peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 17,411
- 29,504
SawaHuko hakuna come back.. unakumbuka yule aliyeuliwa picnic.. wakifanya lolote, watasumbuana sana hizo pande. Wayamalize tu maisha yaendelee.
SawaKulia mtu kuhusu nini? Acheni upuuzi wa kuonea raia.
Watu wameshavurugwa.
Wapigwe tu hakuna namna. Sasa hivi ni mwendo wa kuwapiga tu mpaka watie akili. Huku mtaani tunakoishi nao itabidi tufanye mpango wa kuwasaka nyumba kwa nyumba tuwachome moto kama panya. Wamezidi kuwaonea raia hawa qu.ma.Arusha Ungalimited Maeneo ya Soko Mjinga alikuja Polisi akakamata vijana wawili akawafunga Pingu, akaanza kwenda nao kituoni sasa cha ajabu njiani akaanza kuwapiga na fimbo kichwani mmoja damu zikaanza kumvuja.
Basi Vijana hao walimkamata polisi kama unavyoona kwenye video, wakamtembezea kichapo Mpaka akawafungulia Pingu, wananchi hakuna hata mmoja alieamulia walikuwa wanashangilia tu, baada ya Polisi kuwafungulia Pingu Vijana hao akachukuwa boda akakimbia.
Kuangalia VIZURI video hii utaona Pingu mikononi, Unaambiwa Polisi alipigwa roba Matata amejachafua sana Hali ya HEWA.
Wananchi wamechoka manyanyaso ya kijinga.
Watu wamekubali kupigwa pingu na wanaongoza kituoni kwanini awapige fimbo hadi awatoe ngeu? Mse.nge mkubwa akafie mbele huyo mbwa mwenye kaswende. This is mambaz24 we live our life man!Arusha Ungalimited Maeneo ya Soko Mjinga alikuja Polisi akakamata vijana wawili akawafunga Pingu, akaanza kwenda nao kituoni sasa cha ajabu njiani akaanza kuwapiga na fimbo kichwani mmoja damu zikaanza kumvuja.