4 lane dual carriageway kuanzia Sakina mpaka Tengeru, alafu Tengeru mpaka USA barabara itapanuliwa na kuwekewa service road, then USA mpaka Holili barabara itakarabatiwa na kuongezwa upana kidogo.. Na wakimaliza 4 lane road watajenga bypass pale Arusha... Itakuwa ni balaa tupu.. Hii project ikiisha Moshi-Arusha itakuwa ni nusu saa tu..Nishapita mara kadhaa, sema sasa hivi sio kuishi kama nilivyokua naishi miaka ile, kwa sasa tangu 2014 sijakanyaga nasikia kuna highway inajengwa kuanzia Sakina hadi Tengeru.
4 lane dual carriageway kuanzia Sakina mpaka Tengeru, alafu Tengeru mpaka USA barabara itapanuliwa na kuwekewa service road, then USA mpaka Holili barabara itakarabatiwa na kuongezwa upana kidogo.. Na wakimaliza 4 lane road watajenga bypass pale Arusha... Itakuwa ni balaa tupu.. Hii project ikiisha Moshi-Arusha itakuwa ni nusu saa tu..
![]()
Wazee wa chuga a. k. a wazee wa chura.Wazeee wa chuga wapo vizuri kwenye kuutangaza mji wao. Mada imekaa kama mnakejeliana ila inafundisha vingi kuhusu Tanzania
Arusha ni mji ambao watu wake wanaishi kwa hisani ya wazungu.Man watoe wapi hizi shule za Arusha tu. hahahahaaaa
St. Constantine International School
View attachment 361722
![]()
![]()
hahahahahahaha Mafinga na Ileje kuna shule kama hizo jamani???![]()
![]()
![]()
Mnaweza kudhani hiyo ni Hotel ya kitalii kumbe ni shule ya St. Constantine International Burka hapo ndio tulipofikia mabilioneea wa Arusha
2020 Chugga na Moshi zitakuwa zimekwisha unganika kuwa Jiji Moja... Wait and See...Man hii kitu inaendea kulipua Chugga.
Man hii bus nilikua naisakanya mbaya kabisa alafu huwezi amini ni automatic wanazo mbili American School Bus wengine wanazionaga kwenye movie tu..hahahahahahaha Mafinga na Ileje kuna shule kama hizo jamani???
Alafu kupanda hili basi kwenda nalo shuleni ni mpaka mzazi awe amelipa 25 M + Ada tu.. Ileje shule ghali sana ada laki 3 hahahahahaha...
![]()
Hapana Mkuu,hakika Arusha kuna mademu wazuri tena wengi sana,kuhusu meno hiyo haina shida,kama una pesa ni rahisi kusaficha hayo meno siku hizi coz technology sasa hivi iko mbali.Na watu wa Arusha wana meno flan hivi yanatisha, unaweza kukuta bonge la demu lakini akicheka tu unamuona kama vampaya
Kitu Auto hicho... Huko Ileje kilichowashtua ni hicho Kibao cha M-pesa.. La sivyo unamwambia hapo New York na habishi hahahahahahaMan hii bus nilikua naisakanya mbaya kabisa alafu huwezi amini ni automatic wanazo mbili American School Bus wengine wanazionaga kwenye movie tu..
hahahaaahaaa huwa najiuliza huo ujasiri wa kuiunderestimate Arusha wanautoa wapi nakosa jibu.2020 Chugga na Moshi zitakuwa zimekwisha unganika kuwa Jiji Moja... Wait and See...
Yaani unakuwa na uwezo wa kukaa pale Shanty Town na ukawa unafanya kazi Arusha... It will be just half an hour to 1 hr drive from Moshi to Arusha... Wazee wa Kichagga waliokuwa wanabana mji wa Moshi kupanuka kwa kutouza Ardhi wengi wanapungua kwa umri na wanaachia urithi damu changa ambayo inataka mabadiliko... North Empire imeamka na inakimbia speed... Wacha watu wa Ifunda walie kwa gadhabu hahahaha
hahahaaahaaa huwa najiuliza huo ujasiri wa kuiunderestimate Arusha wanautoa wapi nakosa jibu.