Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

From 9 points ahead zikiwa zimebaki game 6 mpaka GD +1.

Nembu waite wenzako wote kina castr, mkorea, Arsenal 2004, hamiss77 na mwanangu Rayman tujadili tunakwama wapi wazee??

Mbona wengine hawakwami ikitokea chance kama mnazopata nyinyi wao wanazitumia vizurrii ( Liverpool, Leicester) shida Iko wapi wazee? Kwa unyenyekevu mkubwa tujadili sisi tunakosea wapi?😄😂
We dogo wa bunyokwa sheli, mimi nina umri mkubwa yaani ni kama baba ako.

Acha kuni sumbua kijana, adabu ni muhimu
 
Kuna kipindi tulifululiza kucheza na kuzuia timu zisipate shot on target mpaka ikawa ni standard. Ilivyofika hatua wapinzani wanapata shot on target ikawa ni hoja ya kujadili.

Kwanini Arsenal ameruhusu shot on target?

Siyo kufungwa. No, ni shot on target.

Chelsea kushangilia suluhu ya moja moja na mashabiki wa Arsenal tukakubali kwamba wameshinda ile mechi.

Chelsea kushangilia kufungwa 3 ila Estevao kadribble na Garnacho kapata magoli mawili.

Ni hizo standards tulizozifikia ndiyo zinasababisha hata tukiconcede mashabiki roho zituume.

Kwa wanaowania kombe matokeo ni Arsenal kasuluhu ana points 50, City kafungwa ana points 43, Liverpool kasuluhu ana points 36.

Lakini ona watu wote wanaiongelea mechi gani? Kuna mmoja kasema tunaiongelea hii mechi kwakua tuna uhakika nyinyi hamchukui kitu.
Mwingine akasema wanaiongelea kwakua hii ndiyo inapata attention online.

Hawa wanasahau ni standards ndiyo zimetufikisha hapa.
Hapa gap lilikua point 7 na short on target 0.
Leo last 6 games umeshinda game 1 Draw 1 na lost 4 . ITS APRIL !!!
 
We dogo wa bunyokwa sheli, mimi nina umri mkubwa yaani ni kama baba ako.

Acha kuni sumbua kijana, adabu ni muhimu
Wewe ambaye umeanza kuangalia mpira 2008? Unajua 2008 sisi mapenzi na arsenal ndiyo yapo peak!!! Hata fainali 2006 kumbe ulikua bado unaangalia maigizo nyumbani .
Kama nilivyokua Nina uhakika na nyinyi kutokuchukua kombe ndivyo nilivyo na uhakika wewe ni chaliii kwangu.
 
Zimebaki mechi 16.

Mfano Villa na City wakachafukwa kila mmoja akashinda games zote zilizobaki Villa na City watapata points 91.

Arsenal akishind mechi 14 atakua na points 92 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote. Start the countdown
Hii ni FALSE HOPE MAFIAN FORMULAR AND LAW .
It's state that " under normal condition from August to march every arsenal fan remain champion with all calculation and maximum false hopes unless April arrived "

Calculation za mathematician castr the standard dreamer.
 
KUANZIA KESHO TUTAANZA KUTOA THE BEST FALSE HOPES ZA WEEK NA MONTH FROM AUGUST TO MARCH .
HAIWEZEKANI MAKOMBE MKOSE HATA HIVI VITAJI VIDOGO TUSHINDWE KUWAPA.
NI AUGUST _ MARCH SABABU APRIL NA MAY HUWA HAMNA FALSE HOPES.
FALSE HOPES MBILI ITAKAYOKUWA NA LIKES NYINGI HIO NDIO BINGWA .
Halafu jioni tutakuja na tafrija ( in membe voice)
 
Mchele mchele
images (5).jpeg
 
KUANZIA KESHO TUTAANZA KUTOA THE BEST FALSE HOPES ZA WEEK NA MONTH FROM AUGUST TO MARCH .
HAIWEZEKANI MAKOMBE MKOSE HATA HIVI VITAJI VIDOGO TUSHINDWE KUWAPA.
NI AUGUST _ MARCH SABABU APRIL NA MAY HUWA HAMNA FALSE HOPES.
FALSE HOPES MBILI ITAKAYOKUWA NA LIKES NYINGI HIO NDIO BINGWA .
Halafu jioni tutakuja na tafrija ( in membe voice)
Naunga mkono hoja 💯
 
Back
Top Bottom