Amecheza kama ImamuIntelligent businessman kwan mchele leo hajacheza? 😂
Teh teh kila hater wa Arsenal kawa mtabiri muda huu. Sisi tunaendelea kucheza mechi zetu ligi bado haijaisha hii.Kuna Ile Arsenal alishinda goli 5 _1 vs city, fans wakaja humu wanashangilia kama vile wamebeba ubingwa. Nikasema maana halisi ya false hopes ni kama hivyo match ya muhimu hushindi ila match zisizokua na umuhimu unashinda goal kibao zisizokuwa na maana .
Nilivyosema ivyo kina castr, mkorea na arsenal 2004 wakanishika shati wanataka kunipiga eti nisiwachagulie matches za kushangilia😂😂.
Match ya muhimu Leo even draw mmekosa, mbona kina westham wanakaza wanaondoka na points za kutoshuka daraja vs hao hao city .
Hamna kitu Eze amecheza Leo zaidi ya ile chance aliyongesha mwamba. Amepoteza sana mipira.Uwezo wa kiufundi wa wachezaji wa arsenal 99 percent ni mdogo ,nguvu ndio sulaha Yao kubwa,mchezaji wa maana ni EZE ndio anaweza match ufundi wa wachezaji wa city na Arteta alijipiga risasi alipomtoa .
Mnajua kuinama vzr 😂
Pongezi kwa vijana wametupa game nzuri sana leo. Spirit ilikuwa juu sana, tofauti ya Halaand na Kai imeamua mechi.
Bado naiona nafasi pale juuPongezi kwa vijana wametupa game nzuri sana leo. Spirit ilikuwa juu sana, tofauti ya Halaand na Kai imeamua mechi.
Sina cha kuwalaumu vijana. Ligi bado inaendelea hakuna lisilowezekana kwenye mpira.