Doria Mtandaoni
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 407
- 848
Huko hakuna come back.. unakumbuka yule aliyeuliwa picnic.. wakifanya lolote, watasumbuana sana hizo pande. Wayamalize tu maisha yaendelee.Subiri come back..asilie mtu
Huko hakuna come back.. unakumbuka yule aliyeuliwa picnic.. wakifanya lolote, watasumbuana sana hizo pande. Wayamalize tu maisha yaendelee.Subiri come back..asilie mtu
Nenda umwambie mama yako atume kikosi kikawateke hao jamaaAskari anaendaje Ungaleloo kipuuzi hivyo? Hata kule Matejoo wakiendaga ni kikundi na wakifika kwenye sehemu ya gongo wanaingia kwa mkwara wa hatari. Ila huyu naona kaenda kishamba eneo hatari kama hilo.
Subiri come back..asilie mtu
NDIO mitaa nilio anzia maisha chuga hahahaaaaaAskari anaendaje Ungaleloo kipuuzi hivyo? Hata kule Matejoo wakiendaga ni kikundi na wakifika kwenye sehemu ya gongo wanaingia kwa mkwara wa hatari. Ila huyu naona kaenda kishamba eneo hatari kama hilo.
Picnic loungeHuko hakuna come back.. unakumbuka yule aliyeuliwa picnic.. wakifanya lolote, watasumbuana sana hizo pande. Wayamalize tu maisha yaendelee.
Anaechukua video sasa, hatulii.Arusha Ungalimited Maeneo ya Soko Mjinga alikuja Polisi akakamata vijana wawili akawafunga Pingu, akaanza kwenda nao kituoni sasa cha ajabu njiani akaanza kuwapiga na fimbo kichwani mmoja damu zikaanza kumvuja.
Basi Vijana hao walimkamata polisi kama unavyoona kwenye video, wakamtembezea kichapo Mpaka akawafungulia Pingu, wananchi hakuna hata mmoja alieamulia walikuwa wanashangilia tu, baada ya Polisi kuwafungulia Pingu Vijana hao akachukuwa boda akakimbia.
Kuangalia VIZURI video hii utaona Pingu mikononi, Unaambiwa Polisi alipigwa roba Matata amejachafua sana Hali ya HEWA.
Wananchi wamechoka manyanyaso ya kijinga.
View attachment 3668742
Inategemea,mambo fulani fulani yakizidi nchi si zinakuwa kama Mexico au Haiti...Kaka huwezi shindana na serikali, wakiamua lao unadondoka chap tu,
Tuendako watu watanza miliki silaha hapo itakua hatari hakuna atakae kua salamaInategemea,mambo fulani fulani yakizidi nchi si zinakuwa kama Mexico au Haiti...
Ova
Hao machali watasakwa sasa 😄Naona ameguswa tu huyo ,ilitakiwa apigwe mpaka achakae.
Duh tukifikia huko si hakutakalika 😄Tuendako watu watanza miliki silaha hapo itakua hatari hakuna atakae kua salama
Yeah ,kwa usalama wao inabidi watembee na wanasheria wao muda wote ili wakikamatwa wasiende kuteswa kwa kuvunjwa miguu.Hao machali watasakwa sasa 😄
Ova