Kama mimi nilivyokupuuzaInabidi nikupuuze tu.
Kama mimi nilivyokupuuzaInabidi nikupuuze tu.
Kwa uzi huu Mazee umenibamba aisee.kama kila mtanzania angejivunia tanzania yetu kama huyu jamaa, kama kila mTanzania angejivunia bidhaa za Tanzania kama huyu jamaa leo tungekuwa mbali sana. TUONDOKANE na ULIMBUKEN wa kudhani vya wengine ndio Vizuri
Hata mt Kilimanjaro kuwa karibu sio hoja azungumze yaliyo ndani kwake ya jirani yanamuhusu niniSoma vizuri acha kukurupuka kama umefumaniwa.
Kili Estate...... KiliGolf one among best 100 golf course in planet wengine wanaweza wasinielewe......
![]()
![]()
![]()
![]()
Naam,Safari nyingi sana za utalii kanda ya kaskazini na maeneo mengine zinaanzia Arusha,hata kwenda kupanda mlima kilimanjaro safari nyingi zinaanzia Arusha ilihali mlima uko kilimanjaro,kama ulivyosema Arusha ni lango kuu la mambo ya utalii.Wengi wanajua hivyo kwakuwa hata mtalii wa ndani akitaka kwenda huko lazima facilities zote za kutalii kule azilipie na aanzie safari yake Arusha.. Ila Serengeti iko Mara lakini gateway ya kufika huko ni Arusha..
Kama mimi nilivyokupuuza
Tengeru kule ni kama Ulaya aisee...juzi nilikwenda tengeru nikajionea ujenzi wa barabara kwa kweli nilifurahi sana nashindwa hata nielezee vipi......
Naam,Safari nyingi sana za utalii kanda ya kaskazini na maeneo mengine zinaanzia Arusha,hata kwenda kupanda mlima kilimanjaro safari nyingi zinaanzia Arusha ilihali mlima uko kilimanjaro,kama ulivyosema Arusha ni lango kuu la mambo ya utalii.
Daah.. .Tijivunie Arusha Yetu...Hii ni eastern and southern african management institute (ESAMI) ndani ya arusha!View attachment 361526View attachment 361527View attachment 361528
Naona umefuta post yako uliyosema wapanda mlima wote lazima wapite Arusha... Si kweli, kampuni zinazoongoza kupandisha watalii Mlima ni Akhaste Tours na Keys Safaris ambazo makao makuu yake ni Moshi.. Mtalii anashuka KIA anaenda Moshi moja kwa moja
We baki huko huko wala usirudi..Hizi mada za kuisifia arusha sijui zina lengo gani.
Ninyi vijana wa arusha hao wakenya wamewalemaza mawazo huko kijijini kwenu arusha mnaanza kuwaiga tabia zao za kibaguzi.
Hivi nikuulize mleta uzi hiyo mada itawasaidia nini watanzania wa mikoa mingine.
Mkumbuke kwamba mnavyozidi kujitekenya humu JF na kisha mnacheka wenyewe mjue watanzania wenye uelewa wanazidi kuwadharau.
Kuna msemo unaosema kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza huko kujitembeza kwenu mitandaoni kuisifia arusha ni kama mnautafutia bwana mkoa wa arusha.
Tulieni watu watakuja huko arusha na watawasifia hapa JF.
Nitarudi badae
wapo wengi tu, wanaanzia safari za mlimani wakitokea Arusha na sio watalii tu hata maporter na ma guide wanaoenda nao wapo machalii kibao wanatoka Arusha na kwenda kupandisha watalii mlimani .Si kweli kuhusu Mt. Kilimanjaro.. Mtalii anayepitia Arusha labda ni yule tu ambaye anaenda pia Mbugani... Ila anayekuja direct kupanda mlima anafikia KIA na kwenda Moshi direct.. Tours company ambazo zinapandisha sana watu mlimani ziko Moshi Mjini
Ngoja nisake hela nikachukue kiamba pale USA kabla havijaisha mkuj mana hio kasi watu waliyonayo ni hatariTengeru kule ni kama Ulaya aisee...
Mkuu USA mbali...Mimi nataka kiushi Tengeru huku kwenye Estate za Kahawa...Ngoja nisake hela nikachukue kiamba pale USA kabla havijaisha mkuj mana hio kasi watu waliyonayo ni hatari