Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna kipindi tulifululiza kucheza na kuzuia timu zisipate shot on target mpaka ikawa ni standard. Ilivyofika hatua wapinzani wanapata shot on target ikawa ni hoja ya kujadili.

Kwanini Arsenal ameruhusu shot on target?

Siyo kufungwa. No, ni shot on target.

Chelsea kushangilia suluhu ya moja moja na mashabiki wa Arsenal tukakubali kwamba wameshinda ile mechi.

Chelsea kushangilia kufungwa 3 ila Estevao kadribble na Garnacho kapata magoli mawili.

Ni hizo standards tulizozifikia ndiyo zinasababisha hata tukiconcede mashabiki roho zituume.

Kwa wanaowania kombe matokeo ni Arsenal kasuluhu ana points 50, City kafungwa ana points 43, Liverpool kasuluhu ana points 36.

Lakini ona watu wote wanaiongelea mechi gani? Kuna mmoja kasema tunaiongelea hii mechi kwakua tuna uhakika nyinyi hamchukui kitu.
Mwingine akasema wanaiongelea kwakua hii ndiyo inapata attention online.

Hawa wanasahau ni standards ndiyo zimetufikisha hapa.
 
Tupo second leg kwenye EFL dhidi ya Chelsea hatua ya nusu fainali, first leg Chelsea alikufa 3 kwa 2.

Second leg itachezwa Fly Emirates tarehe 3 mwezi wa 2 saa 5 usiku.

Tupo FA dhidi ya Wigan na mechi yetu inayofuata ni tarehe 14 mwezi wa 2 saa 11 jioni.

Tupo CL, mechi ya J4 ni kutafuta bragging rights kwakua tayari tulishafuzu hatua inayofuata hata kabla hatujacheza na Bayern.
Sijui kama mnaelewa ni kazi kiasi gani hii timu imefanya.

Upo kote huko halafu kiazi kimoja kipo Kerema kinaongea upuuzi nonstop.
 
Yap Mimi mwenyewe Liverpool naona arsenal ni wakati wake na yeye achukue "Ipielo" misimu zaidi 3 nyuma kalipambania sana, sasa ngoja guadiola afufuke awamu2 na aanze zile winning streak zake Hadi mechi12-15 mfululizo
Guardiola ashajichokea mazima hawezi kushinda mechi kumi mfululizo sema Sisi Arsenal tunazingua sana
 
Arteta asipotupa taji la maana msimu huu atupishe tu jamani.
Mechi ya Jana alizingua Sana kwa kuwaanzisha Sana na Trossard kwenye bench na hiyo game ilikuwa ni must win tuongeze gepu
 
nadhani kwenye mechi za EPL kwa kikosi cha arsenal bado kuna wachezaji sio wa kuwa fanyia rotation msimu huu.. trossard ni namba moja then wengine wnafuata.

mechi ya jana forest wali defend vizuri kuanzia wachezaji wao wa mbele na dyche ni kocha pia anaejua kucheza na arteta ,hi ligi ya msimu huu ni ngumu zaidi kuliko msimu uliopita mana pia timu zilizopanda daraja zote zinaleta ushindani mkubwa.

focus ihamie zaidi game ijayo dhidi ya man utd ,timu irudi kwenye winning ways tena na dozi iendelee.
 
Mashabiki wa Arsenal tunaamini hii ilitakiwa iwe penalty. Kuna refa akisimamia game yenu hamtakiwi kumtegemea, ni kuhakikisha mnapambana. Huyu ni refa ambaye amekua kwenye payroll ya City for years mpaka reds zake zikapinduliwa kwa rufaa ulitaka jana akufanyie nini?

20260118_115735.jpg
 
Kuna kipindi tulifululiza kucheza na kuzuia timu zisipate shot on target mpaka ikawa ni standard. Ilivyofika hatua wapinzani wanapata shot on target ikawa ni hoja ya kujadili.

Kwanini Arsenal ameruhusu shot on target?

Siyo kufungwa. No, ni shot on target.

Chelsea kushangilia suluhu ya moja moja na mashabiki wa Arsenal tukakubali kwamba wameshinda ile mechi.

Chelsea kushangilia kufungwa 3 ila Estevao kadribble na Garnacho kapata magoli mawili.

Ni hizo standards tulizozifikia ndiyo zinasababisha hata tukiconcede mashabiki roho zituume.

Kwa wanaowania kombe matokeo ni Arsenal kasuluhu ana points 50, City kafungwa ana points 43, Liverpool kasuluhu ana points 36.

Lakini ona watu wote wanaiongelea mechi gani? Kuna mmoja kasema tunaiongelea hii mechi kwakua tuna uhakika nyinyi hamchukui kitu.
Mwingine akasema wanaiongelea kwakua hii ndiyo inapata attention online.

Hawa wanasahau ni standards ndiyo zimetufikisha hapa.
Hivi arsenal nyinyi nan kawaloga mazee mbona mnafurahisha sana sio timu mpaka mashabiki wanafurahisha, yaani shot on target unaona ni standard 😂😂 vipi na team zilizobeba UCL, EPL, world cup.

Chelsea hakushangilia draw ila alifurahi kuona jinsi timu ilivyopambana watu wapo pungufu lakini wanawapelekea moto.
Kama shot on target unaona ni standard basii mnasafari ndefu sana za kuitwa mabingwa labda 2075 huko.

Tunaiongelea arsenal kwasababu inafurahisha na kuchekesha kitu ambacho ni burudani kwetu, ni kama vile mandoga kwenye ngumi .

Liverpool mwaka jana muda kama huu alikua kawaacha points almost 8 huko na kachukua ubingwa mapema sana, kama unaona points 7 ni nyingi subiri utasimulia vizuri.
Man city utaacha points, man utd utaacha points hapo beki za man city zitakua zisharudiii
 
nadhani kwenye mechi za EPL kwa kikosi cha arsenal bado kuna wachezaji sio wa kuwa fanyia rotation msimu huu.. trossard ni namba moja then wengine wnafuata.

mechi ya jana forest wali defend vizuri kuanzia wachezaji wao wa mbele na dyche ni kocha pia anaejua kucheza na arteta ,hi ligi ya msimu huu ni ngumu zaidi kuliko msimu uliopita mana pia timu zilizopanda daraja zote zinaleta ushindani mkubwa.

focus ihamie zaidi game ijayo dhidi ya man utd ,timu irudi kwenye winning ways tena na dozi iendelee.
Visingizio ni vingi sana mara rotation ya wachezaji, hivi nyinyi huwa mnaangalia matches za team yenu kweli au mnafuatilia kupita livescore ?.
Match na liverpool walianza saka na trossard nafasi ipi ya maana walitengeneza? zaidi ya kutegemea cross na set pieces.
Je unaona tofauti yoyote ya kiufundi kwenye game yenu ya liverpool na hii ya forest? Hakuna utofauti wowote ule .
Team built up zero kabisa mpira atachukua raya atampa timber , timber anampa rice au zubimendi then unaenda pembeni kumwaga maji au urudi tena kwa zubimendi apige back pass kwa raya, zero chance creativity .
Nyinyi mnachojua tu defense ndo maana tunaambiwa mara martineli ana offer defense work rate yaani kiufupi mnamabeki zaidi ya 9 uwanjani
 
Victor Gyokeres pia sio type ya mchezaji nayempenda, Sesko? this is material, tuliwahi kuwaongelea kipindi cha usajili ila watu wakasema tunahitaji mtu wa kutikisa nyavu tu, haya sasa magoli hamna na general play hamna, Sesko ni mazingira tu lkn nachoamini ndani ya timu yetu huyu mtu angekuwa hatari sana
 
Screenshot_20260118_155059_Chrome.jpg
Screenshot_20260118_155059_Chrome.jpg

Ukiyakuta yanavyotutambia kwamba wapo nafasi ya kwanza UCL Sasa😀😀😀😀

Next season, wakati huo wametoka Kapa na UCL, watakuja kututambia kwamba waliongoza group state 😀😀😀😀😀

Tunaendelea kuwakumbusha Hawa mayatima

Msimu wa 25/26

FALSE HOPE FOOTBALL CLUB

1. Carabao cup: FALSE HOPE🔞
2:EPL loading: FALSE HOPE🔞
3: UEFA loading: FALSE HOPE🔞
4: FA Cup : FALSE HOPE🔞
 
Ambacho watu hawajui au wanajua ila wanajitia uchizi ni kwamba timu inahitaji consistency. Kama leo umeshinda utaweza kufanya hivyo mara tano baadaye?

Katika points 15, Arsenal kadrop points 4, City kadrop points 9 na Villa kadrop 5. Villa mechi yake ya leo ndiyo ya points 15 so hizo points 5 ni kabla ya hii mechi.

Ila utasikia Arsenal hawezi kubeba kombe. Yaani anadrop points balaa. Ila hajui wanaomkaribia wamezidrop hizo points zaidi ya Arsenal.

City wameliona hilo wamejizatiti wamenunua beki na forward. Villa ni timu ambayo priority ni kubaki ligi kuu, ndiyo sababu watu hawaihesabu so haina mpango wa kujizatiti.

Watu wanakuambia Arsenal atadrop point kwa United. United ambayo haijapata ushindi tangu lini? Ikiwa inaenda kwa Arsenal ambayo hajapoteza game nyumbani, ila mtu yupo kijiweni anatema nyongo nonstop.

Nimependa confidence ya Dorgu yeye anasema wanakuja Emirates kuchukua points 3. I hope tutawakabidhi kama anavyofikiria, even better wana mechi moja tu wiki nzima so wana chance ya kupiga zoezi haswa.
 
Kuna siku tulikua tunaambiana kwamba Arsenal akiachana na Arteta ni fair kwakua anahitaji makombe ila itachukua muda Arsenal kumpata kocha sahihi kuliko Arteta kupata timu nyingine.

Wakati huu Arsenal ipo kwenye mazungumzo na Arteta Madrid imemshortlist Arteta miongoni mwa candidates inawafikiria kuwapa mikoba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom