Arusha: Askari Polisi apigwa kama Mbwa koko

Arusha: Askari Polisi apigwa kama Mbwa koko

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
27,812
Reaction score
63,268
Arusha Ungalimited Maeneo ya Soko Mjinga alikuja Polisi akakamata vijana wawili akawafunga Pingu, akaanza kwenda nao kituoni sasa cha ajabu njiani akaanza kuwapiga na fimbo kichwani mmoja damu zikaanza kumvuja.

Basi Vijana hao walimkamata polisi kama unavyoona kwenye video, wakamtembezea kichapo Mpaka akawafungulia Pingu, wananchi hakuna hata mmoja alieamulia walikuwa wanashangilia tu, baada ya Polisi kuwafungulia Pingu Vijana hao akachukuwa boda akakimbia.

Kuangalia VIZURI video hii utaona Pingu mikononi, Unaambiwa Polisi alipigwa roba Matata amejachafua sana Hali ya HEWA.

Wananchi wamechoka manyanyaso ya kijinga.

 
Huyu Dr! Mungu ampe maisha marefu
 

Attachments

  • IMG-20260908-WA0031.jpg
    IMG-20260908-WA0031.jpg
    74.5 KB · Views: 10
Back
Top Bottom