Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,257
- 101,707
Our first XI, big cala is back.
Mtapiga sana hesabu safari hii, ishi nayo hiiNasema hivii Arsenal kimahesabu mna % kubwa sana kutoka mikono mitupu.
Ishini nayo hiyo
Haters mnaihofia Arsenal kuliko hata mnavyopenda timu zenu.Nasema hivii Arsenal kimahesabu mna % kubwa sana kutoka mikono mitupu.
Ishini nayo hiyo
Yanaitwa matamanio. Ungeweza kusema "Natamani Arsenal watoke mikono mitupu...".Nasema hivii Arsenal kimahesabu mna % kubwa sana kutoka mikono mitupu.
Ishini nayo hiyo
Huyu Tonali tupite nae kiangazi.Hakuna mchezaji wa maana atakaa Newcastle kwa sasa chini ya vision ya mtu kama Howe. Wengi wanaenda pale kutafuta platform ya kuonekana.
Muone Isak, ona Gordon. Notice kwamba agent waTonali alimleta kwetu tumsajili dirisha hili la January.
Wengine wanafuata pesa. Wissa na Bruno na Woltemade.
Hakuna mchezaji wa maana ataiangalia Newcastle halafu atasema mimi nitamaliza maisha yangu hapa