sana. Chukua wivu uhamishie kwenye maendeleo ya mkoa wako ohoo
 
Si kwamba wewe ndio una chuki binafsi na Arusha?? Majuzi hapa zilianzisha nyuzi mbili za Mwanza zikisifia huko mbona haukutokea kukemea??
Mwanza hawana ujinga kama huu wa kuanzisha story kama hizi mara nyingi hapa JF, nafikiri ninyi hamjiamini na mji wenu hadi mnaanza kuupodoa na viuzi vya ajabu kwa maneno mengi humu na vipicha vya ajabu huko arusha.
Na hata arusha yenyewe hamuijui vizur
 
Back
Top Bottom