Arusha: Askari Polisi apigwa kama Mbwa koko

Arusha Ungalimited Maeneo ya Soko Mjinga alikuja Polisi akakamata vijana wawili akawafunga Pingu, akaanza kwenda nao kituoni sasa cha ajabu njiani akaanza kuwapiga na fimbo kichwani mmoja damu zikaanza kumvuja.

Basi Vijana hao walimkamata polisi kama unavyoona kwenye video, wakamtembezea kichapo Mpaka akawafungulia Pingu, wananchi hakuna hata mmoja alieamulia walikuwa wanashangilia tu, baada ya Polisi kuwafungulia Pingu Vijana hao akachukuwa boda akakimbia.

Kuangalia VIZURI video hii utaona Pingu mikononi, Unaambiwa Polisi alipigwa roba Matata amejachafua sana Hali ya HEWA.

Wananchi wamechoka manyanyaso ya kijinga.
View attachment 3668742
Chuga wapole namna hii? Wangemtia kiberiti kabisa huyu njangu.
 
Askari anaendaje Ungaleloo kipuuzi hivyo? Hata kule Matejoo wakiendaga ni kikundi na wakifika kwenye sehemu ya gongo wanaingia kwa mkwara wa hatari. Ila huyu naona kaenda kishamba eneo hatari kama hilo.
Wanaona Wananchi wamekua mafala sana baada ya kuwapiga risasi wanavyotaka kuanzia October 29 na kuendelea sasa wanaona wote watakua wanawaogopa anaweza kwenda hata polisi mmoja tu akawavalisha pingu na wakavaa kwa uoga sababu wanaogopa kupigwa risasi
 
Arusha Ungalimited Maeneo ya Soko Mjinga alikuja Polisi akakamata vijana wawili akawafunga Pingu, akaanza kwenda nao kituoni sasa cha ajabu njiani akaanza kuwapiga na fimbo kichwani mmoja damu zikaanza kumvuja.

Basi Vijana hao walimkamata polisi kama unavyoona kwenye video, wakamtembezea kichapo Mpaka akawafungulia Pingu, wananchi hakuna hata mmoja alieamulia walikuwa wanashangilia tu, baada ya Polisi kuwafungulia Pingu Vijana hao akachukuwa boda akakimbia.

Kuangalia VIZURI video hii utaona Pingu mikononi, Unaambiwa Polisi alipigwa roba Matata amejachafua sana Hali ya HEWA.

Wananchi wamechoka manyanyaso ya kijinga.
View attachment 3668742
ok.🐒
 
POLISI CCM APIGWE TU HAKUNA NAMNA
Roba Kali sana
20250904_153541.jpg
 
Arusha Ungalimited Maeneo ya Soko Mjinga alikuja Polisi akakamata vijana wawili akawafunga Pingu, akaanza kwenda nao kituoni sasa cha ajabu njiani akaanza kuwapiga na fimbo kichwani mmoja damu zikaanza kumvuja.

Basi Vijana hao walimkamata polisi kama unavyoona kwenye video, wakamtembezea kichapo Mpaka akawafungulia Pingu, wananchi hakuna hata mmoja alieamulia walikuwa wanashangilia tu, baada ya Polisi kuwafungulia Pingu Vijana hao akachukuwa boda akakimbia.

Kuangalia VIZURI video hii utaona Pingu mikononi, Unaambiwa Polisi alipigwa roba Matata amejachafua sana Hali ya HEWA.

Wananchi wamechoka manyanyaso ya kijinga.
View attachment 3668742
Raia wakiwa wamefungwa pingu mikononi wanampiga na kumdhibiti Polisi, lakini Polisi kumpiga raia hadi wabebe magongo, bunduki, wamfunge oingu, kamba, na vitambaa usoni na wamfungie kwenye Karakana zao ndiyo wamoige na kumtesa halafu wanajiita na wenyewe ni Askari na kujiona wakakamavu. Sasa hao raia wajiuteje?

Naingea haya kuwakumbusha akari kwamba wao ni law enforcers tu, watimize wajibu wao kwa mujibu wa Sheria na taratibu. Mafunzo ya ukakamavu wanayopewa huko mafunzoni kwao n kwa ajili ya utimamu wa mwili na akili tu, siyo kwa ajili ya kuwafanya wajione labda wao ni noma au ni wababe sana au kwamba wanajua kupigana sana.
Askari hata awe dhaifu vipi mradi yupo kwenye majukumu yake halali anapaswa kuheshimiwa, maana afanyacho si utashi wake bali ni wajibu wake kisheria. So wasijibebee ujiko kwa kutaka kujifanya ni utashi wao na watafanya watakavyo no matter what says the law.

Wananchi wakiamua kuwa challenge askari, hizo uniforms zitakuwa hazivaliki na hata doria wataishia kuzipiga ndani ya kita za Polisi tu.

Huduma ya Polisi ni muhimu, jitahidini kujitambua, mtakuwa mmetutendea haki sana, lakini kwa namna mfanyavyo mnatudhurumu sana, mara Polisi wameua, mara wameteka, mara wakamata watu wakawaf!r@. Huu ni ungese kabisa.

Kimsingi hakuna anayependa Polisi wa nchi yake adharirike, tunapenda kupitia utendaji wenu muwe taswira ya nchi yetu.
 
Au ni mgambo!? Hao polisi wajinga Huwa wanakatazwa kwenda kukamata mtu akiwa peke yake.
 
Back
Top Bottom